Wizi arusha......

CHEK NA MAKAO MAKUU YA CCM ARUSHA LAZIMA WATAJUA MWIZI NA NANI ANAUZa??
 

uliibiwa jmosi lakini ukaripo jana..huu mji ni mdogo tega kwenye kona zao..
 
Mkuu vijiwe vyote vinavyouzwa computer, ipads simu navifahamu sasa ngoja niwaulize kama wanayo Ipad32G halafu wewe nitakufanya kama mteja ambaye ni rafiki yangu sasa ndiyo nakusaidia kutafuta. Pls unatakiwa usiwe na jazba kabisa, mambo yanaweza kwenda vizuri.
 
pole sana. bora hata huko arusha walikuwa vibaka 5o. juzi alhamisi hapo maeneo ya selander bridge nimeshuhudia mdada wa kuzungu akikabwa na kupiga mayowe akaporwa simu jamaa akatokomea kwenye mikoko. ilikuwa saa moja na nusu asubuhi yaani kweupeee na kituo cha polisi kipo just opposite. Magari yako kwenye foleni na watu wanapita ila hakuna kilichofanyika. hali halisi ya Tanzania ndio hiyo
 
[h=6]有没有地方那么远。我相信自己[/h]
 
hao watakuwa underground dogs watoto wa line polisi fire na daraja mbili ingekuwa mitaa ya makao au kaloleni ingekuwa ni junior nako. Kama unataka kuipata nenda kwenye maduka ya used electronics hii njia ya makao ka unaenda masjid quba au nenda stend ya magari ya moshi tafta wale mashashaa watakuelekeza ila uandae pesa ya kutosha kuwalipa hii ndo chuga town leo ningekuwa town ungenipm ungeipata ila lazima unilipe
 
Kweli mkuu vijana wa Ungalimited noma hakuna mfano wake ninachowapendea ni mashabiki wazuri sana wa Kamanda Lema.

 

Mkuu! Huyu aliyeibiwa labda ndiyo wale wale kwani kama wewe ni mgeni kwenye mji wa watu na akashindwa hata kutafuta mwanajamiiforums yoyote hapa A town na anajua kbs kwmb tupo tumejaa na angalia siku aliyeibiwa ni jumamosi ni wikiend yeye anaenda kutembea na vibegi vyake lain ile ambayo inarecord hapa A town,Acha aibiwe,Mkuu! Kama cyo namwogopa MUNGU ningekushauri usihangaike naye iwe fundisho afikapo Mikoani atafutage wenyeji. Huyu ni Shwain kweli!!
 
Du...MKUU!
Naona umevaa miwani ya mbao!!
 

Pale Arusha bila kumng'oa Lema, patachafuka sana sana na bado. Matatizo yote haya yanatokana na huyu jamaa wa Chadema. Sasa hivi watalii hawakai mjini, guest house hazina watu, vibaka kibao plus so many uncouth things happening randomly.
Sina hakika kama ana shule yoyote na sijui watu wenye akili kama Arusha Municipality walivyo wanachanguaje mtu wa namna hii?!
 

Nikiwa kama MOD ninaye ratibu jukwaa la walioibiwa na kuingizwa mjini nakutunuku BAN ya sekunde kadhaa.
 
Kweli mkuu vijana wa Ungalimited noma hakuna mfano wake ninachowapendea ni mashabiki wazuri sana wa Kamanda Lema.

Na wale wahuni wa kaloleni (junior nako), na hao wavuta bangi wa mtaa wa Pangani na Bondeni si green guard na mnajivunia wizi wao hapo stand kwa kivuli cha AKIBOA si CCM mnawalea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…