hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,117
Unaweza kukuta ni hearsay wala hajui zaidi. Ni story za vijiweni.
Unaweza kukuta ni hearsay wala hajui zaidi. Ni story za vijiweni.
Rafiki yangu mmoja mwenye asili ya India anapata shida kupata pesa zake. Kaka yake diaspora Canada kamtumia $100,000 wanunue mabasi ya biashara ya familia. Pesa ikaingia mwezi wa kumi alipoenda akaambiwa kwasababu ya uchaguzi wana wasiwasi hivyo pesa haitakuwepo mpaka baada ya uchaguzi...
Rafiki yangu mmoja mwenye asili ya India anapata shida kupata pesa zake. Kaka yake diaspora Canada kamtumia $100,000 wanunue mabasi ya biashara ya familia. Pesa ikaingia mwezi wa kumi alipoenda akaambiwa kwasababu ya uchaguzi wana wasiwasi hivyo pesa haitakuwepo mpaka baada ya uchaguzi...
Na hata ingekuwa ni jina halisi, kama stori sio ya uongo anaogopa nini kuitaja hiyo bank?Unatumia jina feki halafu unashindwa kutaja bank , matanzania mnakera Sana.
Kama ni kweli nenda BoT mnara wa kaskazini ghorofa ya 6 utapata msaada hapohapo. Nenda na nyaraka ikiwepo SWIFT message aliyopewa mtumaji na benki yake ya Canada.Rafiki yangu mmoja mwenye asili ya India anapata shida kupata pesa zake. Kaka yake diaspora Canada kamtumia $100,000 wanunue mabasi ya biashara ya familia. Pesa ikaingia mwezi wa kumi alipoenda akaambiwa kwasababu ya uchaguzi wana wasiwasi hivyo pesa haitakuwepo mpaka baada ya uchaguzi...
Kabisa hizi story za vijiweni...anatumalizia chaji tuUnaweza kukuta ni hearsay wala hajui zaidi. Ni story za vijiweni.
Rafiki yangu mmoja mwenye asili ya India anapata shida kupata pesa zake. Kaka yake diaspora Canada kamtumia $100,000 wanunue mabasi ya biashara ya familia...
Paskali umeombwa kutoa maoni yako, lakini umeishia kutoa mshangao tu. Duh.....! Hebu tufahamishe hili limekaaje kiundani kabisa.Duh...!
P
Inaonekana huyo mleta uzi anakuamini sana mpaka amekutag kwenye uzi wake, angejua ww mwenyewe press card yako umerudishiwa juzi angekuacha tu.Duh...!
P
Awaripoti BOT ikiwa wanaendelea kumkwamisha. Haiwezekani pesa zake watumie kubalance vitabu vyao wapuuzi hao. Awape notice ya siku hata 3 kisha awapeleke BOT.
Mkuu huo hauwezi kuita uporaji, tambua kuna sheria inayosimamia uendeshaji wa maduka hayo. Sasa ikiwa walikiuka lazima wakumbane na adhabu. Mfano tu nikupe, mtaji uliosajili wewe ni dola 300,000 wakaja kukagua na kufanya hesabu za usuluhishi ( accounts reconciliation) ukakutwa una ziada inafikisha mzunguko wako hadi dola 500,000. Moja kwa moja wewe ni mtakatisha fedha haramu ( money launder) na adhabu yake unaijua, hizo pess sio zako zinabebwa zote pamoja na kila kitu kilichokutwa humo.Kwani zile pesa za watu walioporwa kwenye Bureau de change zilienda wapi!
Huu ni wizi sasa. Dah very bad better to invest in Kenya than TanzaniaRafiki yangu mmoja mwenye asili ya India anapata shida kupata pesa zake. Kaka yake diaspora Canada kamtumia $100,000 wanunue mabasi ya biashara ya familia.
Pesa ikaingia mwezi wa kumi alipoenda akaambiwa kwasababu ya uchaguzi wana wasiwasi hivyo pesa haitakuwepo mpaka baada ya uchaguzi. Mwezi wa kumi na moja akaniomba ushauri nikamwambia watakuwa wameweka kwenye fixed deposit kwa muda ili wapate faida binafsi maana sababu zao hazipo kisheria.
Akatafuta wakili kabisa wakili kuandika barua anaambiwa pesa hamna hazipo kabisa ! Lakini wataanza kupewa nusu Tarehe 10 mwezi wa kumi na mbili na nyingine kwa awamu mbili!
Yaani ni kama nilivyosema wameweka pesa kwenye fixed na inaelekea kwenye fixed deposit ya zaidi ya miezi 3 ili wale faida ya pesa!. Fixed deposit mfano kama inalipa 3% tu kwa miezi hiyo ni $3000 ambayo hawajafanyia kazi yoyote.
Na kwasababu ni wahindi wanatishiwa bila kuwa na sababu zozote kisheria. Kibaya zaidi hii inatisha watu kuleta Tanzania pesa za miradi na inatakiwa kuchunguzwa mara moja.
Tusaidieni kulisema hili linauwa sana uwekezaji wa ndani
Pascal Mayalla