Wizi mkubwa wa pesa za noti zenye uzito wa tani 3.

Kwa hiyo naanza kuelewa sababu ya Yesu Kristo ,Massiha kuangiza polisi kutenda haki na kutomnyang'anya mtu Mali zake.

Kumbe ndiyo tabia zao hadi za kutoboa siri aaaaah basi nimeelewa.
 
Ikitokea wizi wa hivyo mnishikirishe wakuu
Shemela wangu kumbe balaa kwenye haya mavitu ee
Halaf hilo jina sasa la Fernando linanistua moyo
 
Huyu mshikaji aliyeleta mada sijui aliangukiwa na vioo kama kumbukumbu zangu zipo sahihi

Kapona ?
 
f7e3e6912c56d577271ced2bc7a4134c.jpg

Tarehe 8, mwezi wa 8 mwaka 2005, saa tatu asubuhi ikiwa ni siku ya Jumatatu, moja ya tawi la Bank Kuu ya Brazil lililopo katika mji wa Fortaleza katika jimbo la Ceara, lilifunguliwa kama kawaida kwa ajili ya shughuli za kila siku.
Manager wa bank anaelekea kwenye chumba cha kuhifadhia pesa ambacho kinalindwa na ulizi wa mitambo ya hali ya juu huku kikiwa kina ukuta wenye upana wa kutosha na mlango wa chuma kizito.
Baada ya kufuata utaratibu wa kupita kwenye mitambo yote ya ulinzi mlango wa chumba cha kuhifadhia pesa unafunguka na hapo ndipo anapigwa butwaa.
Kiasi kikubwa cha pesa kuu kuu ambayo ilikuwa imehifadhiwa kwa ajili ya kuteketezwa hakipo huku pesa mpya ambayo ilikuwa haijaingizwa kwenye mzunguko ipo mahali pake.
Kwenye sakafu ya chumba hicho anagundua ya kwamba kuna shimo ambalo bila shaka ni tundu la handaki ambapo wezi waliingilia na kuondoka na pesa hiyo.
3571c5b07b699bab249f457a64e9a8d4.jpg

Bila kupoteza muda anapiga simu kituo cha polisi kuwataarifu juu ya wizi huo.
Baada ya polisi kufika wakiwa wameongozwa na mkuu wa polisi wa mji huo, waliongia moja kwa moja kwenye chumba hicho cha kuhifadhia fedha, na hapo ndipo walishuhudia kilochotokea, kiasi cha Dollar za Brazil R$ 160, milion sawa na zaidi ya billion 110 za Kitanzania zilikuwa zimeibiwa.
Mkuu polisi alipoona shimo linalotokea kwenye sakafu, hakuwa na shika kuwa ndiyo njia iliyotumika kutekeleza kazi hiyo, alitaka kuingia lakini akawa na mashaka huenda wahalifu bado wako kwenye handaki hilo hivyo alitoa bastola yake akazama kwenye shimo.
Alipigwa butwaa alipokuta kuwa ni njia ya handaki iliyotengenezwa kwa ustadi ikiwa na nguzo, mfumo wa umeme zikiwemo taa, mfumo wa hewa zikiwemo feni na AC.
b6fd5ad7956081bfb3f3c7567e7fd35b.jpg

Ulitambaa mpaka alipofika mwisho ambapo aliona shimo linaelekea juu na alipoibuka akajikuta kaibukia kwenye chumba.
Alitoka nje ya chumba ndipo alipogundua kuwa ni ofisi iliyofunguliwa upande wa pili wa bank yani ikiwa imetenganishwa na barabara baina yake na bank.
Ofisi hiyo ilikuwa imewekewa bango lililoitambulisha kwamba inahusika na utengenezaji pamoja na uuzaji wa nyasi za bandia.
Katika kuzidi kutazama jinsi handaki hilo lilivyotengenezwa waligundua lilikuwa na urefu wa mita 78 likianzia kwenye hicho chumba cha hiyo ofisi, likipita chini kwa chini likavuka barabara mpaka benki.
e3f57a5c463d9cf366220b2ceece3b00.jpg

Lilikuwa na kimo cha sentimita 70, huku likiwa chini ya ardhi kiasi cha foot 4, na liliibukia kwenye chumba cha kuhifadhia pesa kwenye benki baada ya kutoboa sakafu yenye upana wa mita moja 1 ya zege nzito.
Kwa hakika waliotengeneza handaki hilo hawakuwa vibaka wa kawaida, bali wataalamu wa kutengeneza njia za migodini wakiwa na vifaa vinavyohitajika pamoja na nyenzo za kutosha, pia bola shaka walikuwa na taarifa muhimu juu ya ramani ya benki ndiyo maana waliweza kujua wachimbe urefu wa mita ngapi mpaka waibukie kwenye chumba hicho.

