Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,807
- 17,361
Mbona kwangu haipo nduguUna click hiyo alama ya v upande wa juu wa kulia wa thread.
Mbona kwangu haipo nduguUna click hiyo alama ya v upande wa juu wa kulia wa thread.
Kazi ya kupenda ni ya mwanaume, msituchoshe
"CHUKUA DAWA HII..."unaambiwa Huy usemi unawaganga pekeeU nailed it man.... Hii pia nliwah waza nikafanya ni akawa inafanya kazi ili nilichelewa kugundua maana ana kawaida ya uoga mwingi na kutokuwa muwazi.... Anakaa na vitu moyoni vikiendelea kumtesa... Nikawa nahisi haifanyi kwa kuwa hakukuwa na reaction yoyote ila baadae nkaona inafanya...
Shida inakuja ye ni mtu wa kuridhika na kurahisisha saana akikuambia kitu ukijib sory ashaelewa iyo... Hana time ya kuanzisha mzozo.
Kitu kingine ni kuwa... Ni mtu ambaye anaweza fanya kitu ma asijue kwa nin kafanya.. ana mihemko saaan. Na ugeni wake kumahusiano unafanya awe na majibu ya kukera saana inahitaji uvumilivu.
Imagine anakaaa anamtumia mesej mshkaji.. ya kumuacha afu jamaa anaelewa then manzi anakaa siku tatu ye mwnyewe anarud kuomba msamaha....
Yaani kama karogwa hivi maku yuuule... Au nitafute mganga na mi nimroge nin
.
Huyu mi nataka kuteka asisikie asiambiwe, hata akienda kupigwa ila akija kwangu hapindui....
Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app

Search on how the diamond ring was introduced as engagement ring and how the stone was made famous and precious by some psychologist guy. From that source you will get many more relevant agendas.Could you help me this source. I wanna dig deeper please
Dawa gani man?"CHUKUA DAWA HII..."unaambiwa Huy usemi unawaganga pekee![]()
Mkiachwa mnakuja na factComrades,
They love what you can do for them.
She desires unconditional love from you, but her love will have hundreds of conditions from day one.
It's called the security provision objective of her sexuality. Sex is her only natural tool for negotiating with a man in the intergender relationship; she beds you in exchange for provision, which makes her love for you conditional.
The only person she loves unconditionally is her own child or children or, put the other way round, it's only a man's own mom who can love him unconditionally not the type of woman he beds. Sex sells for women and whenever her coochie is open, it's business. Nothing is new under the sun.
Know and accept this, then adapt!
Good week comrades!!
Update:-
Moreover, since sex is her only natural tool for negotiating with a man in the intergender relationship, the moment she's laying you it's like her side of the bargain is done leaving you the bulk of the burden to perform ie provision and protection. How you do it is not her business, all she cares about is you providing. It's no surprise she can put up with a thief, robber or con man because all that matters to her is the idiot bringing home money whether he gets gunned down or sent jail matters little. In other words, the woman you bang lacks empathy, which is the reason most, if not all, women are found hanging around the finishing line not at the start of a man's race waiting winners whom they offer sex in return for provision.
unataka ugomvi na wachagaUngesema mostly and not All women. Kuna wanawake wanapenda kabisaa. Sema wanawake wengi wa mjini hususan kaskazini hawana mapenzi kabisaa, yamekaa kama punda milia tu
Kutii na kuheshimu mahali tunapopendwa.😂😂😂😂 na nyie kazi yenu ni ipi? FUNGUKA!!!
Wale watu ni hatari sana.Ili akaweke heshima December kuwa ni mtafutaji.
Kuna mmachame mmoja nilikuwa namkula alikuwa Ana duka la nguo Arusha Ila akija dar anafikia Mugabe gesti hapo sinza.
Anauza uchi wee akipata hela ananunua mzigo akapeleka dukani kwake.
Aliniambia kuwa huko wanamjua kuwa anafanya biashara ya nguo. Nilipiga salute kwa manka kwa utafutaji jamani
😅 you are right, sio kuonesha tu bali kukuokoa kwenye hayo majangaKwa uzoefu wangu wote
Nilijifunza kitu kimoja ukitaka kujua km mwanamke anakupenda muangalie mara ngapi anaonyesha matendo ya kukuonea huruma
Dah huyu coomer kiboko aisee! Anauza uchi kama ratiba?Ili akaweke heshima December kuwa ni mtafutaji.
Kuna mmachame mmoja nilikuwa namkula alikuwa Ana duka la nguo Arusha Ila akija dar anafikia Mugabe gesti hapo sinza.
Anauza uchi wee akipata hela ananunua mzigo akapeleka dukani kwake.
Aliniambia kuwa huko wanamjua kuwa anafanya biashara ya nguo. Nilipiga salute kwa manka kwa utafutaji jamani
Kama sijaelewa hivi,mfano majanga gani umefumaniwa au😅 you are right, sio kuonesha tu bali kukuokoa kwenye hayo majanga
Yes coz sometimes wanaweza kukuigizia huruma kumbe moyoni ni tofauti.you are right, sio kuonesha tu bali kukuokoa kwenye hayo majanga
Demu akusaidie ukifumaniwa tena😅?Kama sijaelewa hivi,mfano majanga gani umefumaniwa au
😁😁 yeah ushaona demu anakuwa kama mchizi wako,anakuokoa kwenye majanga mara hauna hela anakuungia siku ziende afu demu akikusaidia sana huwa hisia nae zinapotea unamwona kama ndugu yakoDemu akusaidie ukifumaniwa tena😅?
Hapo sasa ni demu kuwa mchizi wako tu ila sio ile kuwa anakufeel sababu anaweza akawa na jamaa yake wako cool tu😁😁 yeah ushaona demu anakuwa kama mchizi wako,anakuokoa kwenye majanga mara hauna hela anakuungia siku ziende afu demu akikusaidia sana huwa hisia nae zinapotea unamwona kama ndugu yako
Wewe sio mkweli hata kidogo....Mwanamke mara nyingi anapenda mara moja, hiyo ndio sababu.
Kama wewe ndio First Lover wake anayekupenda Sana basi jua anakupenda mno.
Lakini Kama wewe ni Mpenzi wapili au watatu kuendelea basi unayoyasema huweza kuwa kweli.
Mwanamke anapoachwa na First Lover wake ndio huingiwa na Roho ya ukatili na kuwa hivi walivyo wanawake wengi WA mjini
Hivyo lawama nyingi lazima ziende Kwa Wanaume waliowaumiza wanawake zao Hali inayopelekea kuwafanya wanawake wasiwe na upendo wa kweli

Nimekunywa glass ya maji hapa 😂Wewe sio mkweli hata kidogo....
Mbona mimi first lover wangu simpendi hata kidogo kwanza ndo najiuliza ilikuwaje nikazama nae kimahaba.....
Fanya utafiti tena![]()
Wewe sio mkweli hata kidogo....
Mbona mimi first lover wangu simpendi hata kidogo kwanza ndo najiuliza ilikuwaje nikazama nae kimahaba.....
Fanya utafiti tena![]()