Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
mkuu nadhani droo itawapeleka au ?
yeah kweli draw inawapeleka mkuu pia.
mkuu nadhani droo itawapeleka au ?
mkuu nadhani droo itawapeleka au ?
Asavali ya mie sikuangalia hizi mechi mshenzi..Miafrika bana..hao walimu wazungu wamekuja kuvuna tu kwene jasho la kodi za Wanyonge wa Waafrika. Afrika yote ni shamba la bibi PERIOD. Kuanzia Cameroon, Nigeria, Ivory Coast, South Africa wimbo ni uleule tu.
Mwalimu wa timu anawajibu mkubwa ktk nidhamu ya mchezo ya timu yake. Kwa mechi nilizoangalia, sioni kama walionesha mbinu zozote za kustahili kulipwa kiMaximoMaximo..ni upuuzi tu kwa kwenda mbele.Abdulhalim sometimez tutawasingizia walimu ..sie wenyewe vichwa vigumu tu:A S 33: