Wizi wa matela CRDB

Mkuu nipe contact na mm nikambambike laki mbili hapo unaposema alikutunuku mambo yale ina maana ulimfir.....! ww noma
 
Kama ulikuwa unajiamini pesa yako ilikuwa kamili hukuwa na haja ya kuogopa, gharama za kurudisha Camera nyumba ni sh. 50,000/= tu bora ungekubaliana na hili ili kumkomesha huyo mwizi. Kazi ingeota nyasi.
 
Hiyo haki hawana ww mteja huwezi fidia hasara ya bank kwenye mazingira kama hayo walikupiga
 
Mtego wao ni rahisi, andika namba kabla ya kuwapa fedha. Wakikwambia ama pungufu au feki, lianzishe. Hiyo ndo dawa yao, ORODHESHENI NAMBA ZA PESA ZENU?
Unakwenda kudeposit mil na kuendelea ...utaandika namba ngapi mkuu?
 
Hii ndo kaz yangu ila nauchukia kutokana na perception za watu juu ya hii kazi, kiuhalisia haina maslahi makubwa ni kazi ambayo ni kama uko jail,huoni jua ksa siku sita, unakumbana na aggressive customer wanakuzngua bado supervisor hajakuletea shida ukija mtaani tunaitwa wavaa tai ila hatuna kitu,,,,,kazi ya kudeal na cash ni ngumu ndugu zangu msitukane na kulaumu tu sometime kweli mtu anapitiwa na system sio rafiki sana japo kweli wapo tellers ambao sio waaminifu hii ipo kila organization
MUNGU nipe ujasiri niondokane na hii kazi
 
Vp totoz lakin ..maana ma bank teller mademu huwa wako vizuri
 
Nilikiwa sijajua kumbe kuna wizi wa namna hii ,basi yule mpuuzi wa mlimani city atakuwa kala laki yangu ,nilikuwa nadeposit m10 akasema imepungua laki. Wewe kijana bonge kiasi mweusi teller wa mlimani city hela yangu itakutokea puani ,Wewe subiri tu
 
Jamani sikia niwaelekeze. Ktk room za teller mteja kuibiwa hela utakuwa umeonwa ni bwege balaa. Cz kuna camera ambazo zipo active muda wote!!! So ujipeleka malalamiko yyt kuwa umeibiwa hela teller fulani.. Basi atakamatwA tu!! Manake camera itafuatiliwa kuanzia ulipompa hel na alivozipokea aliziweka wapi kabla ya kuziweka ktk machine ya kuhesabia. Na baada ya hapo alifanya kipi kingine ili kuzihamisha hizo hela alizoiba either kuzipeleka nje or etc.. UMeibiwa hela bank na mfanyakazi wa benki tena kizembe hlf upotezee?? Ni uongo huo otherwise utakua ni mshamba wa kiwango cha phd
 
Mkuu hii bank imekuwa ya kishwaili Sana plus wizi nilikuwa na pesa kwenye account yangu MDA nikaziamisha nikabakiza kama elfu kadhaa za kulinda account badae badae company flani wakanipa gawio langu la hisa mwenz wa kumi na moja mwaka Jana nikawa naendelea kufatilia pesa nyingne za gawio la nyuma ili niweze kuzichua zote lakin Cha ajabu nilishangaa Sana kila baada ya mda nikiangalia sakio pesa zinapungua kakibia elfu 20 sasa nashindwa kuelewa makato yamepanda au ni wizi nimefatilia Sana hapo premier naambiwa watakifanyia Kaz mpaka now na card imeexpire siend kurenew ngoo
 
Kila benki na utaratubu wao. Kuna wenye makato makubwa n kuna wenye makato kifogo ya kila mwezi au ya kila unapoto hela
 
Umeongea kwa uchungu sana...ni kweli kabisa usemayo
 
Amina. Akufanyiwe wepesi haraka, kwa maana hapo hata ule mlango wa segerea unakunyemelea pia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…