Women don't love you (sad truth)

Women don't love you (sad truth)

She is even easier, she needs you to be a man(alpha) kuna vitu anaona kwa jamaa na wewe unavyo tofauti kumzidi(kila mtu kamzidi mwenzake hawezi fanya maamuzi sahii) ndio vinamchanganya stand at your ground husiwe wakamtafuta kila mara au expressing your self akianza kusema umebadilika your hitting the spot, play by that rules be the leader comrade. Ratio is 1:3 kwa sasa husiogope kumpoteza wapo wengi learn and adapt.
U nailed it man.... Hii pia nliwah waza nikafanya ni akawa inafanya kazi ili nilichelewa kugundua maana ana kawaida ya uoga mwingi na kutokuwa muwazi.... Anakaa na vitu moyoni vikiendelea kumtesa... Nikawa nahisi haifanyi kwa kuwa hakukuwa na reaction yoyote ila baadae nkaona inafanya...

Shida inakuja ye ni mtu wa kuridhika na kurahisisha saana akikuambia kitu ukijib sory ashaelewa iyo... Hana time ya kuanzisha mzozo.

Kitu kingine ni kuwa... Ni mtu ambaye anaweza fanya kitu ma asijue kwa nin kafanya.. ana mihemko saaan. Na ugeni wake kumahusiano unafanya awe na majibu ya kukera saana inahitaji uvumilivu.

Imagine anakaaa anamtumia mesej mshkaji.. ya kumuacha afu jamaa anaelewa then manzi anakaa siku tatu ye mwnyewe anarud kuomba msamaha....

Yaani kama karogwa hivi maku yuuule... Au nitafute mganga na mi nimroge nin
.
Huyu mi nataka kuteka asisikie asiambiwe, hata akienda kupigwa ila akija kwangu hapindui....

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
 
She is even easier, she needs you to be a man(alpha) kuna vitu anaona kwa jamaa na wewe unavyo tofauti kumzidi(kila mtu kamzidi mwenzake hawezi fanya maamuzi sahii) ndio vinamchanganya stand at your ground husiwe wakamtafuta kila mara au expressing your self akianza kusema umebadilika your hitting the spot, play by that rules be the leader comrade. Ratio is 1:3 kwa sasa husiogope kumpoteza wapo wengi learn and adapt.
Jana kaniambia kuwa hakuwah kuwaza kama kuna mahusiano ya mtu zaid ya mmoja.... Ila alisikia friends zake wanadiscus ma kuchukulia kma ni kitu cha kawaida ndipo ma yeye akaingia jumla akakusanya kama watano... Time iyo akiwa na miaka 21... Now ni 22.

Kadumu nao kwa miezi karibu mi4 kwa kuwa hakuna mtu alikuw ana time ya kuchunguza mwenzake kila mtu alikuwa kwa mwenza kwa sababu zake... Na uyo demu ana kawaida ya kuhonga wanaume... Ndio maana wengi wakibaki kwake wanakuwa na target iyo tu.

Nilipoingia mimi akataka kuniletea pigo za kunichunguza na kuniiguzia kwa kuwa aliamin ashajua mahusiano ni mzoefu anifanye anavyotaka ndipo nikaamza kumfatilia na kumchana... Nikamwambia ukitaka tuishi kwa kufuck saw ukitaka love sawa ila kuna rules zake... Akachagua live akajisafisha kweli kweli... Ila uyo jamaa mmoja ndio ikawa shida... Na sio kwamba eti wanapendan... Ni mwanamke anampenda mshikaji na hana sababu yoyote zaid ya kusema nimemzoea tu nmejikuta nashndwa kumuacha bila kosa na kumfatilia siwez hataka nimchunguze.... Basi kamaliza hapo.

Navuta ndani na mi navaa ndomu napifa vyangu maisha yanasonga... Sasa nataka nirule the game ili nijue cha kufanya

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
 
Comrades,

They love what you can do for them.

