wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,865
Dah kweli umeua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
We jamaaa umenichekesha sanaJaribuni kuwa wabunifu. Ukiachana na njia official kama za kuweka alarm, tracking devices etc fanya ujanja wa kuzaliwa. Sehemu unapolaza gari isiwe mbali na dirisha la chumba unacholala, halafu tafuta nguzo ya chuma ndefu eg taruma la reli. Ichimbie chini kama unavyosimika nguzo za umeme , lakini iingie ardhini karibu yote na uache ichomoze kwa juu kama futi moja tu. Imarisha na sementi ikiwezekana. Kwa juu ya nguzo chomelea sehemu ya kuweka mnyororo. Wakati wa kuilaza gari isogeze gari mpaka isimame juu ya nguzo (nguzo iwe imechomoza kwenye uvungu wa gari). Kisha tumia mnyororo wa chuma imara, ingia uvunguni wa gari na kufunga eg diff ya gari kwenye nguzo kwa kofuli kubwa na imara. Wezi watakapokuja hawatajua kuwa kuna kikwazo cha aina hiyo. Wakiwasha gari na kujaribu kuliondoa halitasogea. Fanya ubunifu zaidi kwa kuunganisha huo mnyororo na taa na spika zilizofichwa sehemu. Spika unganisha na kinasa sauti utakachorekodi sauti. Wezi watakaposogeza gari likivuta ule mnyororo taa ziwake ziwamulike huku spika ikipiga kelele ''ua, washenzi hawa'' ua wezi hawa''
Idea yako mkuu nimekubali. Bonge la wazoo!Jaribuni kuwa wabunifu. Ukiachana na njia official kama za kuweka alarm, tracking devices etc fanya ujanja wa kuzaliwa. Sehemu unapolaza gari isiwe mbali na dirisha la chumba unacholala, halafu tafuta nguzo ya chuma ndefu eg taruma la reli. Ichimbie chini kama unavyosimika nguzo za umeme , lakini iingie ardhini karibu yote na uache ichomoze kwa juu kama futi moja tu. Imarisha na sementi ikiwezekana. Kwa juu ya nguzo chomelea sehemu ya kuweka mnyororo. Wakati wa kuilaza gari isogeze gari mpaka isimame juu ya nguzo (nguzo iwe imechomoza kwenye uvungu wa gari). Kisha tumia mnyororo wa chuma imara, ingia uvunguni wa gari na kufunga eg diff ya gari kwenye nguzo kwa kofuli kubwa na imara. Wezi watakapokuja hawatajua kuwa kuna kikwazo cha aina hiyo. Wakiwasha gari na kujaribu kuliondoa halitasogea. Fanya ubunifu zaidi kwa kuunganisha huo mnyororo na taa na spika zilizofichwa sehemu. Spika unganisha na kinasa sauti utakachorekodi sauti. Wezi watakaposogeza gari likivuta ule mnyororo taa ziwake ziwamulike huku spika ikipiga kelele ''ua, washenzi hawa'' ua wezi hawa''
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jaribuni kuwa wabunifu. Ukiachana na njia official kama za kuweka alarm, tracking devices etc fanya ujanja wa kuzaliwa. Sehemu unapolaza gari isiwe mbali na dirisha la chumba unacholala, halafu tafuta nguzo ya chuma ndefu eg taruma la reli. Ichimbie chini kama unavyosimika nguzo za umeme , lakini iingie ardhini karibu yote na uache ichomoze kwa juu kama futi moja tu. Imarisha na sementi ikiwezekana. Kwa juu ya nguzo chomelea sehemu ya kuweka mnyororo. Wakati wa kuilaza gari isogeze gari mpaka isimame juu ya nguzo (nguzo iwe imechomoza kwenye uvungu wa gari). Kisha tumia mnyororo wa chuma imara, ingia uvunguni wa gari na kufunga eg diff ya gari kwenye nguzo kwa kofuli kubwa na imara. Wezi watakapokuja hawatajua kuwa kuna kikwazo cha aina hiyo. Wakiwasha gari na kujaribu kuliondoa halitasogea. Fanya ubunifu zaidi kwa kuunganisha huo mnyororo na taa na spika zilizofichwa sehemu. Spika unganisha na kinasa sauti utakachorekodi sauti. Wezi watakaposogeza gari likivuta ule mnyororo taa ziwake ziwamulike huku spika ikipiga kelele ''ua, washenzi hawa'' ua wezi hawa''
Mwaka huu usiishe nami nipost thread yeyote kuhusiana na gari.
