Elections 2010 Wizi wa Kura unafanyika hivi...

Hivi NEC si wamekwisha sambaza vifaa vyote? Au kama alivyosema Kiravu bado nusu ya hizo karatasi za kupigia kura, ndio shehena hiyo? Hivi kwa ndege ingekuwa very expensive au namna ya kutoka South Africa ingekuwa issue?
 
Wasiwasi wangu ni "MAWAKALA"! kama kuna mawakala wa kweli, watasimama wima na kusema "HAPANA, HAUWEZI KUNINUNUA, LABDA JARIBU KUNIUA!":mmph:
 
Ndani ya wana ccm kuna watu wamechoka na USANIII akiwemo Mh. SUMAYE ameanza kushusha kombola moja moja. Msichague Mafisadi kombola la kwanza. Shule za kata zinatishia Umoja wa kitaifa kombola la pili la Sumaye. Naamini mageuzi ni kwa manufaa ya wote Wana ccm na hata wasio wana ccm. Ahadi za JK zinatosha kufikia maamuzi. ameahidi mambo mengi kama vile atatawala milele. Wito ni kwa kila mpenda nchi yetu kufichua njama zote zinazo weza kuiba kura. Nakumbuka mwaka 2005 Florian Kaijage alisha tangaza Ndesambulo Kashindwa, kumbe walikuwa na njama za kubadilisha masanduku feki na halisi baada ya watu kulinda na kushika yale masanduku yenye kura za kuchakachua wakamua kutandagaza Babu Ndesa Pesa kashindwa, FICHUA NJAMA JENGA TANZANIA
 
Asikundanganye mtu hawa chadema sijuwi nani wote ni CCM b ndio maana hawajataka NEC iwe huru ninani asiye juwa kuwa Kiravu na Lewis Makame ni CCM NEC watafanya kama 2005 walileta karatasi kutoka china karatasi wenyewe zina kemikali fulani ambazo sishapikwa ndio baada ya muda ndio inabadilika.
 
Haya yote washindani(vyama vilitakiwa kujiandaa mapema), bila hivyo vinakuwa subjected kwenye group la blind na wanaosubiri matokeo kwa bahati bahati tu.I am sorry huko kwenye kundi hilohilo. Tulipopiga kelele kuwa vijiandae mapema kwenye mabadiliko ya NEC na katiba wakasema( tena slaa alisema kabisa ni ngumu sana) aliposema hivyo tu ni-ka-conclude hatuna wapinzani nchini,SLAA is not the one, ikiwa mambo ya msingi hayafanywi kwanza basi wote ni walewale,nchi imeuzwa hii kwa uangalifu mkubwa mno.

pole sana hizi tetesi si tetesi, ni hali halisi maana wapinzani watayakubalimatokeo na watamkubatia JK kwa ushindi, tupo, jipe moyo baada ya uchaguzi you will surely confirm my words, HATUNA WAPINZANIA HAWA WOTE NI MAGARASHA TU

Cheers!!!

Kumlaumu Dr. Slaa kutokana na kutorekebishwa katiba ili tume ya uchaguzi iwe huru ni kumwonea kwa sababu Bunge la CCM lilikuwa. Na kubadilisha katiba zinahitajika theluthi mbili ya wabunge wote wakati wapinzani hata robo ya wabunge wote hawakuwa nao. Labda Bunge hili lijalo lije na wabunge wengi wanaotaka mabadiliko bila ya kujali chama wanachotokea. Hapo marekebisho ya katiba yatafanyika
 
pole sana hizi tetesi si tetesi, ni hali halisi maana wapinzani watayakubalimatokeo na watamkubatia JK kwa ushindi, tupo, jipe moyo baada ya uchaguzi you will surely confirm my words, HATUNA WAPINZANIA HAWA WOTE NI MAGARASHA TU

Cheers!!!

Pamoja na uhuru ulionao wa kutoa maoni yako, nami pia niseme kwamba, kujaribu kutudanganya kuwa wapinzani wote ni magarsha ni sawasawa na kuvaa miwani ya mbao, tena usiku!!

Yani pamoja na uelewa wako woooote unaishia kumlalalmikia Dr. Slaa kwa kuendelea kuwepo tume ya uchaguzi ile ile? you must be kidding dude.
Hivi umeshawahi kujiuliza kama wapinzani wakigomea uchaguzi nini kitatokea? yani unataka kusema mkulima awasusie nyani shamba la mahindi? utakoma kulinga wewe!!au unataka waingie msituni kudai tume huru ya uchaguzi? hapana hatuhitaji kufika huko. Uamuzi wa kushiriki uchaguzi huku wakijua tume haiko huru ni sawia kabisa kwa mazingira yaliyopo.Kidogo kidogo tu hadi kitaeleweka.
 
