pole mkuu kwa yaliyokukuta ndio mji wetu jitahidi kuwa makini sana hawa jamaa ni hatari wamekataa tamaa na maisha ni magumu so wanayatafuta kwa kila njia....jamani wana jamii ninaombeni sana msaada wenu..jana jioni siku ya jumamosi maeneo ya metropolitan karibu na green heart restaurant kwa wale wanaofahamu arusha nikiwa kwenye pikipiki nilivamiwa na kundi la vijana zaidi ya 50 waliokua wanaandamana wakaninyang'anya hand bag yangu kwa kuivuta kwa nguvu hadi ikakatika mkanda, nikashuka kuwafatilia wakatoa visu pamoja na sime wakanambia kama nataka kufa niwafate watu waliokuwepo around walinisihi nisiwafate maana wale jamaa ni watu wabaya na waweza hata niua,mie bado mgeni hapa arusha, then wakatokomea nayo kuelekea maeneo ya unga limited...kwenye hand bag yangu kulikua na ipod aina ya apple 32gb pamoja na vitu vingine vidogo vidogo...nilifika kuripoti kituo cha police cha unga limited askari nilimkuta akitiririka jasho kanambia ndiyo tu kwanza katoka kukimbizana na jamaa hao hao walimu-attack jamaa moja na kumchania suruali yake wakachukua pesa pamoja na walet yake pia huko njiani walikua wakipiga watu na kuwanyang'anya vitu kama handbags kwa akina mama?dada...ombi langu kwa wana jamii wa arusha please ukiona mtu anauza ipod mtaani au anataka kukuuzia or umepata fununu inauzwa sehemu naomba uni-pm or toa taarifa kituo cha polisi.......nimefungua file pale central na nina rb.....ninahitaji sana msaada wenu ndugu zangu maana hiyo ipod ndiyo ilikua inanisadia kufanyia kazi zangu zote hata ku-browse hapa jamvini......natanguliza shukrani zangu kwenu nyote...
Asante sana mkuu...pole mkuu kwa yaliyokukuta ndio mji wetu jitahidi kuwa makini sana hawa jamaa ni hatari wamekataa tamaa na maisha ni magumu so wanayatafuta kwa kila njia....
Hii ni changamoto ya hili jiji , inatia hasira sana hawa polisi badala ya kuhangaika na vibaka kama hawa wanadeal kila siku na wasiasa hasa wachadema ....
Ishu si kujua tu, uweze kufuatilia na labda kuirejesha kwa mwenyewe!mkuu hebu nisahihishe vizuri....ni IPOD au IPAD....ili nikisikia niweze kujua....pole sana
Ishu si kujua tu, uweze kufuatilia na labda kuirejesha kwa mwenyewe!
Mkuu niseme uongo ili iweje?....mie nimefika hapo na kuandika maelezo mida ya saa mbili jioni na nilimkuta Askari wa kiume na kike na hapa nina RB na baadaye kidogo nitapita hapo ili nimjue mpelezi wa kesi yangu....naomba uangalie vizuri or muulize askari aliyekua zamu jana jioni atakuonyesha hilo file mkuu.....Muongo wewe! central police naangalia katika Report Book yao hakuna reported case ya namna hiyo. Hata IR register haina case namna hiyo Mkuu, au unamaanisha nn?
Nahofia wewe ndiyo muongo!Muongo wewe! central police naangalia katika Report Book yao hakuna reported case ya namna hiyo. Hata IR register haina case namna hiyo Mkuu, au unamaanisha nn?
Asante sana Mkuu kwa ushauri..Kiongozi pole sana!!
Hakyanani nimejisikia kama ni mimi nimefanyiwa hilo jambo!
Vijana wa Unga Ltd ni hatari sana!..Polisi wanajua sana kuhusu hali hiyo lakini hawajaamua kuchukua hatua yoyote!
Tuombe Mungu lakini uwezekano wa kuipata hiyo Ipod ni narrow...cha msingi kaza buti ujiandae na kuwekeza ili ununue nyengine, hata kama utaipata hiyo iliyoibiwa basi utajua cha kufanya!
Ushauri, next time angalia sana maeneo unayotembelea i relation to vitu unavyobeba!..ingawaje mahala lilipokutokea hilo tukio ni mjini kabisa!...ajabu!
Pole sana broda!
Jamani wana jamii ninaombeni sana msaada wenu..jana jioni siku ya Jumamosi maeneo ya Metropolitan karibu na Green heart restaurant kwa wale wanaofahamu Arusha nikiwa kwenye pikipiki nilivamiwa na kundi la Vijana zaidi ya 50 waliokua wanaandamana wakaninyang'anya hand bag yangu kwa kuivuta kwa nguvu hadi ikakatika mkanda, nikashuka kuwafatilia wakatoa visu pamoja na sime wakanambia kama nataka kufa niwafate watu waliokuwepo around walinisihi nisiwafate maana wale jamaa ni watu wabaya na waweza hata niua,mie bado mgeni hapa Arusha, then wakatokomea nayo kuelekea maeneo ya Unga limited...kwenye hand bag yangu kulikua na IPAD aina ya APPLE 32GB pamoja na vitu vingine vidogo vidogo...nilifika kuripoti kituo cha police cha Unga limited askari nilimkuta akitiririka jasho kanambia ndiyo tu kwanza katoka kukimbizana na jamaa hao hao walimu-attack jamaa moja na kumchania suruali yake wakachukua pesa pamoja na walet yake pia huko njiani walikua wakipiga watu na kuwanyang'anya vitu kama handbags kwa akina mama?dada...Ombi langu kwa wana Jamii wa Arusha PLease ukiona mtu anauza IPOD mtaani au anataka kukuuzia or umepata fununu inauzwa sehemu naomba uni-PM or toa taarifa kituo cha polisi.......Nimefungua file pale Central na nina RB.....ninahitaji sana msaada wenu ndugu zangu maana hiyo IPOD ndiyo ilikua inanisadia kufanyia kazi zangu zote hata ku-browse hapa jamvini......natanguliza shukrani zangu kwenu nyote...