Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,672
- 4,560
UKISEMA wewe ni mkristo utaulizwa ,dhehebu gani?Hapa Kuna Wakatoliki (mama wa dini zote),Kuna waprotestanti (Lutheran, Anglican, n.k.) ,Kuna Wasabato , Jehovah witness, latter day saints,Kuna madhehebu mengine chungu nzima.Kuna wapentecoste hawa ndiyo wanajulikana hapa Tanzania kama (WALOKOLE).
Nimesoma Warumi 10:9 inasema Kwakuwa umkiri YESU Kwa kinywa chako kuwa ni BWANA utaokoka.Sasa mstari huu unatafsiriwa tofauti kulingana na madhehebu,Kuna mistari mingine mingi kwenye biblia inayozungumzia KUOKOKA ,WOKOVU.
Swali langu je MKATOLIKI au MLUTHERI akimkiri YESU Kwa kinywa chake tayari AMEOKOKA? je WALOKOLE wana kipi Cha ziada,je mtu anaweza KUOKOKA ndani ya dhehebu au akiokoka identity yake inabadilika?
Je Leo hii YESU au wanafunzi wake wakija wataabudu dhehebu gani?
NB.Lengo la Uzi huu ni kuchangamsha mjadala siyo kukejeli, Kwa mwenye mapenzi mema hivyo comment za matusi au dhihaka hazitavumiliwa . Karibuni wajuvi mtuelimishe.