Mzalendo80
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,509
- 1,344
Pumbaaa
Hebu Tulia na wewe, pumba unazijua au unapayu kama unatafuta mume sema
Pumbaaa
faiza dada usikatae kila k2 hakuna pumba hapo serikali ipo hoi, mtafute mkulo kwa siri umuulize.Pumbaaa
Haki!? unazungumzia nchi hii...hapo tutapigwa blah blah na kamwe hawatakubari kuwa gari la kubebea wafungwa halikuwa na mafuta...
Kuna uwezekano wa watuhumiwa hao kufungua kesi kuishitaki serikali kwa kuwanyima haki ya kusikilizwa kwa uzembe wa serikali ?
Hivi kuna siku ulishawahi kutumia ubongo wako.Pumbaaa
Hivi wewe unafikiria kwa kutumia tumbo??? always mtu wa kwenda against na hoja za msingi: kama serikali imeoza watu wasiseme!!Pumbaaa
tulia wewePumbaaa
Ni kweli mkuu, lakini bado miye nina wasiwasi na falsafa ya magamba; ni kuwa watu hawa wezi wanatafuta upenyo wa kukimbia na mali zetu jamani tufanyeje?Nchi ishauzwa hii, tujiandae kwa mapambano ya ukombozi wa nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania
Ngoja tukuandikie habari utakayopenda kuiona:"Serikali ya JK imetoa mkopo kwa serikali ya Ugiriki ambayo inakaribia kufilisika."Pumbaaa
Una uhakika.......?Kwere hana lolote angekuwa shoga tu.
pumba zaidi kwako wala sio kwetu. huanahata muda wa kuona aibu mwanamke mchafu sanaPumbaaa
Shhhh! Pole pole ndugu. Kuna ban zinatembea nje nje. Jitahidi angalau upate ban ya maana basi!pumba zaidi kwako wala sio kwetu. huanahata muda wa kuona aibu mwanamke mchafu sana
Hivi wewe una Akili au Kamasi? hebu potelea mbali!Pumbaaa