


Alooooooh!alijisahau badala ya kupaka makeup akapaka makedown
Mwenzio keshasema makedown nawe umeona ucopy na kupaste huku.Hiyo ni makedown!
Yani acha tu hawa wanaume ni hatare sana.Mmh tatizo wanaume hamtakagi wa asili.....hapa mtacomment ooh napenda natural huku mnawafata haohao wa makedown sijui![]()
SanaaYani acha tu hawa wanaume ni hatare sana.
Mmh tatizo wanaume hamtakagi wa asili.....hapa mtacomment ooh napenda natural huku mnawafata haohao wa makedown sijui![]()
Labda kwako mkuu....BTW:make up sio kujichubuaGari haliwaki kwa mwanamke aliejichubua.
Ahahahah kwaniniUsiombe wolper akung'ate na kile kijino kake hata kiutani tu
Utachoma tetanus mwaka mzima huponi
Kwan siku hiz mnagombea likes?Mwenzio keshasema makedown nawe umeona ucopy na kupaste huku.
Ukitegemea nawe ujipatie like kama yeye
Cartoon zingekuwa hivyo watoto wasingeangalia!Kawa vibaya du! Kama cartoon