women! I hate women!

women! I hate women!

Pole sana ndugu yangu kwa hapa nitakuwa tofauti nawe! Mimi nawapenda sana!

Ngambile bakukolaki?
 
Komredi, kuanzia sasa ntakuwa sichukulii maneno yako kimasihara.

Ila unaonaje ukiachana na mke wa huyu mtu baada ya kujifungua? Naona dalili za mtu kujinyonga hapa.

Nijinyonge kisa mwanamke?
 
Yaani tukipata wanaume angalau 100 tu kila mkoa wanaojivua gamba hivi mbona tutaishi kwa raha? mnatusumbua sana na nyie, hamjui tu

Kisha? Ndo muogee maji ya moto?
 
ile exile niliyokupa ndo inakufanya uwachukie ma beijing vumilia huu mwezi ukiisha nita consider ombi lako la mara moja kwa wk.na ukisusa wenzio wala

The secretary,hivi wewe unaweza kumwacha
Bishanga kweli? Una ubavu huo?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom