Women and Freemasons

Mozila

Senior Member
Mar 23, 2012
174
47
Mnao dai wema sepetu ni masonic hakuna kitu kama hicho,baadhi ya mastaa hapa bongo
hupenda kujifanya ni freemasons kwamba ni fashion.. A WOMAN CAN NEVER BE A FREEMASON...NEVER
Kama unamjua mwanamke mason nitajie...........
 
Kwa ujumla hakuna kitu inayoitwa freemason.
Hii ni propaganda ya kuwapotezea mda wajinga.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Freemasons ipo. Moja kati ya waanzilishi wake ni George Washington. Freemasons ndio founding fathers of the USA.
Corner stones za capital Hill and white house were laid by the Freemasons.
Angalia documentary channels au soma literature zinazohusu secret societies
 
Freemasonry is a part of illuminati. Ilikua ni brotherhood stuff lakn sasa wanawake wanaingia.lady gaga is an illuminati..
 
Freemasons ipo. Moja kati ya waanzilishi wake ni George Washington. Freemasons ndio founding fathers of the USA. Corner stones za capital Hill and white house were laid by the Freemasons. Angalia documentary channels au soma literature zinazohusu secret societies
nimeangalia documentary zaidi ya 120, hakuna ushahidi unaoridhisha,
Ni mawazo ya mtu mwenye prejudice tu na kama unafanya reasoning as prudent man utagundua kuwa hizi habari ni maigizo.
 
Freemasonry is a part of illuminati. Ilikua ni brotherhood stuff lakn sasa wanawake wanaingia.lady gaga is an illuminati..

mwazilishi wa illuminati alikua ni profesa wa kijeruman na alitaka kujipenyeza freemason lakini haikuwezekana kufuatia malengo yao kuwa tofauti na freemason.wao illuminati waliona kuwa inabidi kupangua serikali zote na dini zote kuleta kitu inayoitwa NEW WORLD ORDER.Dunia iwe under one government na hakuna cha kanisa wala msikiti.
Wao fremason asili yao ni United kingdom,marekani walihamia tu.
Zaidi nenda HOWSTUFFWORK.COM.
Kuna article heading.,How freemasonWork.
 
Freemasons ipo. Moja kati ya waanzilishi wake ni George Washington. Freemasons ndio founding fathers of the USA.
Corner stones za capital Hill and white house were laid by the Freemasons.
Angalia documentary channels au soma literature zinazohusu secret societies

freemason started before Christ
 
watu mkiona people are succeeding hamchelewi kusema ni members of a secret society..has it ever crossed your mind that maybe theyre hard workers??that mayb if you worked as hard you might be as successful as they are??am just saying..
 
Lady gaga,rihanna,beyonce, wanaitwa illuminati puppets ni part ya new age iliyoanzishwa na mother tereza kazi yao ni kucontrol mind za fans zao...
 
Back
Top Bottom