Ni jambo la kawaida kwa mujibu wa mitaala ya elimu nchini wanafunzi wa shule za secondari na shule za msingi kuwa na likizo ya mwezi mmoja kati ya mwezi wa sita hadi wa saba.Hata hivyo , kuna baadhi ya shule zimetoa likizo ya wiki moja tu.
Hakuna asietaka mwanafunzi kuwa na ufaulu mzuri, lakini pia swala la afya ya mwanafunzi ni jambo la muhimu ,hivyo tunaomba serika kuhakisha ya kwamba miongozo ya elimu inayotolewa inafuatwa kwa ukamilifu wake.