klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
penaaaaaaaaaaaaaaaat
kweli mkuu bora wazalendo wana uchungu wa nchi na tukikosea tunatukanana wenyewe kwa wenyewe kuliko hawa ambao hawaelezwi kitu.Mi ndo maana nalia na makocha wa kizungu bana..........fikiria anamuweka benchi Martins mechi zote na kumuingiza dakika 20 za mwisho....................aaaaaaaaaaaaaaaaargh.........................kwa heri
hapo nilimaanisha Ivory Coast sio Portugal nikuchanganyikiwa tu lol.
Nimeitwa ndani tena nikaambiwa naija wana penati; ngoja sasa nione mwisho wake.mkuu usivunjike moyo , naamini GHANA atatuvusha.
hapo nilimaanisha Ivory Coast sio Portugal nikuchanganyikiwa tu lol.
Ivory Coast ni kama wametolewa tu mkuu.....Sidhani kama waweza mpiga mtu goli 8 bila aisee.................Ni Ghana tu aisee
goaaaaaaaaaaaaaal argentina.Pole, naelewa ni hizi timu za afrika zimekuchanganya..lol,Naigeria wamefunga kwa Penalt,sasa ni 2-2!
goaaaaaaaaaaaaaal argentina.
goaaaaaaaaaaaaaal argentina.
com on naija !, 1 goal pliz
Huree Agrentinaa!..Nimefurahi sana,lol!!!