Wizara ya mambo ya ndani mambo magumu..

Achana na cartridge, karatasi nazo ni mgogoro!
Ukiacha issue ya ofcni polisi, kuna jamaa polisi anaishi mitaa ya tandika, akitoka kazn akiwa kwenye baraza anapunga upepo, akiona jamaa wana mzigo wa deal, huenda chumbani kwake kwa kasi na kuvaa gwanda na kukamata hao jamaa anadai ili awaachie lazima wwatoe mshiko!
 
Back
Top Bottom