Wizara husika ya Habari na MCT je, Kichwa cha Habari hiki cha 'Kihuni' katika Gazeti la Yanga SC toleo la leo Jumamosi mmekibariki?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,920
Kichwa cha Habari ni hiki....

YANGA YAMBAKA MUME WA SIMBA

Najua Simba na Yanga ni Watani wa Jadi ila sidhani kama katika Tasnia ya Habari Lugha hii ya 'Kihuni' na 'Udhalilishaji' inakubalika.

Na kama GENTAMYCINE nitajibiwa kuwa ni Lugha njema tu hiyo basi nitaiomba Wizara husika na MCT wayaruhusu na Magazeti ya Kawaida pia kuanza kutumia Lugha hizi hizi za 'Kihuni' ili twende sawa.

Nategemea kuona Tamko Kali kutoka Wizarani ( japo najua Waziri Bashungwa ) ni mwana Yanga SC lia lia na pia kutoka kwa Baraza la Habari Tanzania ( MCT )

Mkilunyamazia hili Gazeti la Yanga na huu Uandishi wao wa Kipuuzi, Uchokozi na Uchochezi kwa Aina ya hiki Kichwa chao cha Habari ' YANGA YAMBAKA MUME WA SIMBA ' basi na Simba SC nao wakijibu Mapigo muwe Wavumilivu na msinune kwani kama ni maneno ya Shombo tu Simba SC yapo sana tu na huenda hata Yanga SC wakajuta kwa kuianzisha Vita hii ya Maneno makali ya Vichwa vya Habari Magazetini ( hasa katika Magazeti haya ya Michezo ) yanayomilikiwa na hivi Vilabu vikubwa nchini Tanzania.

Ni kweli Yanga SC imemfunga mbabe wa Simba SC ambaye ni Prisons FC lakini na Simba SC nao wameshamfunga sana tu mbabe wa Yanga SC Timu ya Coastal Union ya Tanga ( ns hata Azam FC na Kagera Sugar FC kwa nyakati tofauti ) ila sijawahi kuona Gazeti la Simba SC likija na Vichwa vya Habari vya 'Kihuni' kama ilivyofanya na Gazeti hili la Klabu ya Yanga katika Toleo lake la leo.

Je, Simba SC nayo tarehe 8 May, 2021 ikimfunga Yanga SC Kesho Gazeti la Simba SC likija na Kichwa cha Habari kama hiki...' YANGA YAKOJOLESHWA NA SIMBA ' au ' YANGA YAUKUBALI MUHOGO WA SIMBA ' au ' YANGA HUBEBA UPESI MIMBA YA SIMBA ' itakuwa ni sawa hasa hasa kwa Afya ya Tasnia nzima ya Habari nchini Tanzania?
 
Eboo!!
 
Mkuu usipindishe pindishe huo muhogo tarehe nane ni haki ya YANGA sasa hivi watulize mshono, kama uliona walivyobebwa jana bila aibu basi elewa hata kama watatoa mipesa yao lakini wataubeba tu
 
Tujadili zaidi hiyo Lugha kama ni ya Kistaha katika Tasnia ya Habari na kama pia iko Kimaadili zaidi.

Kuhusu Mechi za Watani wa Jadi ( Derby ) za Simba na Yanga huwa sipendi Kujiamini 100%.

Na sikushauri uwe na Kiburi hiki Kikubwa cha Kujiamini kwa hizi Mechi huwa hazitabiriki kabisa.

Simba SC yetu ( yangu ) kuwa nzuri na Kufanya vyema siyo Kigezo cha Kuwafunga Yanga SC unayoidharau.

Kikubwa tu tuiombee Simba SC yetu Siku hiyo icheze vyema, Kitimu na iwafunge Yanga SC Kimpira.

Pamoja na Matatizo yao yote Yanga SC inapokuja 'Derby' hawajawahi kuwa wepesi Kufungwa na Simba SC.
 
Hao Yanga kwani walishawafungisha ndoa Simba na Prison?
Kwani Yanga mume wao ni nani?
Huyo mwandishi ni Kanjanja kabisa tena aibu kwa timu na gazeti lao
 
Huu uhuni wa vyura aliuanzishaga mwendazake alipotuhadaa siku Kagera Sugar walipotuotea...

Haina shida maadam wamelianzisha, sisi tutajibu....

Kama Prisons ni mme wa mnyama, na Utopolo ni mke wa mnyama.... sioni kama kuna tatizo lolote.... maana mke mwema ashajulikana...
 
Kichwa cha Habari ni hiki....

YANGA YAMBAKA MUME WA SIMBA

Najua Simba na Yanga ni Watani wa Jadi ila sidhani kama katika Tasnia ya Habari Lugha hii ya 'Kihuni' na 'Udhalilishaji' inakubalika.

Na kama GENTAMYCINE nitajibiwa kuwa ni Lugha njema tu hiyo basi nitaiomba Wizara husika na MCT wayaruhusu na Magazeti ya Kawaida pia kuanza kutumia Lugha hizi hizi za 'Kihuni' ili twende sawa.

Nategemea kuona Tamko Kali kutoka Wizarani ( japo najua Waziri Bashungwa ) ni mwana Yanga SC lia lia na pia kutoka kwa Baraza la Habari Tanzania ( MCT )

Mkilunyamazia hili Gazeti la Yanga na huu Uandishi wao wa Kipuuzi, Uchokozi na Uchochezi kwa Aina ya hiki Kichwa chao cha Habari ' YANGA YAMBAKA MUME WA SIMBA ' basi na Simba SC nao wakijibu Mapigo muwe Wavumilivu na msinune kwani kama ni maneno ya Shombo tu Simba SC yapo sana tu na huenda hata Yanga SC wakajuta kwa kuianzisha Vita hii ya Maneno makali ya Vichwa vya Habari Magazetini ( hasa katika Magazeti haya ya Michezo ) yanayomilikiwa na hivi Vilabu vikubwa nchini Tanzania.

Ni kweli Yanga SC imemfunga mbabe wa Simba SC ambaye ni Prisons FC lakini na Simba SC nao wameshamfunga sana tu mbabe wa Yanga SC Timu ya Coastal Union ya Tanga ( ns hata Azam FC na Kagera Sugar FC kwa nyakati tofauti ) ila sijawahi kuona Gazeti la Simba SC likija na Vichwa vya Habari vya 'Kihuni' kama ilivyofanya na Gazeti hili la Klabu ya Yanga katika Toleo lake la leo.

Je, Simba SC nayo tarehe 8 May, 2021 ikimfunga Yanga SC Kesho Gazeti la Simba SC likija na Kichwa cha Habari kama hiki...' YANGA YAKOJOLESHWA NA SIMBA ' au ' YANGA YAUKUBALI MUHOGO WA SIMBA ' au ' YANGA HUBEBA UPESI MIMBA YA SIMBA ' itakuwa ni sawa hasa hasa kwa Afya ya Tasnia nzima ya Habari nchini Tanzania?
Udhalilishaji uliokithiri kwa wanawake hivi kubeba mimba ni kudhalilika mkuu Genta?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom