World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Ghanaaaaaaaaaaaaazzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!!!!!...ndani ya quarters!!!...WOW!!!!!
 
...............Ghana juuuuuuuuu juuuuuuuuuu zaidi,Africaaaaaaaa juuuuuuuuuu......... USA ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! USA heshimu Africa imekutoa lol:smiling:
 
Mpira Umkishwa na sisi waamerika tuko out ingawa sisi waafrika tunaendelea. Kuna commentator mmoja pale ESPN huwa anaziponda sana timu za Afrika na alikuwa ametabiri kuwa USA itashinda kirahisi kwa 2 -1 kwa vile Ghana inategemea mabao ya penalty tu, hakuwa anatazamia Ghana wangepata zaidi ya penalty mbili kutosha kuwapa ushindi. Namsubiri atoe komment nyingine.
 
Ghana are milking the clock kweli kweli...safari isije ikawatumbukia hapa!

I remember my secondary school friend and fellow 'football player' used to call this 'mbinu za mchezo'...lol
In a very special way:Thanks Kingston and Gyan!
 
........Nafuu Ghana imeingia robo finali, maana ilikuwa aibu atiiiiii! Kombe lichezwe africa halafu kusiwe na timu hata moja ya africa kuwepo robo final. Kudos Ghana kuwezesha Africa kuona robo finali.
 
Duh naona hii loss imemgusa sana Alex Lalas...sauti yake inavunjikavunjika kama anataka kuvujwa na machozi
 
........nafuu ghana imeingia robo finali, maana ilikuwa aibu atiiiiii! Kombe lichezwe africa halafu kusiwe na timu hata moja ya africa kuwepo robo final. kudos ghana kuwezesha africa kuona robo finali.


yes we can
 
Kwanza hawa wagana mademu wao wabovu mno aaaaaah....yaani sijawahi kuona demu mzuri wa kigana....hata sauti zao mbaya...siyapendi mimi haya magana
 
Back
Top Bottom