Upelelezi na msako unaanza mara moja.

Kutokana na hali ilivyokuwa, polisi hawakuwa na shaka kuwa tukio hilo lilitekelezwa siku za mwisho wa wiki kati ya jumamosi na jumapili kwa maana benki hiyo uwa haifunguliwi.
Hivyo walikuwa na uhakika ya kwamba wakiweza kuwahi, bila shaka waliohusika watakamatwa mara moja huenda hawajafika mbali na si rahisi kusafirisha kiasi kikubwa cha pesa hiyo bila kuonekana.
Kwanza ilibidi waanze kwa kutafuta ni nani aliyekodisha kile chumba kwa ajili ya ofisi.
Ndipo walipogundua kwamba, miezi mitatu nyuma mtu aliyetambulisha kama Miguel Rodrigez alikodi hiyo ofisi akiwa na lengo la kufungua kampuni ya kutengeneza nyasi bandia.
Ajabu kwenye mkataba wa kukodi hicho chumba, picha yake iliyobandikwa alikuwa kavaa kofia aina ya cap iliyoficha uso wake usionekane vizuri jambo ambalo hata wahusika hawakulizingatia, kwa maana huwezi bandika picha kwenye mkataba ambayo hakuonyeshi sura yako kwa uwazi kabisa.
Baada ya kufungua ofisi ile aliipiga rangi nje na kuweka bango lililoitambulisha kuwa inahusika na utengenezaji na uuzaji wa majani ya bandia.
5f6a8e20425cb8a51073a170d3df1535.jpg

Majirani wanadai walikuwa wanaona watu kati ya 6-10 wakiwa wanaondoka na gunia zilizozajaa vitu kwenye magari kila siku, lakini hawakutilia shaka kwakuwa walidhani ni kati ya uchafu unaotumika kwenye uzalishaji wa nyasi hizo.
Pia wanadai Miguel alikuwa mchangamfu sana na muda wote alikuwa anavaa kofia, na alikuwa mara kwa mara anafika bar ya jirani ambapo alikuwa akiwapa watu ofa za pombe huku akipenda utani.
Katika kuzidi kupeleleza waligundua kwakuwa noti walizoiba zilikuwa na uzito wa tani tatu, hivyo walihitaji zaidi ya magari 20 kuzibeba, polisi walianza kupeleleza kujua iwapo kuna watu walinunua au kukodi magari siku za karibuni.
Katika upelelezi wao waligundua kuna muuzaji wa magari mji huo, aliuza gari kumi siku ya jumapili ba alilipwa pesa moja kwa moja bila kupitia benki.
Hapo polisi moja kwa moja waligundua lazima wanunuzi watakuwa ndiyo hao wezi.
4fa4a296fec67bdd82b300e47c8a83af.jpg

Walipoenda kwenye ofisi ya muuzaji, waliambiwa kuwa yuko safarini kaondoka na gari saba amezipakia kwenye gari kubwa la kusafirisha magari madogo akiyampelekea mteja wake aliyetanunua huko Rio De Janeiro.
Polisi waliagiza askari njia nzima kukamata gari lolote watakaloona likiwa limepakia magari madogo, huku wakiweka askari wa upelelezi kuanzia njia za usafirishaji majini, barabarani mpaka kwenye viwanja vya ndege.
Katika kutazama video zilizonaswa na kamera za ulinzi katika uwanja wa ndege siku ya jumapili, waliona kijana mmoja muharifu maarufu kwa jina la shorty akiwa na boss wa kundi moja la uharifu wakiwa wako kwenye msatari wa check in kuelekea kupanda ndege.
Polisi walijua bila shaka hao nao walikuwa wahusika kwenye hilo tikio na wakagundua walielekea Sao Paul.
Polisi wa barabarani walifanikiwa kukamata yale magari yaliyokuwa yamepakiwa kwenye gari kubwa yakisafirishwa, ambapo kwenye gari kubwa alikuwemo huyo muuzaji wa magari pamoja na dereva wake tu.
Yeye aliwambia hakuna anachojua zaidi ya kwamba kuna mtu alikuja akanunua gari kumi akamlipa kwa pesa kuu kuu cash, halafu akamuomba amsaidie safirisha gari saba yeye anatangulua atamkuta Rio De Janeiro.
Polisi katika kuyakagua yale magari hawakubulia kitu hadi walipobandua plastic za kwenye milango, dashboard chini ya viti ndipo walikuta ma burungutu ya pesa zipatazo R$20 milion amabazo ni sawa na 13.8 bilions za Kitanzania.
Muuzaji na dereva wake walikamatwa hapo hapo.
Lakini yale magari mengine matatu hayakuweza kukamatwa na wala kujulikana yalielekea wapi na pesa nyingi zaidi zilizobaki walizisafirishaje.
Katika kutafakari, waligundua huenda wahalifu hao waliwachezea mchezo makusudi polisi kwa kujua kuwa watafuatilua hayo magari wapoteze muda huku wao wakiondoka na pesa nyingi zaidi.
Maana katika kumhoji huyo muuza madai, hakuwa namfahamu vizuri mnunuaji na hakumpa anuani yake halisi ila alimwambia akifika Rio ampigie simu wakutane.
Polisi walizidi kuchanganyikiwa na kujiuliza inawezekanaje pesa zilizobaki kiasi cha R$140 zisafirishe pasipo kunaswa?
Maswali yalizidi kuongezeka pale walipogundua kwamba, walichukua pesa kuu kuu ambazo zilikuwa inabidi ziteketezwe baada ya kugundua kwamba namba za hizo noti hazikuwa zimeorodheshwa.
Je ni nani aliyewapa hiyo siri kwamba kuna noti kuu kuu ambazo namba zake hazijaorodheshwa?
Polisi wakaomba raia watoe taarifa iwapo watamuona mtu yotote anafanya matumizi makubwa kwa kutumia noti kuu kuu.
Haikupita muda taarifa zikaanza kupatika kwamba yapata kilomota 50, toka mji wa Fortaleza, kwenye kituo cha mafuta kuna mtu mmoja amekuwa akijaza mafuta ya gari kwa kutumia noti kuu kuu tu.
Polisi wakaamua kuanza kumfuatilia huyo mtu na siku chache katika kumfuatilia waligundua ana rafiki zake wengine wawili ambao nao wanaonekana wana pesa ya ghafla.
Ndipo polisi waliwategea siku walipokuwa wote wakawavamia na kuwakamata wote watatu na katika kupekua nyumba zao walikuta kweli wana kiasi cha pesa kuu kuu.
Lakini haikuwa pesa nyingi na hawakupata taarifa ya kuwasaidia ni nani hasa mhusika mkuu kwenye wizi huo.
89fd34baa7e8780af87cbe8dded68596.jpg

Gentries

Inaendelea

Katika upelelezi wa polisi wakapata habari kuwa katika mji mmoja unaojulikana Caucacia, kuna mwanaume mmoja mwenyeje wa sehemu hiyo alionekana kuwa na pesa ya ghafla na alikuwa akifanya manunuzi na kulipa kwa pesa kukuu.
Polisi wakamkamata na kumfanyia mahojiano, ndipo akawambia kuwa yeye alifuatwa na mtu ajulikanaye kama Miguel. Akamwambia kuwa ana kazi kwenye mji wa Fortaleza. Walipatana wakakubariana akamwachia nauli ya ndege lakini hakumwambia kama kazi yenyewe ni ya kuchimba handaki kuelekea bank.
Alipofika Miguel alimpokea na kumpeleka moja kwa moja kwenye ile ofisi ambapo alikuta kuna watu wengine 11, wote hawakuwa wenyeji wa mji wa Fortaleza na wote waliambiwa kazi yao ilikuwa ni kuchimba andako kuelekea kwenye jengo la bank.
Alipogundua kuwa walikuwa wana lengo la kufanya wizi, alishindwa kuondoka kwa kuhofia uhai wake maana alikuwa amekwisha fahamu siri yao wasingemuacha hai, hivyo alikata shauri ya kufanya kazi iliyomleta.
Alidai Miguel ndiye alikuwa ananunua kila kitu walichohitaji vifaa pesa ya kujikimu na muda mwingine alikuwa anasafiri kwenda kufuata ela kwa mtu ambaye inaelekea ndiye alikuwa mwekezaji wa shughuli ile yote.
Aliendelea kudai kwamba siku walipofika fanikiwa kufika kwenye sakafu ya zege ya ile bank, yeye aliambiwa kazi yake imeishia hapo, akapewa malipo yake na tiketi ya ndege pia akahaadiwa kuwa atatumiwa bonus baada ya week ambapo aliletewa furushu la ela na mtu asiyemfahamu.
Alipoilizwa kama aliwahi kumfahamu Miguel kabla, alidai hakuwa anamfahamu zaidi ya kukutana naye mara kadhaa na ndipo akampa habari ya kazi.
Kufikia hapo polisi bado wakawa wamegonga mwamba.
Sheria za mji wa Fortaleza zinahitaji kila biashara mpya inayofunguliwa aje bwana afya kupuliza dawa ya kuua mbu. Hivyo bwana afya alijitokeza ba kuwambia polisi ya kwamba siku alipoenda pale ofisini kufanya hiyo shughuli alikuta watu ambao walionekana wana wasi wasi sana.
Walimshinikiza afanye kazi haraka na aondoke na muda wote wakati alifanya kazi ya kupuliza dawa kuna mtu alikuwa kavaa kofia anamfuata nyuma nyuma.
Pia aliongeza kwenye chumba cha pili sakafuni aliona mbao kubwa imewekwa kama imeziba kitu flani, lakini hakuwa na wazo lolote kuwa walikuwa kwenye harakati za kufanya wizi mkubwa.

Luis Fernando Ribeiro
50da0305574ca10066f749582577c54a.jpg

Ribeiro alikuwa kiongozi wa genge dogo la wauza dawa za kuelevya katika mji wa Rio De Janeiro.
Huyu alianza kujihusisha na uuzaji wa dawa na magenge ya uhalifu akiwa na umri wa miaka 13 tu. Kazi yake ilikuwa ni kusambaza dawa katika viunga mbalimbali vya mji wa Rio.
Akiwa na umri wa miaka 17, alikuwa amekwisha aminika sana kwa maboss wa wa genge alilokuwa akilifangia kazi, alikuwa ameshapanda na kuwa ngazi ya juu akitafuta na kuajiri vijana wapya kwa ajili ya kuwa wasambazaji.
Akiwa na miaka 21, alimuua kiongozi wa genge na yeye kuwa bosi mpya, akatanua kazi zake na ili kujilinda dhidi ya magegnge pinzani na ili aogopwe, akaanzisha utaratibu wa kuwa natoa kodi kwa Premier Commando De Le capitale kila mwezi na akitoa asilimia flani ya pesa anayopatia katika kila shughuli haramu atakayofanya kama mchango kwa kundi hilo.
Hili lilimhakikishia ulinzi na kuogopwa na makundi hasimu, kwakuwa kuanzisha vita na yeye ilikuwa sawa kutangaza vita na PCC.
Wakati wizi unatokea, Riberio alikuwa katika mji wa Fortaleza, na baada ya wizi huo aliondoka Fortaleza akirudi Rio.
Tarehe 7, mwezi wa 10, mwaka 2005, Riberio alitekwa ma watu wasiyo julikana waliotaka malipo ya USD 890,000.
Hii ilionyesha wazi kuwa Riberio alihusika kwenye wizi huo na waliomteka walijua wazi kuwa anapesa hivyo nao walitaka mgao wa hiyo pesa.
Mwanasheria wake aliandaa hiyo pesa akaambiwa aipeleke nje ya mji kwenye uwanja flani wa mpira aiache hapo na Riberio watamleta kwenye kituo cha kuuza mafuta ya gari katikati ya mji muda wa saa mbili usiku baada ya wao kuchukua hiyo ela.
Mwanasheria wake alifanya kama alivyoelekezwa lakini Riverio hakuletwa hata baada ya kukaa na kusubiri sana mpaka saa saba usiku.
Hivyo aliondoka na wale watu hawakumtafuta tena mpaka tarehe 9, mwezi wa 10, ambapo mwili wa Riberio uliokitwa ukiwa umetupwa maili 200 kutoka Rio katika mji ujulikanao kama Camanducaia.
Mwili wake ulikuwa una tundu tano za risasi huku mikono ikiwa imefungwa na ukiwa na majeraha ya kuonyesha kuwa aliteswa kabla ya kuuawa.
Katika upelelezi polisi waligundua kuwa Riberio ndiye alikuwa mtu aliyekuwa anatoa pesa kwa ajili ya shughuli nzima ya uchimbazi ili kufanikisha huo wizi.
PCC walitoa tamko kuwa wana taarifa kuwa Riberio alitekwa na polisi wasiyo waaminifu na ndiyo wamemuua, na wakasema lazima walipize kifo chake.
Siku mbili baadae maiti ya polisi mmoja inaokotwa ikiwa ina matundu ya risasi na alama za kuteswa sana.
Katika uchunguzi wanafundua kwake alikuwa na kiasi kikubwa cha pesa jambo lilionyesha kuwa kweli ni kati ya wahusika waliomteka Riberio.
Siku inayofuata maiti ya polisi mwingine nayo inaokotwa pia ikiwa imeuawa kwa staili ile ile ya polisi mwingine.
Mpaka hapo wizi wa bank umechukua uhai wa watu watatu.
cec0ec33f086d95f6f3ef204a6d254e8.jpg

