Women don't love you (sad truth)

Women don't love you (sad truth)

Wewe sio mkweli hata kidogo....

Mbona mimi first lover wangu simpendi hata kidogo kwanza ndo najiuliza ilikuwaje nikazama nae kimahaba.....

Fanya utafiti tena
As hypergamy goes women date upwards, men date equal or downwards most cases..

Ndio maana tunasema husishindane na mwanamke hamtaki kuelewa, jamaa sasa hapendwi kabisa lakini at 1 point he was the best.

Learn and adapt or vanish!!
 
Search on how the diamond ring was introduced as engagement ring and how the stone was made famous and precious by some psychologist guy. From that source you will get many more relevant agendas.
Am not spoon feeding you Comrade

Wale watu ni hatari sana.
Ukiwaangalia kwa muonekano wao wako smart sana wala huwezi kudhani kwamba wanategemea papuchi kuishi.
Huko Arusha niliwaburuza sana yaani wa kila aina,hawana mambo ya kuzungushana ni fasta tu unamaliza kazi
Hela yako. Kuna mmoja hivi nikifikaga ar
 
She is even easier, she needs you to be a man(alpha) kuna vitu anaona kwa jamaa na wewe unavyo tofauti kumzidi(kila mtu kamzidi mwenzake hawezi fanya maamuzi sahii) ndio vinamchanganya stand at your ground husiwe wakamtafuta kila mara au expressing your self akianza kusema umebadilika your hitting the spot, play by that rules be the leader comrade. Ratio is 1:3 kwa sasa husiogope kumpoteza wapo wengi learn and adapt.
don't be too gentle! tell the cabron that he is giving the heart to a slut
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom