World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Na iwe hivyo usemavyo mana itanoga!..Ila hii mechi hata kutabiria mwenzio siwezi!!.Sema nimejita matumaini makubwa kuwa Argentina wanapita ile mechi ya badae,washinde basi lol!!

Hahahahaaa....Belly usiwadharau sana kina amigo.....wale majamaa wana bidii za ajabu sana na hawakati tamaa. Usikute wanakula fajita na chalupa tu sasa hivi ili kujiweka sawa na mpambano hapo baadae. Usishangae wakiwatoa Argentina
 
Mechi hii naogopa kuwa mrengo wowote!..usijipe matumaini,huo ukuta wa berlin unaweza kuangushwa vile vile!!..Haya nakaribia,usiniangushe mweeh!😛opcorn:

Usisahau leo KLOSE anarejea hehehehe kutakuwa na ka ugali ka bure kwa majirani leo (hi haina shaka kabisa)
 
Yani ninasubiria sana huu mpambano kuona nani atacheza na Argentina semi!..

Nani unamshangilia BJ? Mimi nawashangilia wa kwa mama, but they need to improve their performance in order to win this game.
 
lets go germany ............ lets go germany .................. kama namuona vile podolski anajitesea wzee wa draw lool.
 
I think England are starting to peak at the right time...England takes this
 
Hitler the racist wouldn't love your black fannies, you dim dusche bag of world history

hehehe mkuu tupo kwenye soccer , hayo ni ma nick name tu , punguza historia tuenjoy boli kidogo.
 
bora mmoja apate goli tuone mpira la sivyo mpira utakuwa wa kukaba tu kujiandaa na mikwaju ya penati.
 
Hahahahaaa....Belly usiwadharau sana kina amigo.....wale majamaa wana bidii za ajabu sana na hawakati tamaa. Usikute wanakula fajita na chalupa tu sasa hivi ili kujiweka sawa na mpambano hapo baadae. Usishangae wakiwatoa Argentina

NN unayosema ni kweli,acha nisijipe mahope ya kufa mtu!!..Arg. wanaweza kuadhirishwa bure!!! hii mechi ya sshv ni shughuli,bora wafikishane matuta tu kama inawezekana!!
 
Back
Top Bottom