Kwanini Wokovu wa zamani ulikuwa wa Moto
Wakati nikiwa kwenye kongamano la maombi la kitaifa la 18 linaloongozwa na Mwalimu Christopher Mwakasege.
Wakati ibada zikiwa ziliendelea na wakati tukiwa safarini kutoka kwenye hosteli kwenda ukumbini, kuna kitu nilijifunza
Nikamuuliza mama mmoja mtu...
Habari nilileta ile uzi wa kwanza lakini sababu nimeshindws kiedit heading sasa nimetengeneza mwingine modes nisaidieni kuufuta ule wa kwanza
Nimetengeneza app kwa ajili ya android, ios na web
Ambapo mtu anaweza kusoma tenzi za rohoni, nyimbo za wokovu na biblia (kote) akiwa na app anaweza...
Habari, nimetemgeneza app inaitwa Wakristo ndani yake ina biblia(SUV) tenzi za rohoni na Nyimbo za wokovu
Pamoja na features nyingi za kukurahisishia kazi, hii ni first version kwa ajili ya android pakua hapa
Nimerecord video kuhusu matumizi hii hapa
https://vt.tiktok.com/ZS4X3oW3J/...
Nimemusoma uku machozi ya furaha yakinibubujika. Ukombozi umekaribia kabisa upo mlangoni maana waliokua vipofu sasa wanaona na kuutanbua ukweli wote bila kubakiza kitu WATU WA MUNGU WTARUDI KWAKE NA WASHETANI WATABAKI KUWA WAKE SHETANI SIKU ZOTE.Huyu alikuwa mtu wa Mungu amerudi kwa mola ake...
Wandugu zingatieni sana hili hasa ukiwa pekeyako
Ni uamuzi wa busara sana kutozima simu yako unapoenda kulala, kwani hatua hii ndogo inaweza kuwa tofauti kati ya usalama na janga kubwa.
Nyakati za usiku zimejaa mambo yasiyotabirika, na simu yako ikiwa hewani inafanya kazi kama kiunganishi...
UKISEMA wewe ni mkristo utaulizwa ,dhehebu gani?Hapa Kuna Wakatoliki (mama wa dini zote),Kuna waprotestanti (Lutheran, Anglican, n.k.) ,Kuna Wasabato , Jehovah witness, latter day saints,Kuna madhehebu mengine chungu nzima.Kuna wapentecoste hawa ndiyo wanajulikana hapa Tanzania kama (WALOKOLE)...
Wokovu kutoka kwa nini?
Unaporudia neno “wokovu” bila kuelewa, unakariri hadithi ya kubuni si ujumbe halisi.
Unawasikia Wakristo kila mahali wakisema:
“Yesu aliniokoa!”
“Alinikomboa kwa damu yake!”
“Aliniokoa kutoka laana ya asili!”
Lakini hebu nikuulize:
Rafiki yangu, Yesu alikuokoa kutoka...
Wakuu naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa DSM.
Naomba kujua je wanna uhusiano wowote na majeshi yetu?nauliza hivyo Kuna siku kupitia redio nilimsikia mtumishi anaongoza Ibadan anaitwa meja---!mwenye uelewa atufungue kidogo!;
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.