RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,392
- 134,965
waingereza leo wanakwambia wanachotaka ni ushindi tu....iwe own goal,goli la mkono,ugoko hawajali.....sasa kama SLOVENIA watahimili ule mkiki kama wa BOLTON/BLACKBURN PL itakuwa game nzuri sana....vinginevyo SLOVENIA anaweza kutoka yy round hii maanake USA huko kwa ALGERIA hio ni vita zaidi ya mpira..................