She desires unconditional love from you, but her love will have hundreds of conditions from day one.

It's called the security provision objective of her sexuality. Sex is her only natural tool for negotiating with a man in the intergender relationship; she beds you in exchange for provision, which makes her love for you conditional.

The only person she loves unconditionally is her own child or children or, put the other way round, it's only a man's own mom who can love him unconditionally not the type of woman he beds. Sex sells for women and whenever her coochie is open, it's business. Nothing is new under the sun.

Know and accept this, then adapt!!!

Good week comrades!!

Update:-
Moreover, since sex is her only natural tool for negotiating with a man in the intergender relationship, the moment she's laying you it's like her side of the bargain is done leaving you the bulk of the burden to perform ie provision and protection. How you do it is not her business, all she cares about is you providing. It's no surprise she can put up with a thief, robber or con man because all that matters to her is the idiot bringing home money whether he gets gunned down or sent jail matters little. In other words, the woman you bang lacks empathy, which is the reason most, if not all, women are found hanging around the finishing line not at the start of a man's race waiting winners whom they offer sex in return for provision.
Uko deep sana
 
K
Nimejaribu kufanya hii kitu ila haikufanya poa saana... Ujue wote ni wanafunz afu msichana yupo vizuur kidgo kiuchumi ila ana akili ndogo mno... Can u imagine anasema hataki kutuacha anatupenda woote nimsaidie amuache jamaa ye anashndwa

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
Kama umeweza kuelewa akili za wanachuo unahitaj utunukiwe certificate of honour
 
Mwanamke mara nyingi anapenda mara moja, hiyo ndio sababu.

Kama wewe ndio First Lover wake anayekupenda Sana basi jua anakupenda mno.
Lakini Kama wewe ni Mpenzi wapili au watatu kuendelea basi unayoyasema huweza kuwa kweli.

Mwanamke anapoachwa na First Lover wake ndio huingiwa na Roho ya ukatili na kuwa hivi walivyo wanawake wengi WA mjini

Hivyo lawama nyingi lazima ziende Kwa Wanaume waliowaumiza wanawake zao Hali inayopelekea kuwafanya wanawake wasiwe na upendo wa kweli
 
Mkuu unajuaje kama mwanamke anapenda mara moja ilihali hujawahi kuwa mwanamke?
 
Niaje wadau.

Nimeambiwa na demu wangu kuwa niwe mvumilivu na niongeze upendo ili amsahau mchepuko wake ambae yupo nae na anampenda kuliko mimi ila jamaa hampend demu but demu anasema anashndwa kabisa kumuacha......

Sasa wadau nisaidieni jins ya kumtreat huyu manzi nimteke mazima aje kwangu... Mwanzo nilikuwa nataka kupiga na kusepa sasa nimejikuta naganda baada ya dogo kuniambia kuna pesa anaiskilizia tufanye busines.... Ni mchepuko tu lakini na ni mwanachuo.

Upendo wake kwa jamaa haiusuani kabisa na kupigwa vizuur wala kuhongwa... Anadai ni mazoea tu ananiomba nikubali kuwa mume mdogo...

Mi nimekubali kwa kuwa sio ndoa na sina mpango wowote... Ila sasa nisipomteka manzi.. iyo pesa ataidaka jamaa...

Ushauri wadau mbona za kumteka huyu mrembo.

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
Umri wako tafadhari.... Ok unataka kumteka? Ushauri, unaposex mwambie aweanakutia dole.
Nahitimisha kwakusema wewe ni bonge LA fala! Hakuna demu hapo Toka nduki kimbia fasta!
 
Umri wako tafadhari.... Ok unataka kumteka? Ushauri, unaposex mwambie aweanakutia dole.
Nahitimisha kwakusema wewe ni bonge LA fala! Hakuna demu hapo Toka nduki kimbia fasta!
Hahahahaha!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom