World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Ghana to win WC teh teh teh teh teh....all the way to final!

.........Hata kama haitashinda lakini robo finali imeingia, unajua hadi kufika hapa wamejitahidi sana............ tena imewaondoa hawa USA wanaojifanya taifa kubwa............kazi nzuri Ghana na tena Hata nusu finali mtaingia tuuuu:dance:
 
heshima Mbele kwa Ghana ..Am very much proud of Ghana today..nadhan Bill Clinton tour yake ndo imefika mwisho atarejea kesho na vijana wake
 
Kuna hatari kombe hili la safari hii likabaki Africa yaani inakuwa kama masihara ,ila ukweli ni atakapoangushwa Urugway ,niseme kweli hili kombe tokea mwanzo nilisema kuwa linabaki na nazidi kusema kuwa dalili za mwanzo zinaonyesha kuwa ,safari hii Brazili hafiki hata nusu fainali na hata akifika basi hachukui kombe ,kombe linabaki Afrika mkitaka msitake ,yaani leo Ghana :flock:amewafunga wakimbizi :lock1:,
 
US wakirudisha tu najua game imeisha, ntahamia zangu kulee kwene sketi fupi(Wimbledon). Hapa Ghana inabembea kwene uzi.

Dua la kuku............................Yanakushuka tu Mpemba sasa................hahaaaaaaaaaaaaa
 
Kuna hatari kombe hili la safari hii likabaki Africa yaani inakuwa kama masihara ,ila ukweli ni atakapoangushwa Urugway ,niseme kweli hili kombe tokea mwanzo nilisema kuwa linabaki na nazidi kusema kuwa dalili za mwanzo zinaonyesha kuwa ,safari hii Brazili hafiki hata nusu fainali na hata akifika basi hachukui kombe ,kombe linabaki Afrika mkitaka msitake ,yaani leo Ghana :flock:amewafunga wakimbizi :lock1:,

Ghana target yao ni kucheza semi-final, katika stage hiyo kuna uwezekano mkubwa wa kukumbana na Brazil kama nao hawatavurunda. Uruguay pia wanaweza kula kichapo kwa hawa jamaa.
 
Naona tuko wengi kweli leo hapa 'Stadyumu'..... There are currently 95 users browsing this thread. (22 members and 73 guests)
 
Sasa nahamia Brasil...taifa kubwa Amerika ya Kusini.....hawa na-ride nao mpaka mwisho......
 
Go Ghana Go!
Go Gyan Go!

Bring on Uruguay!
Bring on Paraguay!

Viva Vuvuzela Afrika
Viva Jabulani Afrika!
 
Ghana wametuonyesha njia nasi ni wakati wetu kutafakali na ni zamu ya taifa stars sasa mwaka 2014
 
Ghana lakini wanahitaji ku-improve kwenye ku-finish games au watakuja kutolewa kijinga.

Game ijayo na Uruguay Appiah anaweza akaanza(naona kacheza vizuri sana pale kati baada ya kuingia na kabadilisha mchezo kwa kiasi fulani)...Pia Muntari ataanza maana dogo Andre 'Dede' Ayew ana njano mbili atamiss game hiyo....Natamani kocha amuanzishe hata Mathew Amoah siku hiyo.....Hawa watoto watoto waingie dakika za mwisho ili siku hiyo biashara iwe asubuhi
 
_48186966_009673095-1.jpg

Aliyetupa raha siku ya leo

_48186339_009671346-1.jpg

Mruko pasipo mafaniko..chuma kikoli moto
 
Back
Top Bottom