Hii habari ni moto sana! Kila mtu anapaswa kuisoma mwanzo mpaka mwisho.
Kweli Mungu anawapenda watu wote. Amebadilisha maisha ya Mtengeneza Maudhui(Youtuber) maarufu mwenye umri wa miaka 30, aliyejizolea mamilioni ya Subscribers kwa video zake za comedy, muziki, boxing na survival challenges...
Je ni lazima kubadilisha jina baada ya kuokoka?
Katika biblia Mungu hakuwabadilisha watu majina kutokana na tafsiri za majina yao.
Ni muhimu sana kufahamu hili, vinginevyo shetani anaweza kukutesa na tafsiri ya jina lako.
Hii ni kwa sababu usipomwelewa Mungu jinsi anavyotenda kazi...
UKISEMA wewe ni mkristo utaulizwa ,dhehebu gani?Hapa Kuna Wakatoliki (mama wa dini zote),Kuna waprotestanti (Lutheran, Anglican, n.k.) ,Kuna Wasabato , Jehovah witness, latter day saints,Kuna madhehebu mengine chungu nzima.Kuna wapentecoste hawa ndiyo wanajulikana hapa Tanzania kama (WALOKOLE)...
Hii sio chit chat. Nimethibitisha kwa macho na masikio yangu, na kuonja kwa nafsi yangu. Tangu nilipompokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wangu, nafaidi utamu huu:
Siogopi wachawi wala siogopi kulala kwenye nyumba zenye vibwengo – wachawi wakinijia, nawapiga 'knock out' kwa Jina la Yesu...
GT
Ni wazi polepole ni moja ya wale walioshiriki kuminya demokrasia nchini.
Lakini hilo halimuondolei.uhalali na haki ya kutubu na kuyaacha ya zamani na kuanza ukurasa mpya.
Kwa hiyo mwacheni nyie endleeni kuua na kuteka malipo ni hapa hapa duniani.
Kama umekuwa ukijiuliza maswali kama hayo, leo ni siku yako ya kujua maana ya kuokoka na pengine ndiyo siku yako na wewe ya kuokoka.
Kuokoka ni neno tu la kawaida la Kiswahili lenye maana ya kusalimika au kunusurika kutoka katika janga, maafa makubwa au hatari yoyote inayokuijia. Mfano mzuri ni...
Aliyekuwa mhalifu wa matukio ya wizi wa pikipiki mkoani Njombe ameamua kuachana na uhalifu na kumrudia Mungu baada ya kupata maono akiwa gerezani.
Baada ya kuokoka, Jeshi la Polisi mkoani humo limemkabidhi spika aliyoomba ili aitumie kueneza Neno la Mungu na kuwahamasisha wahalifu wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.