Huwa naona kweye Tv mnasema mwizi akiingia Dom hatoki akajaribu mikoa mingine, sasa imekuwaje tena? Au mmejisahau!Hizi majuzi nimesikia watu watatu ninao wafahamu wameibiwa magari Dodoma. Na jhuu wizi unafanyika kibabe sana, wanakuja nyumbani wanafunga grill zenu kwa kufuli hata mkiamka wakato wanawasha gari msiweze kutoka.
Tena naskia kama una geti la ku slide wanaruka ukuta wanaingia ndani kisha wanavunja kufuli na kifungua gari...
hawa jamaa inaelekea ni wajuzi sana kiasi kwamba wanaweza washa gari lolote na hata kama lina alarm zinakuwa disabled.
Magari wanayopenda mpaka sasa ni Run X, Toyota Allex, Kluger, IST, n.k
Ushauri
Tufunge car tracking, japo sijui kama wanaweza.kuzi.disable au kujua kama ipo
Funga kamera nyumbani au motion detector
Kama kuna mwenye ujuzi zaid tujuzane maana hii hali ni hatar kw mkoa wa DODOMA kwa sasa... Polisi naona ni kama wameanza mishe za kuyasaka.. Mungu atusaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dear tunaomba mbinu za kulinda wasifanye chochoteMbinu za wazee wa mwaka 47!
Humo kwenye 'na kadhalika (n.k.) sio kuwa kuna aina zote za magari yaliyobaki- yaani wanapenda magari aina zote?Magari wanayopenda mpaka sasa ni Run X, Toyota Allex, Kluger, IST, n.k
Tracking inasaidia sana. Wezi wa Tz sio advanced kivile,sidhani kama wamefikia level za kuiba gari zenye immobilizer au keyless. Ukiweka tracker hata ikiibiwa dakika chache tu mnajua iko wapi.Dear tunaomba mbinu za kulinda wasifanye chochote
Kwa gari aina zote ,za funguo na keyless entry pia
nachojua mi ni kulock steering wheel tu
gps tracking sijui zinasaidia?
Alarm?.
Hayo magari aliyotaja ndio yale ukichonga funguo unawasha na kuondoka. Au ukiwa na funguo kumi za magari aina hio mojawapo inawasha.Humo kwenye 'na kadhalika (n.k.) sio kuwa kuna aina zote za magari yaliyobaki- yaani wanapenda magari aina zote?
1.immobilizer
2.tracker
3.comprehensive insurance.
Bonge la wazoUnapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
Sio kirahisi kama ulivyoandika. Otherwise kampuni zinazojishughulisha na hayo mambo zisingekuwa kwenye biashara.
Jaribuni kuwa wabunifu. Ukiachana na njia official kama za kuweka alarm, tracking devices etc fanya ujanja wa kuzaliwa. Sehemu unapolaza gari isiwe mbali na dirisha la chumba unacholala, halafu tafuta nguzo ya chuma ndefu eg taruma la reli. Ichimbie chini kama unavyosimika nguzo za umeme , lakini iingie ardhini karibu yote na uache ichomoze kwa juu kama futi moja tu. Imarisha na sementi ikiwezekana. Kwa juu ya nguzo chomelea sehemu ya kuweka mnyororo. Wakati wa kuilaza gari isogeze gari mpaka isimame juu ya nguzo (nguzo iwe imechomoza kwenye uvungu wa gari). Kisha tumia mnyororo wa chuma imara, ingia uvunguni wa gari na kufunga eg diff ya gari kwenye nguzo kwa kofuli kubwa na imara. Wezi watakapokuja hawatajua kuwa kuna kikwazo cha aina hiyo. Wakiwasha gari na kujaribu kuliondoa halitasogea. Fanya ubunifu zaidi kwa kuunganisha huo mnyororo na taa na spika zilizofichwa sehemu. Spika unganisha na kinasa sauti utakachorekodi sauti. Wezi watakaposogeza gari likivuta ule mnyororo taa ziwake ziwamulike huku spika ikipiga kelele ''ua, washenzi hawa'' ua wezi hawa''
Tatizo ukitoa betri au ile fuzi ya powersuply kweli hawataweza kuliwasha ila inakuwa tatizo jingine kwamba hata kibaka akija akivunja kioo haitapiga ata alam n anaweza fungua chochote mfano taa, power window etc
Idea nzur madhani kifunga CAR TRACKING... kama kuna mwenye maujuzi atuambie how it works...
Insuarance kubwa ni nzuri.zaid ila garama sana... yaani unalipa 4% kila mwaka mfano kama gari ni 20M basi unalipa not less than laki 8 kwa mwaka...
yaani ma option yote hayo ni.full STRESS... leten mbinu mpya..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo. Tunatazamia akiwa-arrest watapata kipigo cha mbwa koko.Dodoma Ni Jiji
Afande Muroto Yupo Ama Kastaafu