Maulidi guga
Member
- Apr 13, 2020
- 14
- 16
Habari ndugu naomba kujua ni culcultor zipi zimeluhusiwa kuingia nazo kwenye mtiani wa hesabu kidato cha nne..?
Habari ndugu naomba kujua ni culcultor zipi zimeluhusiwa kuingia nazo kwenye mtiani wa hesabu kidato cha nne..?
🤣🤣Kanikumbusha mzazi flan kweny kikao flan ,dhidi ya walim kutokan na kufeli wanafunzi akatoa maoni si Bora Hawa watot "watomb...ne" tu maan shule hawatakWe kama mtu serious umeisaidia nini Nchi so far?
D ianzie 65+ wewe vyeti vyako vikibadilishwa saiv utajikuta una Division 4 mbovu sana au zero.
Fundisheni watu wapate maarifa sio wapate grades nzuri mwisho wa siku tumesoma lakini hatuna maarifa ya kutengeneza hata kijiti cha kuchokonoa meno.
Hovyo sana waafrika tunawekeza kukomoa sana na kukariri.
Afrika haitoboi kwa akili hizi tulizonazo za kuangalia grades tu
Mambo ya Mungu mtaalam.RIP miamba inaondoka ,kweli vizuri havidumu
Ni saw na kubeti tuYan kusoma advance mim naon n kama kucheza mchezo wa kamali vile?
Mwalimu wangu wa somo la chemistry advance aliwahi kupelekea maoni wizara ya elimu kuwa advance miaka miwili kidogo ina mambo mengi ni vigumu mwanafunzi kuelewa vyote kwa muda mfupi kama ule.Umesema ukweli mtupu Exactly,izo mbinu haziepukiki na wanafanya ivo kutokana na ugumu wa syllabus ,tatzo kuu ni syllabus MDA, CONTENTS NYINGI(MATOPICS+ PRACTICAL),VITABU .
Kwa uandishi huu, huwezi kuwa mwalimu wa Advance, hata hivyo hapa watu wanajadili mada serios ya PCB/M na sio vitu vingingine ambavyo hata ukilala unatoboaAcheni Ngono someni
Mimi nimefundisha hapo Temeke Advance wanafunzi mnatombana Sana.
Mwanafunzi smart hawezi kufeli Advance pia huko vijijin ngono imetawala . Serikali naomba Alama ziongezwe za kutoka Advance kuja chuo kikuu Angalau D inabidi Kuanzia 65+
Wanafunzi Advance wanagombea hivyo vitabu mimi mwalimu wangu ni mtaalamu sana yeye alihusika vitabu vya TIE vya mwanzo kabla ya vipya hivi kuzuiliwa kwani vilipotoka alikagua pamoja na kupelekea maoni yeye na wenzake sehemu husika mpaka vikazuiliwa na mimi nimeviona vilikuwa shallow sana hivi vipya hata yeye mtaalamu mkubwa wa kufundisha somo la Kemia kabisa asilimia 85/% mpk 90%Nakataa kwa 100% wanaovitumia nna maoni yao mengi wanasema havina maajabu,usiingize siasa mkuu
Ok umefanya vizuri kuwatetea ndugu zetuShukrani ,kwa sisi tushavuka izo level lakn sio vema kufumbia macho hili suala
Haiwezi kuwa sawa kwa TIE ilivyo mtu ukitumia moja kwa moja kile hatopata matokeo mazuri moja kwa moja vile vinatoa muongozo na kurahisisha concept ngumu kama mwanafunzi akipitia vitabu vingine kisha kudogea mule naamini ataongeza kitu kikubwa sana ..Aliesoma kitabu chab TIE general chemistry huwezi mfananisha na aliyesoma general chemistry ya Ngaiza`series ,kamwe ni Bora kuongea uhalisia kuliko kuongopa wanaoumia ni wadogo zetu
Nakumbuka kipindi hicho naingia advance sijapiga hata pindi moja infact wakati watu wanaunga mapindi ya pre form 5..mimi nilikuwa zangu likizo.Ile naingia class siku ya kwanza nakutana na jamaa ana counter book la quire 4 limejaa notsi za physics, ana ma counter mengine ya chemistry yamejaa notsi...nilipagawa aisee.Mwalimu wangu wa somo la chemistry advance aliwahi kupelekea maoni wizara ya elimu kuwa advance miaka miwili kidogo ina mambo mengi ni vigumu mwanafunzi kuelewa vyote kwa muda mfupi kama ule.
Na ni kweli kwa wale tuliosoma masons ya Sayansi lazima ukubali advance mziki mnee mtu ulileta urembo wa O_level wewe kufeli ni swala rahisi sana ndio maana shule kubwa wanaanza masomo mapema na wenye uwezo watoto wao wanapiga tuti za uhakika muda wa shule unakuta wameshakava vitu vingi..
Kipindi hicho kila mtu ana BS lake la Bios.Haiwezi kuwa sawa kwa TIE ilivyo mtu ukitumia moja kwa moja kile hatopata matokeo mazuri moja kwa moja vile vinatoa muongozo na kurahisisha concept ngumu kama mwanafunzi akipitia vitabu vingine kisha kudogea mule naamini ataongeza kitu kikubwa sana ..
Kutegemea kitabu kimoja ni tatizo hata mimi Biology kuna vitu nilitoka kapa kwenye BS nikaelewa zaidi kwenye understanding Biology ..
Hata mimi mda ambao wenzangu wanapiga Pre_4m5 nilikuwa nacheza chandimu mtaani kufika class sijui hata majina ya vitabu nakuta wadau washusha machandy kwenye meza kuna mwamba nilikaa nae nilimuuliza umesoma nini jamaa alinijibubkwa tambo nimekava kila kitu akaja kukaa kidogo akatoa kidaftari na kitabu anasovu BAm huku akilalsmika hili somo amekava topic tatu tu nikasema mchizi amelisonea tuti mpk somo la ziada nikamuhma siku ile ile nikamtafuta Mwanangu ambaye hatuchekani nikae nae mwishowe mchizi kucheza mwingi necta kala 4..Nakumbuka kipindi hicho naingia advance sijapiga hata pindi moja infact wakati watu wanaunga mapindi ya pre form 5..mimi nilikuwa zangu likizo.Ile naingia class siku ya kwanza nakutana na jamaa ana counter book la quire 4 limejaa notsi za physics, ana ma counter mengine ya chemistry yamejaa notsi...nilipagawa aisee.
Dah ilibidi niende race sana miezi ya mwanzo ili niweze kucover topics zote...ila cha ajabu wao waliokuwa wamesoma preform 5...likija pepa nawakimbiza vibaya.
RIP Moody Physics.
Shou out kwa Mbuga na Sir Unga.
A_level unyama sana ,maisha ya A_level na mikiki yake imenipa funzo kubwa la maisha na upambanaji kwa ujumla..Hakika ktk kusoma kwangu nayamiss sana maisha ya A-level kuliko hata maisha ya University pale UDSM
Mimi nashangaa sana hapa bongo sijui Kitaalamu imekaaje O_level science ,A_level Pcm ,chuo uhasibu Kazi Dalali...Pcm,pcb ,pgm ukipiga three na two mbovu Tukutane CBE imeishaa iyo
Labda connection ambapo mtoto wa mkulima ni vigumu