Wizi wa viatu msikiti wa Manyema

Enzi zetu tulikuwa tunaogopa nyumba za ibada kama kota za polisi hupiti hovyo hovyo hapo. Kujamba tu ilikuwa shughuli pevu unabana ushuzi ukajambie nje. Tuliamini hizo nyumba za ibada mungu yumo ndani yake ukifanya makosa utaadhibiwa hapohapo
 
Back
Top Bottom