women! I hate women!

women! I hate women!

Hawa polisi jamii bana!? Ona sasa yaliyomkuta Bishanga. Pole kaka. Siku nyingine maliza kikao mapema!

Namta mbaya wangu,
Anayenikorofisha,
Siku nikimkuta,
Mambo yatakuwa moto....
Source: nimeisahau
 
Last edited by a moderator:
Hutaki kusikia habari za wanawake sasa unataka kusikia habari za kina nani?wanaume au?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Nataka kusikia habari za hela,kuanzia leo mi natafuta hela tu.
 
Bishanga hates women? Thats very new! Sa how cud u live without them na uko adicted? Teh!
 
Namta mbaya wangu,
Anayenikorofisha,
Siku nikimkuta,
Mambo yatakuwa moto....
Source: nimeisahau

hah hah hah hah! Source ni Jumbe aliyeimba penzi ni kikohozi. Song ni Mama Maria! Long time kitambo!
 
hah hah hah hah! Source ni Jumbe aliyeimba penzi ni kikohozi. Song ni Mama Maria! Long time kitambo!

Ahsante mkuu,na ole wake nimkamate,nitamwitia polisi jamii.
 
mi simwonei hata huruma,
kilichomfanya aniache na watoto yeye
akamiliki nyumba za wajane ndo nini
tena bahati yake amejitambua mapema.
Hawa polisi jamii bana!? Ona sasa yaliyomkuta Bishanga. Pole kaka. Siku nyingine maliza kikao mapema!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom