Watu wanaotumia bank kama CRDB,huwa hawaibiwi pesa kwa mtindo huu wa kuswap hata siku moja kutokana na kitu umeeleza hapo. NMB hawaja implement hii kitu kwao ndo maana watu wengi(99.99%) wanaoibiwa pesa kwa mobile banking ni wa NMB. Na mara nying ni just social engineering wanafanya kupata password yako.
Jana nilipata kisa kimoja
kutoka kwa my wife,alipotoka kanisani alikutana na vijana wawili
waliokuwa wamevalia sare za kampuni ya simu ya Vodacom wakidai
wanasaidia wateja wao kuunganishiwa huduma za internet.
Baada ya my wife kuwakabidhi simu yake waliifungua na kuirudishia na
kumuahidi ataanza kutumia internet baada ya saa moja.Punde si punde
akagundua simu yake haiko hewani na baadaye kidogo akagundua alikuwa
amebadilishiwa sim card mpya isiyosajiliwa.
Tulipata hisia huenda walikuwa ni wezi ndipo tukaamua kubadili password
nmb mobile kupitia ATM na baadaye tulipiga simu Vodacom ambapo
walitujulisha walikuwa wameshatoa sh.laki 350 kutoka nmb.
Tahadhari: Tuwe macho tusiwaamini hata wanaojifanya ni wafanyakaZi wa
kampuni za simu.
... Nimekugongea 'like' kwa kuwa angalau ume.note something, lakini na wewe pia umekosea. Hiyo uliyoandika ni milioni 350, laki 350 aliyomaanisha jamaa ni 35,000,000 (i.e laki ina sifuri tano)***350,000,000***
Huenda hao wafanyakazi halisi wa Vodacom ndio waliovuta hiyo hela (laki 350 kama ulivyosema), waki-take advantage ya upoteaji wa SIM Card alioripoti jamaa ambapo kwao (Vodacom) ni rahisi tu kujitetea kwamba wezi ni wale waliobadilisha SIM CardInamana password zako unarikodi kwenye simu??walipataje hizo nmb mobile password??hata wakichukuwa sim card bado hawatoweza kuchukua pesa zako kama hukuweka wazi password zako,haijaniingia bado sorry.
Huenda hao wafanyakazi halisi wa Vodacom ndio waliovuta hiyo hela (laki 350 kama ulivyosema), waki-take advantage ya upoteaji wa SIM Card alioripoti jamaa ambapo kwao (Vodacom) ni rahisi tu kujitetea kwamba wezi ni wale waliobadilisha SIM Card
hii kuifatilia ni rahisi sana, je waliitoaje bank..
Wanawake bwana!
Inawezekana hao wezi wangeenda tena an 'extra mile', wangepata another stuff!
Anyway, poleni sana.
Mwenzako keshasema 350,000,000!!! Mbona unamshusha hadhi? Lol!
simu nyingi internet inajiconnect automatically labda mimi ndio sijui?
Nyingi hazi-connect automatically
Mkuu tuombe radhi.....wengine hatuingiliki kirahisi hivyo......unakutanaje na watu huwajui unawapa simu....?.....ofisi za kampuni hazijui.....?...aseme vizuri bana kapeleka wapi pesa.....alishindwa nini kumpa mumewe simu aweke internet..?....au na mumewe ndio wale wale.....angekuwa shoga'ngu ningemzabua.......
Wanawake bwana!
Inawezekana hao wezi wangeenda tena an 'extra mile', wangepata another stuff!
Anyway, poleni sana.
Pole sana,mwezi juzi nilikutana na kisanga kama hicho, baada ya kucheza na simu yangu waliweza kudeactivate jina langu la M-pesa a/c,hivyo details zangu zote za m-pesa wakaziua,nilipotumiwa pesa ikaenda kwa mwingine namba ile ile i.e one number two people!
Inasikitisha sana