Wizi wa kura wa mwaka 2019 na 2020 umesabisha CCM kichukiwe sana

Point tatu za msingi
1. CCM hawajaanza kuiba kura 2019 wala 2020. Wizi wa kura upo kwenye DNA ya CCM. Waliiba kura 1995, 2000 (na kusababisha mauaji Zanzibar), 2005 (mtandao wa jk kazini), 2010 (kitengo wakalazimika kukanusha hadharani kuwa hawajaiba kura), 2015 (hapa kosa kubwa lilikuwa kwa upinzani kumsimamisha kada wa CCM Lowassa) na hiyo 2019 na 2020. Na wataiba kura tena 2025.
2. Mtu anapoibiwa halafu anaishia kulalamika tu kuwa ameibiwa, haina tofauti na anayekaa kimya baada ya kuibiwa. Wapinzani waeleze wamefanya wamefanya nini dhidi ya wizi huo mfulilizo?
3. Mapungufu ya CCM sio uimara wa upinzani. Moja ya sababu za CCM kibaki madarakani miaka mingi ijayo, apart from huo wizi wa kura, ni kukosekana kwa credible opposition. Let's face it, chama ambacho ukipishana nao tu mtazamo inakuwa halali kwao kutukana, kikikabidhiwa dhamana ya nchi kitakuwa na tofauti gani na CCM?
Unataka wapinzani waende mahakama ipi madai yao yakasikilizwe? au hizi za kuwafundisha mawakili wa serikali nini waseme? na kuwalinda kina Kingai?

Wakidai Katiba Mpya unasema hawajui wanachopigania, wao ni kikundi kidogo cha watu, sijui unataka madai yao yaanzie wapi ambapo wengi wataibuka kwa pamoja.
 
Uchaguzi wa 2019 wa Serikali za Mitaa na uchaguzi Mkuu wa 2020 hauwezi kuwa kipimo cha hali ya upinzani nchini.

TISS walifanya utafiti mwanzoni mwa 2020 na wakaona kuwa Magufuli na CCM wasingeweza kupata zaidi ya 30% kama uchaguzi Mkuu ungefanywa kwa haki.

Kwa kuogopa hilo na huku akijua kuwa uchaguzi wa 2015 nao Edward Lowassa alimshinda, ila TISS kupitia Kapilimba akiwa NEC enzi hizo na Team ya Kinana na Nape na Januari Makamba wakiwa Masaki ndiyo walioiba kura kwenye mtandao na kumfanya aonekane ameshinda.

This time October 2020, Magufuli aliamua kuiba kura kupitia TISS, Police na NEC kwa kuchapisha kura FEKI pale Jamana Printers. Then vijana wakawka Kambi pale Mbweni kwa ajili ya ku-tick. Na DSOs wakatumika kutumbukiza kura hizo kwenye masanduku ya kura.

Magufuli alijua kama zingehesabiwa moja moja hata ule wizi wa mtandao usingeweza kuiba kiasi anachotakiwa kumpita Lissu.

Itoshe kusema kisiasa CCM inachukiwa sana na wananchi kwa matendo maovu ya Magufuli ya miaka 5 iliyopita hususan;
-Kumpiga Lissu risasi akiwa bungeni
- Kubomoa nyumba za wananchi wa ubungo kupisha barabara bila kuwafidia
-Kuwa na kikundi cha WASIOJULIKANA chini ya MAKONDA kilichokuwa kinateka na kuua watu
  • Kuwatoa wafanyakazi wa "vyeti feki" huku yeye mwenyewe Magufuli akiwa na PhD feki na Makonda wakiwa na vyeti feki
  • Kutotoa nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi
  • Kupeleka miundombinu mikubwa kwao Chato
  • Kukataa wazi wazi kupeleka maendeleo kwenye majimbo yanayoshikiliwa na UPINZANI

Bado unapambana na marehemu. Hivi wewe asingechaguliwa JPM angechaguliwa nani. Unatia kinyaa. Andika kuhusu hata familia yako Basi.
 
Soma pita kama huoni, hii siyo saizi yako

Kweli maana sio Kwa upumbavu huo. At least 2010 Slaa alikuwa genuine Lakini baada ya Hapo hakuna wala hakukuwa na wa kupambana na JPM. Unajidanganya kiupumbavu ndo mana jamaa Ana haki kusema hivyo. It’s so stupidly written mpaka nashangaa Shida kutaja JPM tu. Unaweza mwombea tu Ni binadamu kama wewe. Sema yeye tulimfahamu kidogo. Je wewe na makosa yako ya ajabu. Na Siri ya kweli kabisa Ni kuwa waandikaji wa maovu ya wengine Ni wakosaji wakubwa tena Aibu yakitokea hadharani.

Jf Ina watu wa ajabu sana.
 
Hai ile iliyokuwa chini ya Sabaya na yule kamanda wa polisi aliemwambia Mbowe hawezi kushinda?

Siku nyingine tumia akili kidogo kufikiri kabla hujaandika comment yako.

Ona argument ya kijinga kabisa. Sasa nani atumie akili kusema ya nyumbani kwake. Wewe ndo unatumia fallacy kutoa comment ya kijinga kutokea since the creation of the first human being with a will and intellect. Eti kwamba lazima Ku comment. Huna pro and cons katika arguments zako , iwe jua au mvua kwako Wewe una Code na majibu ya maswali ya Jana na ya Leo na ya kesho . No doubt in your mind. Doubt and wondering bringt wisdom. Stop being like a dog whose day pass without a positive idea but what the day offers.
 
