World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Sasa nahamia Brasil...taifa kubwa Amerika ya Kusini.....hawa na-ride nao mpaka mwisho......

Wana mechi ngumu sana na Chile.................Usishangae Chile akimlamba Brasil na kumbebesha virago aisee......Wanajuana vizuri sana hawa
 
Game ijayo na Uruguay Appiah anaweza akaanza(naona kacheza vizuri sana pale kati baada ya kuingia na kabadilisha mchezo kwa kiasi fulani)...Pia Muntari ataanza maana dogo Andre 'Dede' Ayew ana njano mbili atamiss game hiyo....Natamani kocha amuanzishe hata Mathew Amoah siku hiyo.....Hawa watoto watoto waingie dakika za mwisho ili siku hiyo biashara iwe asubuhi

Mkuu hii tabia ya kuwaacha watu wafanye kazi ya punda halafu muingize wengine ndiyo inaharibu mambo, acha madogo waendeleze libeneke!
 
Sasa nahamia Brasil...taifa kubwa Amerika ya Kusini.....hawa na-ride nao mpaka mwisho......

Naama taifa kubwa lililojengwa na wanadiaspora wa Afrika - kina Robinho, Juan, Gilberto, Companero, Baptista, Ramirez na wengine wengi!
 
Mkuu hii tabia ya kuwaacha watu wafanye kazi ya punda halafu muingize wengine ndiyo inaharibu mambo, acha madogo waendeleze libeneke!

Madogo si kwamba hawawezi.......bali mbinu za ushindi ndo hawana.....anao anao nyiiiiiingi.....Game na Uruguay tunahitaji wachezaji wazoefu aina ya Stephen Appiah,Mathew Amoah,Sulley Muntari na Dereck Boateng
 
Wana mechi ngumu sana na Chile.................Usishangae Chile akimlamba Brasil na kumbebesha virago aisee......Wanajuana vizuri sana hawa

Hawa Chile jana sijui juzi ile si wamefungwa na Wahispania hawa? Ingawa chochote kinaweza kutokea lakini imani yangu kwa Brasil mwaka huu na 2014 ni 99.8%.

Kwenye haya mashindano bado sijaona timu ya kuipa mshikemshike Brasil....wana talent pool kubwa sana...
 
Naama taifa kubwa lililojengwa na wanadiaspora wa Afrika - kina Robinho, Juan, Gilberto, Companero, Baptista, Ramirez na wengine wengi!

Hao wote wako kama Kabula...wamechanganya dna hao....wana best of all worlds....hivi umewahi kujiuliza kwa nini Brasil kuna warembo wengi sana? Ni kwa sababu zaidi ya asilimia 50 ya raia wake wamechanganya dna.....
 
Genome project inaonesha kuna wengi tu hawajachanganya DNA - unadhani Ramirez na Juan wamechanganya DNA?
 
_48186999_gyan_scores.jpg

Huyu ndo mana MAshetani walimpeleka kwa mkopo kule everton!! Mkwayu maridadi kabisa!!
 
Madogo si kwamba hawawezi.......bali mbinu za ushindi ndo hawana.....anao anao nyiiiiiingi.....Game na Uruguay tunahitaji wachezaji wazoefu aina ya Stephen Appiah,Mathew Amoah,Sulley Muntari na Dereck Boateng

JK kashawaambia msibadili farasi katikati ya mto hivyo hivyo usibadili kitu hapo ukiacha mabadiliko ya lazima yanayotokana na zile kadi za njano. Kumbuka Appiah anakaa benchi kwa kuwa hawezi kukimbiza kama zamani, Muntari soka lake limemalizwa na Maurinho, hivyo wanafaa kuingia katikati ya mechi kubadili mchezo kwa kutumia uzoefu - ukiwaweka mapema watakimbizwa na Forlan/Suarez mpaka ulimi utawatoka mapema!
 
Genome project inaonesha kuna wengi tu hawajachanganya DNA - unadhani Ramirez na Juan wamechanganya DNA?

Wengi wao wana ancestral background mbalimbali...huo ndio ukweli wenyewe! Utake usitake...angalia tu hata features zao....unataka kuniambia Robinho ni raw African kama wewe na kipilipili chako hicho? Unamkumbuka Rivaldo wewe? Cafu? Denilson? Ronaldo? Ronaldinho? Hao wote sio raw Africans bana...huko kwao wanaitwa pardo
 
Kwa njia anayopita Ghana anaweza kufika final, quarter na Uruguay (hii ngumu kiasi chake) semi na England (ease) hahahaha mambo si hayo?
 
Ingawa England siwapendi lakini si timu yakui underestimate....wana timu nzuri hawa jamaa. Sema tu hawajawa kwenye groove nzuri...na wakianza kumchezesha Jermaine Defoe toka mwanzo na yule ngongoti Crouch...ni timu hatari sana
 
Kwa njia anayopita Ghana anaweza kufika final, quarter na Uruguay (hii ngumu kiasi chake) semi na England (ease) hahahaha mambo si hayo?

Mkuu haupo sahihi, jinsi makundi haya yalivyopangwa, ni kwamba huwezi kucheza na timu mbili zilizokuwa pamoja kwenye group moja la awali mpaka stage ya final ama mshindi wa tatu tu. Kwa hivyo Ghana hana uwezekano wa kucheza na England ambaye alikuwa group moja na USA mpaka stage hizo kama watafika.
 
Wengi wao wana ancestral background mbalimbali...huo ndio ukweli wenyewe! Utake usitake...angalia tu hata features zao....unataka kuniambia Robinho ni raw African kama wewe na kipilipili chako hicho? Unamkumbuka Rivaldo wewe? Cafu? Denilson? Ronaldo? Ronaldinho? Hao wote sio raw Africans bana...huko kwao wanaitwa pardo

Sasa unabishana na sayansi ya nasaba? Tena unabishana na historia ya utumwa, udiaspora na umaruni? Kuna wengi tu hawajachanganya dna - kuanzia Pele, Baiano mpaka Ramirez! Tena kikosi cha sasa kinaongoza kwa kuwa na wachezaji wengi ambao hawajachangany hivyo vinasaba!
 
Kwanza hebu weka picha zao hapa.

Pili, hakuna mtu mwenye uhakika kabisa wa kujua kuwa hajachanganya dna hususan aliezaliwa ktk jamii yenye watu mchanganyiko. Kwa mfano, wanugu wengi sana wana European ancestry...kwa nini? Kwa sabau jamii yao imejichanganya na weupe tokea karne ya 17 na ktk mazingira hayo inter-marriages ni inevitable. Hata Pele usije shangaa ana ancestral background ya wahindi wekundu...kwa vile tu ni mweusi kaa mpingo hiyo haimaanishi chochote.

Hao unaosema hawajachanganya dna hebu nipe miti ya familia zao kurudi nyuma hadi kwa watumwa na wanyapara wao tuone kama hakuna mchanganyiko hata kidogo....
 
Naona tuko wengi kweli leo hapa 'Stadyumu'..... There are currently 95 users browsing this thread. (22 members and 73 guests)

Nimeona ni log in tuu nijihalalishe maana mzee unausongo sana na kuangalia ip zetu lol
 
Back
Top Bottom