Kwa hiki nilichoshuhudia huu mpango wa uzazi wa kuzaa watoto wawili au watatu siwezi kuufanya

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,275
21,445
Wasomi wengi wanajidanganya kwamba kuonekana civilized ni kuzaa watoto wa chache, Baba angu mdogo alikuwa na utani wa kutuambia kwamba unazaje watoto wawili we ni Mkristu? Kumbe siku hizi hata wakristu walisha acha fikra za kizungu za kuzaa watoto wawili wana fiatua kweli kweli nje na ndani kuzini sio shida kwao.

Hapa kazini our senior supretedant alikuwa na watoto wawili yeye anawaita Max ndo mkubwa na "Junior J" ndo last borne for the last 22yrs walikuwa wana ishi abroad, sumpretedant wetu mwaka kesho au kesho kutwa anastaafu, na ile kazi kwasababu ni shareholder nafasi yake imebidi irithishwe na moja ya watoto wake, hao watoto waliletwa kwenye cocktail party na wafanyakazi wengine waikuepo kwenye party, ila pale hamna mtoto loh!!!!, Max kafuga nywele za raster katoboa masikio na pua ana viashiria vya mrengo fulani ila no one can dare to tell the boss direct, Junior kashakua addict wa pombe na other drugs akijitambua kwa siku ni masaa kama mawili tu.... kwa ufupi ni kwamba senior supretendant wetu hana mrithi mwenye vinasaba na ni lazima aondoke kazini kwa mujibu wa katiba yao.

Hana mtoto zaidi yao, jamaa maumivu anayopitia asikuambie mtu anaonekana kazini ni mtu wa mawazo na isolated.
 
Kuzaa ni baraka yenye kuambatana na vingi tusivyovijua pole ya senior supretendant wenu kwa hayo .

Ila hilo neno supretendant limenipa kazi sana kulitamka na kuliandika ilibodi nikopi kwako kwanza alafu nilitype hapa
Kila mtoto huja na ridhiki yake kuna wengi wanaogopa kuzaa kwasbb ya kulisha watoto, ni mentality ya kijinga sanaa.
 
Wasomi wengi wanajidanganya kwamba kuonekana civilized ni kuzaa watoto wa chache, Baba angu mdogo alikua na utani wa kutuambia kwamba unazaje watoto wawili we ni Mkristu? kumbe siku hizi hata wakristu walisha acha fikra za kizungu za kuzaa watoto wawili wana fiatua kweli kweli nje na ndani kuzini sio shida kwao.

Hapa kazini our senior sumpretedant alikua na watoto wawili yeye anawaita Max ndo mkubwa na "Junior J" ndo last borne for the last 22yrs walikuwa wana ishi abroad, sumpretedant wetu mwaka kesho au kesho kutwa anastaafu, na ile kazi kwasababu ni shareholder nafasi yake inebidi irithishwe na moja ya watoto wake, hao watoto waliletwa kwenye cocktail party na wafanya kazi wengine waikuepo kwenye party, ila pale hamna mtoto loh!!!!, Max kafuga nywele za raster katoboa masikio na pua ana viashiria vya mrengo fulani ila no one can dare to tell the boss direct, Junior kashakua addict wa pambe na other drugs akijitambua kwa siku ni masaa kama mawili tu.... kwa ufupi ni kwamba senior sumpretendant wetu hana mrithi mwenye vinasaba na ni lazima aondoke kazini kwa mjibu wa katiba yao.

Hana mtoto zaidi yao, jama maumivu anayo pitia asikuambie mtu anaonekana kazini ni mtu wa mawazo na isolated.
Chai
 
We Fyatua tu hamna shida kwanza we Covax unalamba asali huna shida
 
Back
Top Bottom