CCM inachukiwa miaka yote, toka enzi za JK kura zimekuwa zikiibwa kwa manufaa yao, 2010 Dr. Slaa alimburuza JK tume ya uchaguzi na TISS wakamsaidia.

Mleta mada unaamini wizi ulifanyika ila unafurahia Mbowe kuwa gerezani kwa kisingizio cha kumlazimisha Rais afanye asichotaka, huku ukitaka Chadema na Mbowe wawe wapole kuidai Katiba Mpya, wewe binafsi ni tatizo, ndumilakuwili.

Inashangaza sana sifa kubwa waliyonayo Nape na Makamba ni kuiba kura halali za watanzania kwa manufaa ya chama chao ili nao walipwe uteuzi, nao wanatembea vifua mbele kwa huo wizi wao.

Nashangaa zaidi wanapomuita Magufuli mbaya wakati wao ni wabaya zaidi kwa kuwapora watanzania haki yao ya kumchagua kiongozi wanayemtaka, ila wajinga wengi hawalioni hilo, kila siku kuwasifia kwa sifa wasizokuwa nazo.

Taifa limekabidhiwa mikononi kwa wezi ila hakuna anayeshtuka, tunajiendea tu, na kuwaheshimu kwa sababu ya vijembe vyao twitter na suti nzuri wanazovaa.
Hakuna muungwana na mzalendo yeyote anayejitambu anayeweza kuwa ndani ya ccm.
Tanzania ya
Tanganyika na Zanzibar haiwezi kujongea kokote chini ya maccm hata kama watatawala kwa karne nzima.
Tunahitaji Katiba ya wananchi ili tujitawale na kuwachagua viongozi wetu kwa utaratibu tutakaoamua wenyewe,tusikubali kuisoma namba maana hii ni nchi yetu sote.
 
Ona argument ya kijinga kabisa. Sasa nani atumie akili kusema ya nyumbani kwake. Wewe ndo unatumia fallacy kutoa comment ya kijinga kutokea since the creation of the first human being with a will and intellect. Eti kwamba lazima Ku comment. Huna pro and cons katika arguments zako , iwe jua au mvua kwako Wewe una Code na majibu ya maswali ya Jana na ya Leo na ya kesho . No doubt in your mind. Doubt and wondering bringt wisdom. Stop being like a dog whose day pass without a positive idea but what the day offers.
Vipi kunywa maji mengi ukatulie chini ya mti wa kivuli pressure uliyonayo ikushuke.

Then ukitoka hapo tafuta news za malalamiko ya Sabaya anavyolia kutupwa na CCM licha ya "kukipigania" kwa nguvu zake zote.

Wale walevi wa gongo waliokuwa wanafanya fujo kwenye mikutano ya Chadema wako wapi siku hizi?
 
Hata wanaccm wenyewe hawakupenda kuaibika vile. Ushindi wa kulazimisha kwa Ugoko haunogi
Dunia mzima watu wanaiba kura, hata USA lakini wanaiba kati ya asilimia 3-5 tu. Huyu aliibabza uRais 50% ndiyo kuchanganya na ya kwake ya ukweli ile 30% akadai kashinda kwa 80%.
Wenzie wanaiba kura za uRais tu za ubunge hawahangaiki. Lakini dikteta alianza kuiba Serikali za Mitaa, akaja ubunge halafu uRais. Mungu HAKUPENDA, kamfurusha
 
Ule wizi haupo mahali popote. Wizi uliambatana na kupoteza roho za watu. Watu wengi wamebaki walemavu na maumivu ya kudumu sababu yake.

Kimsingi bila wizi ule asingekuwa rais. Maji yalimfika shingoni.
 
Vipi kunywa maji mengi ukatulie chini ya mti wa kivuli pressure uliyonayo ikushuke.

Then ukitoka hapo tafuta news za malalamiko ya Sabaya anavyolia kutupwa na CCM licha ya "kukipigania" kwa nguvu zake zote.

Wale walevi wa gongo waliokuwa wanafanya fujo kwenye mikutano ya Chadema wako wapi siku hizi?
hahaha wamepoteana. Wengi wanahisi huenda wakaunganishwa kwenye kesi ya Sabaya wametoroka mkoa
 
Hakuna muungwana na mzalendo yeyote anayejitambu anayeweza kuwa ndani ya ccm.
Tanzania ya
Tanganyika na Zanzibar haiwezi kujongea kokote chini ya maccm hata kama watatawala kwa karne nzima.
Tunahitaji Katiba ya wananchi ili tujitawale na kuwachagua viongozi wetu kwa utaratibu tutakaoamua wenyewe,tusikubali kuisoma namba maana hii ni nchi yetu sote.
Huu ni ukweli wote. Kiukweli kipomo cha Utu hata sasa tazama huyo mtu yuko upande gani kisiasa. Ukiona Upande wa ccm my friende be careful na huyo mtu.
 
MImi Niko upande wa hekima, hiyo ndiyo tofauti yetu Mimi na wewe
 
Bado unaendelea kuonesha ulivyo ndumilakuwili, kwako suala la kudai haki linahitaji "timing" halafu unakuja hapa kulia lia CCM waliiba kura, nikisema nawe haya madai yako hayana maana coz umekosea "timing" nitakuwa nakosea?!
Huu mwandiko na maswali yako mbona km Ni kibatala wewe mkuu
 
Back
Top Bottom