Kijana ni tetesi lakini kuna maswali ya kuuliza

1. Hivi chama gani cha siasa ambacho hakijui/hakikujua kwa NEC ni ya CCM? maana liko wazi kabisa!
2. Je nini matarajio ya vyama hivi baada ya uchaguzi, mathalan akishinda SLAA na NEC ikatangaza mshindi ni JK, what they will do? sheria inasemaje? NEC akisema fulani mshindi is final isnt it?
3 Je ukiingia kwenye ushindani hali ukijua utashindwa tu, kwa sababu ya mambo kama haya ya NEC, dwa yake ni nini?

Athari
1. Kutoamini NEC ni kuendeleza hizi tetesi huoni kunapoteza muda wa campaign, kama vyama vya siasa in the last 5 yrs vingepigania angalau tume ya uchaguzi iwe huru, walifanya hivyo? kwa nini?
2. Hali tete nchini, tetesi hizi zinaweza kuvuruga amani, je inasaidia nini tukipigana nchi hii kisa tetesi

Haya yote washindani(vyama vilitakiwa kujiandaa mapema), bila hivyo vinakuwa subjected kwenye group la blind na wanaosubiri matokeo kwa bahati bahati tu.I am sorry huko kwenye kundi hilohilo. Tulipopiga kelele kuwa vijiandae mapema kwenye mabadiliko ya NEC na katiba wakasema( tena slaa alisema kabisa ni ngumu sana) aliposema hivyo tu ni-ka-conclude hatuna wapinzani nchini,SLAA is not the one, ikiwa mambo ya msingi hayafanywi kwanza basi wote ni walewale,nchi imeuzwa hii kwa uangalifu mkubwa mno.

pole sana hizi tetesi si tetesi, ni hali halisi maana wapinzani watayakubalimatokeo na watamkubatia JK kwa ushindi, tupo, jipe moyo baada ya uchaguzi you will surely confirm my words, HATUNA WAPINZANIA HAWA WOTE NI MAGARASHA TU

Cheers!!!

Ukweli ni kuwa hiyo hofu ni moja ya strategy ya kina Rutashubanyuma na wenzake wakitegemea itawapa sympathy na kuongeza rebelion ndani ya CCM. Mbaya zaidi ni kuwa hofu hii inajengwa sambamba na mkakati wa kuaminisha jamii kuwa CHADEMA imeshashinda na isipokuwa hivyo basi ni lazima CCM na vyombo vya dola wamewadhulumu. This is the kind of irresponsible politics that WAKOMBOZI CADRE would dare to go and at the same time whining a victim rhetorics when those with capacity, experience and resources for such respond in kind...Hawajui na wala hawajali madhara ya siasa hizi huko tuendako....

Ndio maana nasema kwa uthabiti kuwa siamini katika ukombozi huu....nasubiria unaokuja ambao utaendana na Tanzania I would want to see....
 
Mhhh Mdai unaweza tafsiri sentensi hii maana nimeipenda japo sijajua maana yake.

" Mung'oni Ghimatendelya Nyamolente-Kelong'ongo na keela ghetar-reywe.
 
Ukweli ni kuwa hiyo hofu ni moja ya strategy ya kina Rutashubanyuma na wenzake wakitegemea itawapa sympathy na kuongeza rebelion ndani ya CCM. Mbaya zaidi ni kuwa hofu hii inajengwa sambamba na mkakati wa kuaminisha jamii kuwa CHADEMA imeshashinda na isipokuwa hivyo basi ni lazima CCM na vyombo vya dola wamewadhulumu. This is the kind of irresponsible politics that WAKOMBOZI CADRE would dare to go and at the same time whining a victim rhetorics when those with capacity, experience and resources for such respond in kind...Hawajui na wala hawajali madhara ya siasa hizi huko tuendako....

Ndio maana nasema kwa uthabiti kuwa siamini katika ukombozi huu
....nasubiria unaokuja ambao utaendana na Tanzania I would want to see....

Tatizo lako Omar, unadhani kuwa wewe pekee, na marafiki zako wachache (kina january makamba) ndio mnaofaa kuingoza Tanzania. Hainishangazi ukiandika kuwa hayo kwenye bold
 
Lisemwalo lipo, tusimpuuze Ndibalema, tusimbishie hatumuwezi kwa utafiti tukianzisha ubishi hatutamuweza kama jina lake lilivyo.
 