Upelelezi wa polisi katika mji wa Fortaleza unabaini kwamba kuna mlinzi wa bank mstaafu anayeonekana kuwa na pesa sana ya ghafla.
Polisi wakamkamata na kumhoji ndipo walipogundua yeye akiwa kastaafu yuko kwake hana mbele wala nyuma alifuatwa na mtu aliyemwambia anahitaji amchoree ramani ya ile benki amuonyeshe kilipo chumba cha kuhifadhia pesa.
Mlinzi aligoma na alipotajiwa kuwa atalipwa pesa nyingi, alikubari kumchorea ramani na kweli alipewa malipo mazuri tu mapema hata kabla ya wizi kufanyika.
Hivyo kwa maelezo ya huyu mlinzi fumbo la polisi kuwa lazima kutakuwa na mtu ndani ya bank aliyehusika lilikuwa limefumbuliwa.

Hitimisho
Watu zaidi ya kumi na moja walikamatwa kwenye huo wizi, na mashahidi waliokuwa tayari kutoa ushahidi lakini ajabu kesi ilipoanza waligoma kutoa ushahidi wakihofia maisha yao.
Nchi kama Brazil kuuawa kwa kuitwa mbea (snitch) au kujiungiza kwenye mambo yasiyo kuhusu ni dakika 0.
Polisi wenyewe hawaaminiki hata pale mashahidi walipoaminishwa kuwa watatoa ushahidi wakiwa wamefichwa sura zao bado waligoma maana polisi wenyewe kati yao kuna wasaliti ambao wanaweza vujisha picha zao kwa wahalifu.
Kesi ilikosa ushahidi na wengi waliachiwa.
Mpaka sasa Miguel hajulikani ni nani na ni yeye aliyekuwa mastermind, ndiye aliyekodi lile jengo ba kusimamia shughuli zote.
Pia shorty hajawahi kuonekana hahulikani alipo.
Kiasi cha pesa kilochoweza kupatika ni zaidi ya USD 7 milion ila zaidi ya usd 63 hazijaweza kupatikana mpaka leo.

Katika mahojiano na mfungwa mmoja aliyewahi kuwa kiongozi wa PCC akafukuzwa na kutakabkuawa na wanachama wenzake, anadai ana hakika viongozi wa PCC wanajua ni nani hasa alihusika katika wizi huo, ila alidai anafurahi sana kwamba wahusika hawakukamatwa kwa maana ni jambo la kusikitisha mtu aibe pesa nyingi kiasi hicho halafu akamatwe, hivyo yeye anawapongeza kwa kuweza kuiba pesa nyingi pasipo kukamatwa.
d82f0a9f2763f6e380a4015d7b97f622.jpg

Mwisho kabisa, Brazil hakuna kifungo cha maisha wala kunyongwa. Adhabu kubwa mtu anayoweza kupata ni lifungo cha miaka 30 hata kama mtu kafanya makosa mbali mbali ambayo ukijumlisha vifungo vyake inakuja miaka 120, wao wanachukulia hiyi ni sawa na kifungo cha maisha hivyo watampa kifungo cha miaka 30 maana ndiyo adhabu ya juu kabisa.
Janma J wizzy xav bero Al-kindy Mwalupale kababaa1 mzeewangese dem boy Mushi92 Gentries prince mrisho com SK2016 jchofachogenda The Transporter Mr Bundi Bomandamo
Duh
 
Mwezi wa 4 mwaka jana nilikua nawasiliana nae kupitia ndugu yake flan..coz hakua anaweza kushika simu.. alinismbia wanampeleka sauzi akatibiwe ndio tulipopotezana hapo up today
 
Brazil ni noma sana kwa magenge yaliyo kubuhu
 
Back
Top Bottom