Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Mie nipo na mshindi wa mechi hii leo..subiri niangalie!!
nakupa kazi rahisi shangilia magoli utafaidi sana kwa vile moyo wako huwezi kumiliki stress za mpira ha ha ha.
Mie nipo na mshindi wa mechi hii leo..subiri niangalie!!
Sikujua unafanyaga Pilates na wewe...hebu mwambie hivo mama mchungaji uone kama hutalalia kochi leo....msalimie pia. Mwambie leo chant yangu ni Yes we can....
Duh, Dempsey uchozi unamtoka kama yule Mkorea Jong Tae Se!
wacha naweee.....huwa nakuhurumiaga wewe