Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 942
- 4,433
Biashara yakuuza dola imekuwa na mkanganyiko mkubwa. Mabenki na taasisi za kubadilisha fedha wametangaza hawana dola.
Ila yapo maeneo sasa hivi unanunua dola kwa bei karibia na elfu tatu na fedha hizi zinaletwa kwenye mifuko.
Waagizaji mizigo wengi tunachofanya sasa hivi ni kununua dola kwenye black market tuweze kulipia uagizaji wa mizigo.
Zipo bidhaa ambazo baadhi ya wafanyakazi wa mabenki ikiwemo nmb wanapokea Tshs ila wanafanya exchange kwa high rate. Wao dola wanazitoa wapi.
Labda BoT na wizara ya fedha watoke adharani watueleze kwanini dola ni nyingi kwenye black market? Sisi tunaonunua dola uchochoroni hakuna siku tutakamatwa na kuitwa wahujumu uchumi?