Kwani wezi wakipania hawawezi kuja na betri na hicho ki compressor ili kufanikisha lengo lao?sasa hii itakuwa usumbufu,kila siku utoe betri na upepo kwenye tair alafu ukiamka asubuh ujaze tena,
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari za zamani ndio zilikuwa na distributor. Gari za kisasa hazina distributor. Electronic fuel injection imeondoa distributor.
Mfano GX100 kavu ina distributor ila GX100 VVTi haina distributor. Maybe I'm wrong.
Unapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
Kuna fyuzi flani ukichomoa gari haiwaki hata kwa dawa,ila mm nilikua naona tu kuna mdau tukipaki gari anachomoa fyuzi flani,kuwaka mpaka airudishe tena,Ila wajuvi wa hizo mambo nadhani wanajua ziadi ni fyuzi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili wazo kama la kijinga lakini ni zuri ,ni kweli na watu wenginwanuziwa sana magari ...kadi nyinginza magari hawa wezi wanazitoa kwa wauza magari ya screpa ...na yaliyopata ajaliUnapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
Wanalipiga cheni mzee baba wanalivuta si wamejipangaunapolala toa distributor gari haitawaka
Jaribuni kuwa wabunifu. Ukiachana na njia official kama za kuweka alarm, tracking devices etc fanya ujanja wa kuzaliwa. Sehemu unapolaza gari isiwe mbali na dirisha la chumba unacholala, halafu tafuta nguzo ya chuma ndefu eg taruma la reli. Ichimbie chini kama unavyosimika nguzo za umeme , lakini iingie ardhini karibu yote na uache ichomoze kwa juu kama futi moja tu. Imarisha na sementi ikiwezekana. Kwa juu ya nguzo chomelea sehemu ya kuweka mnyororo. Wakati wa kuilaza gari isogeze gari mpaka isimame juu ya nguzo (nguzo iwe imechomoza kwenye uvungu wa gari). Kisha tumia mnyororo wa chuma imara, ingia uvunguni wa gari na kufunga eg diff ya gari kwenye nguzo kwa kofuli kubwa na imara. Wezi watakapokuja hawatajua kuwa kuna kikwazo cha aina hiyo. Wakiwasha gari na kujaribu kuliondoa halitasogea. Fanya ubunifu zaidi kwa kuunganisha huo mnyororo na taa na spika zilizofichwa sehemu. Spika unganisha na kinasa sauti utakachorekodi sauti. Wezi watakaposogeza gari likivuta ule mnyororo taa ziwake ziwamulike huku spika ikipiga kelele ''ua, washenzi hawa'' ua wezi hawa''Hizi majuzi nimesikia watu watatu ninao wafahamu wameibiwa magari Dodoma. Na jhuu wizi unafanyika kibabe sana, wanakuja nyumbani wanafunga grill zenu kwa kufuli hata mkiamka wakato wanawasha gari msiweze kutoka.
Tena naskia kama una geti la ku slide wanaruka ukuta wanaingia ndani kisha wanavunja kufuli na kifungua gari...
hawa jamaa inaelekea ni wajuzi sana kiasi kwamba wanaweza washa gari lolote na hata kama lina alarm zinakuwa disabled.
Magari wanayopenda mpaka sasa ni Run X, Toyota Allex, Kluger, IST, n.k
Ushauri
Tufunge car tracking, japo sijui kama wanaweza.kuzi.disable au kujua kama ipo
Funga kamera nyumbani au motion detector
Kama kuna mwenye ujuzi zaid tujuzane maana hii hali ni hatar kw mkoa wa DODOMA kwa sasa... Polisi naona ni kama wameanza mishe za kuyasaka.. Mungu atusaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kulala hakikisha unafungua nati zoote kwenye matairi kisha lala
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.