Ndani ya wana ccm kuna watu wamechoka na USANIII akiwemo Mh. SUMAYE ameanza kushusha kombola moja moja. Msichague Mafisadi kombola la kwanza. Shule za kata zinatishia Umoja wa kitaifa kombola la pili la Sumaye. Naamini mageuzi ni kwa manufaa ya wote Wana ccm na hata wasio wana ccm. Ahadi za JK zinatosha kufikia maamuzi. ameahidi mambo mengi kama vile atatawala milele.

Kwa maneno aliyo yatoa Sumay si dhani kama ni ya kupuuzia ni yakuzingatia sana maana mtu atoapo hoja na ya kimsingi ni wajibu wa watu husika kuifanyia kazi sijui hao walioko IKULU wanayajua haya au hata kusoma magazeti mpaka nao wasomewe kama watoto wadogo uwasomeao hadithi wakitaka lala?

Ndio haya maneno aliyo yasema JF Kennedy Jiulize wewe utaifanyia Nini Nchi yako na sio Nchi yako ikufanyie nini wewe
 
Kijana ni tetesi lakini kuna maswali ya kuuliza

1. Hivi chama gani cha siasa ambacho hakijui/hakikujua kwa NEC ni ya CCM? maana liko wazi kabisa!
2. Je nini matarajio ya vyama hivi baada ya uchaguzi, mathalan akishinda SLAA na NEC ikatangaza mshindi ni JK, what they will do? sheria inasemaje? NEC akisema fulani mshindi is final isnt it?
3 Je ukiingia kwenye ushindani hali ukijua utashindwa tu, kwa sababu ya mambo kama haya ya NEC, dwa yake ni nini?

Athari
1. Kutoamini NEC ni kuendeleza hizi tetesi huoni kunapoteza muda wa campaign, kama vyama vya siasa in the last 5 yrs vingepigania angalau tume ya uchaguzi iwe huru, walifanya hivyo? kwa nini?
2. Hali tete nchini, tetesi hizi zinaweza kuvuruga amani, je inasaidia nini tukipigana nchi hii kisa tetesi

Haya yote washindani(vyama vilitakiwa kujiandaa mapema), bila hivyo vinakuwa subjected kwenye group la blind na wanaosubiri matokeo kwa bahati bahati tu.I am sorry huko kwenye kundi hilohilo. Tulipopiga kelele kuwa vijiandae mapema kwenye mabadiliko ya NEC na katiba wakasema( tena slaa alisema kabisa ni ngumu sana) aliposema hivyo tu ni-ka-conclude hatuna wapinzani nchini,SLAA is not the one, ikiwa mambo ya msingi hayafanywi kwanza basi wote ni walewale,nchi imeuzwa hii kwa uangalifu mkubwa mno.

pole sana hizi tetesi si tetesi, ni hali halisi maana wapinzani watayakubalimatokeo na watamkubatia JK kwa ushindi, tupo, jipe moyo baada ya uchaguzi you will surely confirm my words, HATUNA WAPINZANIA HAWA WOTE NI MAGARASHA TU

Cheers!!!

Uko sahihi kwani kuingia kwenye mpambano wakati ukijua uwanja umejaa mbigiri, na ukatarajia kushinda ni dalili za kuchanganyikiwa!
Inaeleweka wazi kuwa tume ya uchaguzi inamilikiwa na serikali iliyo madarakani kwani Rais ndiye anateua wajumbe wake hivyo ni lazima itamtumikia mwajiri wake! Aidha, katiba iko wazi kuwa matokeo ya Urais yakishatangazwa na NEC hakuna chombo chochote kinachoweza kuhoji. Kuna chama kimoja kilijaribu kufungua kesi kuhusiana na tume ya uchaguzi kutokuwa huru lakini kwa bahati mbaya vyama vingine havikuona umuhimu wa kukiunga mkono - kwao umuhimu ni kushiriki uchaguzi wakati ni wazi kuwa haviwezi kutangazwa washindi na NEC inayomilikiwa na CCM. Inawezekana viongozi wengi wa ushindani kwa nje wanaonekana kama wana nia ya dhati ya kuwakomboa wanyonge lakini ukitakafari utaona wengi wao ni kama CCM tu - wanajali ubinafsi zaidi kuliko masilahi ya taifa.
 
Pamoja na uhuru ulionao wa kutoa maoni yako, nami pia niseme kwamba, kujaribu kutudanganya kuwa wapinzani wote ni magarsha ni sawasawa na kuvaa miwani ya mbao, tena usiku!!

Yani pamoja na uelewa wako woooote unaishia kumlalalmikia Dr. Slaa kwa kuendelea kuwepo tume ya uchaguzi ile ile? you must be kidding dude.
Hivi umeshawahi kujiuliza kama wapinzani wakigomea uchaguzi nini kitatokea? yani unataka kusema mkulima awasusie nyani shamba la mahindi? utakoma kulinga wewe!!au unataka waingie msituni kudai tume huru ya uchaguzi? hapana hatuhitaji kufika huko. Uamuzi wa kushiriki uchaguzi huku wakijua tume haiko huru ni sawia kabisa kwa mazingira yaliyopo.Kidogo kidogo tu hadi kitaeleweka.

