Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
goaaaaaaaaaaaaaaal ala pili argentina
mpaka nimepata kigugumizi cha kutype alafu nigeria wanaenda kukosa goli la wazi ni upuuzi wa hali ya juu.
watu wanashindwa ku-press mbele ya goli mpaka noma.hawabebeki.
hard to beleive it
hard to beleive it
Walitoe wapi muda huu,labda walipue uwanja ha ha..Too late Klorokwini!!kubaliana na matokeo
hizo ndo zinanifanya nipoteze appetite ya dinner kabisa, finger xed for GHANAmkuu zile nafasi walizopeteza wa nigeria nashindwa kuwaelewa kabisa.
hii ya leo inauma kuliko , dah kweli waafrika tumelogwa na marehemu
I'm sorry to say kesho ni safari ya Ghana,mtakaoishangilia poleni mapema!..wanacheza na Ujerumani iliyofungwa na Serbia lakini itaifunga Ghana!..Mie nimeanza kuhudhunika kuanzia sasa ili kesho niwe fiti!..
Jamani Naigeria wanarudi kwao hivi hivi kula fufu!..Imetoka ikirudi pancha,ha ha!Kwaherini mpaka mechi za 2mr!
oooooooooooooh god
aaaargh hata mjamzito hakosi ile chansi. aaaaargh
Tujikubali tu ndiyo tulivyo na tusijaribu kuthibitisha vitu ambavyo haviwezekani au ni bahati tu!..huyo marehemu bora angefufuka kufuta laan,lol katuachia zigo la milele..
Ghana hawakuwa na sababu ya kutoa draw na Australia kabisa.Australia walipewa redcard mapema lakini Ghana wakajifanya wazimu mechi nzima.
na ni lazima waifunge Germany hili wapite kazi hipo.
Hivi na ghana si lazima apate pt{s} ili aendelee.......na yeye anaweza kufunga virago grp stage.......