Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,208
- 7,774
Fuga mbwa maaana watarudi tena kumalizia walipoishia
Fuga mbwa maaana watarudi tena kumalizia walipoishia
Au kama alinunua kwa mtu unakuta mtu anauza gari huku kaweka Gp's ataifatilia atajua mpaka inapolala baada ya muda anaifata gari yake ni vema sana ukinunua gari kwa mtu uhakikishe haina hivyo vidubwana au uvitoe ukikuta kisha katupe kwenye mbuyu huko ili siku wakianza kuisaka waikute mbuyuni ,bladfakenPole sana
Waliokuibia wanakujua walikuchorea ramani kabla ya kukuibia
Hahahahaa na boonge la paangaaMasheikh wataalamu hawa.
hahahamaaana watarudi tena kumalizia walipoishia
Huu wizi ulianzia hukoMasheikh wataalamu hawa.
Hayana msingi kwako, kwa wengine Yana msingi.Duh! Wabongo Bana, Mtu anataka kujua kama kuna Ujanja wa kufungua Boneti bila kuingia ndani ya Gari!
Sasa watu wanaeleza mambo yasiyo na Msingi.
Wataenda mbuyuni sioAu kama alinunua kwa mtu unakuta mtu anauza gari huku kaweka Gp's ataifatilia atajua mpaka inapolala baada ya muda anaifata gari yake ni vema sana ukinunua gari kwa mtu uhakikishe haina hivyo vidubwana au uvitoe ukikuta kisha katupe kwenye mbuyu huko ili siku wakianza kuisaka waikute mbuyuni ,bladfaken


Kwa hizi gari zetu za elfu tatu kila kitu kinawezekana, ila kwa magari Yale yanayoletwa kwa ndege ndio mifumo yake ya ulinzi ni madhubuti sana.Asante ,ila naomba kujua kumbe inawezekana kbs mtu kufanya hvyo hvyo hata km gari imefungwa?maana nimeingia wasiwas isije kua funguo zinaingiliana siku wakaja wakaondoka nayo!
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Nataka hii teknolojia, nisaidieHiyo wana namna ya ku disable pia kuna solar alarm za nje ambazo hupiga kelele hata kabla hajaikaribia gari
PIR motion sensor angalia inavyofanya kaziKama nyumba yako nyumba yako ina uzio ambao hauruhusu hata paka kuingia funga mfumo wa PIR sensor wenye mfumo wa simu..
View attachment 2442091View attachment 2442092
Hizi ni PIR motion sensor, nimefunga 10 kuzunguka nyumba nzima, sensor hizi zinatumia battery, sasa huu mfumo una miaka 2 battery za size AA 3 hazijaisha, sensor hizi zina detect movement yoyote, ndani ya area umefunga ndani nna hii kama simu nimeifunga ukitani chumban kwangu
View attachment 2442098View attachment 2442099
Hiyo juu ni king'ora chake kina db22 kama cjakosea kikilia labda uwe kwenye coma hutaamka 😄😄😄
Inaweza unganishwa mpka sensor 100 za aina tofauti tofauti, kama hizo pir, door sensor, smoke sensor, gas sensor nk.
Inavyofanya kazi iki setect motion yoyote yaani hata paka akipita au mtu akachungulia kwenye fence inapiga king'ora pia inasema sensor namba ngap imedetect so ukiwa ndani unajua upande upi kuna movement, pia inatuma sms kukupa details za tukio pia inapiga simu maana iko na line ya simu, pia nimeiset ikifika saa 4 usiku ina ji alarm automatic na saa 11 unusu asubuh ina ji disalarm home kwangu wesha ji condition muda huo humkuti mtu nje, kuipata bongo andaa bajeti si chini ya laki 5 kama kuna swali niulizeni.
Wana namna ya kupachua bonnet bila kuingia ndani ya gari
Hata hii hua haisadii,wanatumia sumaku yenye nguvu kubwa kufanya alarm ikilia isitoe sautiMkuu Kwann usiwek ata alarm system Gari yako kidogo husaidia kukibiza vbaka wadogo kama hao
Kamera haikamati mtu, ukiweka kamera lazima uwe na mtu anayefuatilia matukio kwenye sikirini na kuchukua hatua muda huohuo, vinginevyo haina faida kams hauna mfuatiliaji.Wangeitaka gari wangeondoka nayo, shida yao ni hiyo betri tu.
Au wangekuachia gari iko uchi wangetowa power window, wangechukuwa taa zote, hapo washukuru kwa hilo.
Kama hapo ni nyumbani kwako funga camera ndio solution ya kuwakomesha hawa mbwa.
Hiyo wana namna ya ku disable pia kuna solar alarm za nje ambazo hupiga kelele hata kabla hajaikaribia gari
Asantehapa ndipo utajua kuwa wamiliki orignal wa magari humu jf ni wachache tofauti na wanavyojitapa!
ndg mleta mada, msikilize kwa makini mzee mshana
Hii mimi walishanifanyia,pale kwenye grill ya mbele,kama matundu yake ni mapana wanapenyeza mkono au hata kichuma ambacho kina mkunjo,anafyatua na bonet inafunguka.Solution hapo ni kwenda kwa baadhi ya mafundi wenye ujuzi,wanakufanyia modification ya kuficha ule mtego kwahiyo inakuwa vigumu kuufikia...yah inawezekana hasa kama show ya kwenye bonet haijafungwa vizuri iko weak au ina matundu makubwa
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app