Unaogopa kuingia msituni kudai haki yako? Hakuna kitu rahisi hasa unapopambana na mafisadi - usitegemee wakubali kuachia tonge kwa 'mazungumzo'. Ikibidi ni kutumia nguvu ili kuwaondoa. Kukubali kuingia kwenye uchaguzi wakati unajua tume ya uchaguzi si huru ni kukubali kushindwa hata kabla ya uchaguzi kwani inaeleweka NEC (isiyo huru) itamtangaza JK kuwa ni mshindi hata kama kashindwa! Tuache kujipa matumaini kuwa mambo yatajipa - haki haipatikani kwa kumpigia magoti anayekunyima haki - inapatikana kwa kupambana naye!
 
Tatizo lako Omar, unadhani kuwa wewe pekee, na marafiki zako wachache (kina january makamba) ndio mnaofaa kuingoza Tanzania. Hainishangazi ukiandika kuwa hayo kwenye bold

Hapana, tatizo langu ni kuwa baada ya karibia miaka mitano ya kufuatilia siasa za vyama vingi kwa ukaribu, sijaweza kuona MBADALA BORA na siko tayari kufakamia BORA MBADALA..... Sasa kama wewe unaamini katika njia za mkato na kubahatisha katika masuala ya hatma ya taifa kama letu lilojaa nyufa zilizopakwa rangi, then go ahead lakini usishurutishe kila mtu akuige wewe...

CHADEMA had and still has a lot of potential of becoming MBADALA MAKINI lakini hilo halipo mikononi mwa kizazi kilichohodhi madaraka hivi sasa ambacho naturaly ni fotokpi ya what we have now........Hata hivyo hiyo potential yake itaendelea kuwepo pale tu mtakapogundua hasara ya opportunistic politics zenye kujali hamu ya kukidhi matamanio ya mafaniko ya muda mfupi kisiasa na huku yakiweka rehani mafanikio ya muda mrefu ambayo ndiyo msingi wa MBADALA MAKINI niotaka kuona.....
 
Ukweli ni kuwa hiyo hofu ni moja ya strategy ya kina Rutashubanyuma na wenzake wakitegemea itawapa sympathy na kuongeza rebelion ndani ya CCM. Mbaya zaidi ni kuwa hofu hii inajengwa sambamba na mkakati wa kuaminisha jamii kuwa CHADEMA imeshashinda na isipokuwa hivyo basi ni lazima CCM na vyombo vya dola wamewadhulumu. This is the kind of irresponsible politics that WAKOMBOZI CADRE would dare to go and at the same time whining a victim rhetorics when those with capacity, experience and resources for such respond in kind...Hawajui na wala hawajali madhara ya siasa hizi huko tuendako....

Ndio maana nasema kwa uthabiti kuwa siamini katika ukombozi huu....nasubiria unaokuja ambao utaendana na Tanzania I would want to see....

Omarilyas, hakika wewe ni moja kati ya watu hatari wasioitakia mema nchi yetu Tanzania na mimi kila siku nabaki nikijiuliza unasukumwa na nini ingawaje si vigumu kukisia. CCM inapodai ushindi ni lazima, Omarilyas kimyaa ! Gazeti la Umma linapodai Dr. Slaa hatakuwa Raisi wa tano wa Tz, Omarilyas kimyaa ! Mnadhimu wa jeshi anapotoa vitisho kwa wapiga kua, Omarilyas kimyaa ! Kikwete anapovunja makusudi sheria ya uchaguzi, Omarilyas kimyaa ! CCM inapotayarisha majeshi ya vijana (interhamwe wa Tanzania) makambini, Omarilyas kimyaa ! Lakini subiri Chadema walalamikie taratibu za kiuonevu wanazofanyiwa, Omarilyas huyoo anafyatuka ! Omarilyas, Omarilyas, Omarilyas unasikitisha, unaboa na unaudhi - watu kama wewe wataliingiza taifa matatani.
 
siku zote mtu mwizi huwa hajiamini pale anapokutana na polisi huchanganyikiwa sana
sasa huyu jeikei hatupaswi kujiuliza mengi ana mpango gani na taifa hili
maana kama ana mpango mzuri? yaaani kutaka kuingia ikulu kwa njia za wizi?
mwizi wa kura kweli atutawale sisi tuliotii sheria ya Mungu ya kutokuiba?
 
Back
Top Bottom