Women and Freemasons

nimeangalia documentary zaidi ya 120, hakuna ushahidi unaoridhisha,
Ni mawazo ya mtu mwenye prejudice tu na kama unafanya reasoning as prudent man utagundua kuwa hizi habari ni maigizo.

kwa Andy Chande pia anaigiza?
 
Mnao dai wema sepetu ni masonic hakuna kitu kama hicho,baadhi ya mastaa hapa bongo
hupenda kujifanya ni freemasons kwamba ni fashion.. A WOMAN CAN NEVER BE A FREEMASON...NEVER
Kama unamjua mwanamke mason nitajie...........

Fanya research kabla hujaandika...period
 
natamani ningekua na uwezo wa kuondoa huu uozo kwenye akili za watanzania wenzangu..freemasom ni kweli wapo ila hatuwajui kama tunavodhani tunawajua..kusoma habari zenye kudai zinatoboa siri za freemason kwenye mitandao na kuamini ni upuuzi mtupu..kama kuna mtu aliyewahi kuwa masonic humu huyo nitamuamini kama ataongea kitu..ila pia haitakua rahisi kunishawishi kuwa alikua masonic..hizo habari zilizojaa mitandaoni mwehu yeyote anaweza kuziandika na wehu wenzio duniani wakaziamini sbb mara nyingi hizo secrety societies zinahusishwa na imani za giza lkn ushahidi wa kushawishi kuwa yanayoongelewa ni kweli haupo..tujiulize kama kweli masonic ni wa siri sana iweje siri zao hata mimi niweze kuzisoma mitandaoni..maana kila mtu anajiandikia na kila mwenye muda mchafu wa kufuatilia anaweza kuzisoma..
 
well said.
 
Antichrist ni Freemason?
Kama jibu ni ndiyo basi inasemekana Oprah Winfrey ni Antichrist pamoja na Obama wakati wengine wanasema Obama pia ni Freemason!
 
Acha kukurupuka wewe nani amekudanganya kuwa wanawake hawawezi kuwa masons? kwani wanatumia Mikenjeli kule kufanya ibada na shughuli zao ??? For your Info the heading of Masons ni Malkia Elizabeth wa uingereza.
 
for your info hakuna heading wa masons hakuna aliyekuwa top katika mason..only a satan,lucifer,kabalah
 
Mnao dai wema sepetu ni masonic hakuna kitu kama hicho,baadhi ya mastaa hapa bongo
hupenda kujifanya ni freemasons kwamba ni fashion.. A WOMAN CAN NEVER BE A FREEMASON...NEVER
Kama unamjua mwanamke mason nitajie...........

Queen Elizabeth, Rihanna, lady Gaga
 
natamani ningekua na uwezo wa kuondoa huu uozo kwenye akili za watanzania wenzangu..freemasom ni kweli wapo ila hatuwajui kama tunavodhani tunawajua..kusoma habari zenye kudai zinatoboa siri za freemason kwenye mitandao na kuamini ni upuuzi mtupu..kama kuna mtu aliyewahi kuwa masonic humu huyo nitamuamini kama ataongea kitu..ila pia haitakua rahisi kunishawishi kuwa alikua masonic..hizo habari zilizojaa mitandaoni mwehu yeyote anaweza kuziandika na wehu wenzio duniani wakaziamini sbb mara nyingi hizo secrety societies zinahusishwa na imani za giza lkn ushahidi wa kushawishi kuwa yanayoongelewa ni kweli haupo..tujiulize kama kweli masonic ni wa siri sana iweje siri zao hata mimi niweze kuzisoma mitandaoni..maana kila mtu anajiandikia na kila mwenye muda mchafu wa kufuatilia anaweza kuzisoma..

Ushasema secret society basi ujue yako mengi usooyajua.Ni exclusively kwa wahusika. Hayo ya mitandaoni zuga tu. Kwani wao wajinga waanike mambo yao?
 
Queen elizabeth,barbara bush,angela merkel,catherine ashton,hillary clinton
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom