lontor
JF-Expert Member
- Apr 5, 2017
- 311
- 1,763
Una click hiyo alama ya v upande wa juu wa kulia wa thread.Mkuu nikitaka Ku subscribe nafanyeje
Una click hiyo alama ya v upande wa juu wa kulia wa thread.Mkuu nikitaka Ku subscribe nafanyeje
Kudadeki kuna dem anajidai ananipenda sana wakati siyo mimi niliemtoa bikra inawezekana kana niigizia japo hakaniombi hela huwa Nampa kwa huruma zangu kumbe itakua bado anapendana na jamaa yake aliemtoa bikraMwanamke mara nyingi anapenda mara moja, hiyo ndio sababu.
Kama wewe ndio First Lover wake anayekupenda Sana basi jua anakupenda mno.
Lakini Kama wewe ni Mpenzi wapili au watatu kuendelea basi unayoyasema huweza kuwa kweli.
Mwanamke anapoachwa na First Lover wake ndio huingiwa na Roho ya ukatili na kuwa hivi walivyo wanawake wengi WA mjini
Hivyo lawama nyingi lazima ziende Kwa Wanaume waliowaumiza wanawake zao Hali inayopelekea kuwafanya wanawake wasiwe na upendo wa kweli
Kudadeki kuna dem anajidai ananipenda sana wakati siyo mimi niliemtoa bikra inawezekana kana niigizia japo hakaniombi hela huwa Nampa kwa huruma zangu kumbe itakua bado anapendana na jamaa yake aliemtoa bikra
Shubamitt ngoja nirudie ukauzu wangu
Lakin si ndo unakua mwanaume wake wa kwanza auKumtoa bikra mwanamke sio kwamba ndio anakupe au alikupenda
Lakin si ndo unakua mwanaume wake wa kwanza au
Basi ntamuambia its better we umekuja na experience.... Kwamba ukitiwa kidole inakuwa good.Umri wako tafadhari.... Ok unataka kumteka? Ushauri, unaposex mwambie aweanakutia dole.
Nahitimisha kwakusema wewe ni bonge LA fala! Hakuna demu hapo Toka nduki kimbia fasta!
For sureKwa uzoefu wangu wote
Nilijifunza kitu kimoja ukitaka kujua km mwanamke anakupenda muangalie mara ngapi anaonyesha matendo ya kukuonea huruma

'acheni kudanganyana hapa'..!







Unauhakika na ulichoandika au unahisi iko hivo?Mmh Kwamba kuna mwanaume ambaye halijui hilo
Kuwa wanawake HAWAPENDI?
hata maswali wanayoulizwa siku ya kufunga ndoa
wanawake HAWAULIZWI KUPENDA
BALI WANAULIZWA KUHESHIMU.
Ni Mwanaume pekee ndiye anaulizwa KUPENDA.
Hata Biblia imelisema hilo!
Wanahonga ili uwape good sex, au marriage titleMbona wapo waahongao inakuwaje hapo
Hii ni Vow ya wapi Shekh ?Unauliza ili kueleweshwa ama unaliza kwa kufikiri kuwa watu wote tunaishi kwa kuhisi tu?
ulishafunga ndoa au kuhudhuria ndoa ikifungwa kanisani?
Kama ulishafunga ndoa
Je mchungaji alikuuliza swali gani na mama aliulizwa swali gani?
(Mume ni swali la kupenda)
(Mke ni swali la kutii/ kuheshimu)
Msingi wake ni Efeso 5:22, 25
Je, utampenda mkeo?
Je, utamtii/ heshimu mumeo?
Sasa kwanini wote wasiulizwe swali la kupenda?
Kwanini waulizwe maswali mawili tofaut?
Mume ndiye anapenda
Mke anatii/ heshimu
Ile hali ya mke kutii/ heshimu
ndiyo mume huitafasiri kama upendo.
Mmekariri Nyimbo za R. Kelly (when a woman loves
na Ali kiba ( mwanamke akipenda)
Hahaha
MWANAMKE HAJAWAHI KUPENDA na iwapo wa kwako anakwambia hivyo
Kuanzia Leo kamwambie hilo ni Jukumu lako
Yeye anapaswa kukutii/ heshimu
(Soma Kitabu wa Waefeso 5:22 - 31)
iwapo ni muumini wa kikristo
Aisee ulivyotaja wanawake wa kaskazini umenikumbusha mbali sana.Ungesema mostly and not All women. Kuna wanawake wanapenda kabisaa. Sema wanawake wengi wa mjini hususan kaskazini hawana mapenzi kabisaa, yamekaa kama punda milia tu
Yes, Mungu ameumba watu kwa aina mbali mbali 😅Aisee ulivyotaja wanawake wa kaskazini umenikumbusha mbali sana.
Kule ndoa hazina thamani kabisa,wanawake hawana heshima kwa waume zao.
Unamtongoza mwanamke wala hasemi kama ameolewa,anakuuliza tu umeniandalia shilingi ngapi,kazi yako ni kusema tu nimeandaa elfu 10 au 20 jioni unaenda kula mzigo.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Could you help me this source. I wanna dig deeper pleaseLet me give you a lesson brother it all started back then,
The society brainwashed men. It's crazy when you think about all the lies they fed men.
Back on 1500, the selfish wealthy men of the society (esp in Europe) sat down and thought how they would expand their wealth.
They created certain rules like marriage, they created feminists, they removed important patriarchy books from the bible and instead replaced with feminized books such as ''songs of solomon'' to feminize the society more so the masculine man would be feminized and with time it would all be accepted.
By doing so the woman who has more needs than a man would coerce the man into doing and buying things for her thereby favoring the
businessmen into more wealth through their devious ways.
Their ways finally became successful as the of 21st century, men are so pussified to the extent of no return nor detecting lies the society has been fed for the past 200 years.
Ili akaweke heshima December kuwa ni mtafutaji.Aisee ulivyotaja wanawake wa kaskazini umenikumbusha mbali sana.
Kule ndoa hazina thamani kabisa,wanawake hawana heshima kwa waume zao.
Unamtongoza mwanamke wala hasemi kama ameolewa,anakuuliza tu umeniandalia shilingi ngapi,kazi yako ni kusema tu nimeandaa elfu 10 au 20 jioni unaenda kula mzigo.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app