Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Huyo atakua na michepuko hasa kwenye boda ili wapate mteremkoYes ila ni ukanda huu huu wa Africa masharika na kati.
Huyo atakua na michepuko hasa kwenye boda ili wapate mteremkoYes ila ni ukanda huu huu wa Africa masharika na kati.
Ni tamaa tu ndugu yangu, ukiwa ngangali huwezi kukosa shughuli ya kufanya. Kama wewe ni wa 100 na unataka matumizi ya 1000 lazima utatafuta njia mbadala.Kama wanapatikana kibwege hivyo alikua anasubili nini mpaka kawezeshwa?
Kama una mume shukulu mume mwenye nafasi hapatikani hovyo angalia warembo wanavyo jiuza
Ha ha haaNdio.
Na ile mimba ameshajifungua? Au nayo unamsusia mchepuko wake?Hapo ndio nimeshajipiga chini mkuu sirudi nyuma sijui kwa ile biashara kama ataweza kulipa kodi ya nyumba ikiisha.
Haingii kama mwanzo mkuu au huoni kama kajifunza?Hii option yako akifikiria investment mpya lazima kichwa kiume. Kodi nyingine, mtaji wa duka, furniture, halafu nauli tena ya kutoka Dodoma ha ha ha haaaaaaaa. Halafu sasa itabidi aongeze motisha wa ka Vitz! kazi kweli kweli mimi namshauri asitafute replacement mpaka Magufuli amalize muda wake! Mimi nimefanya hivyo bila shuruti!
Hiyo ni kwa mwanamke kwa sisi ni nyama ikisimama tu sio mambo ya kurdhishana ndo mana wazee wetu walikua na msululu wa wakeUjue Mpaka mtu achepuke kuna kitu anatafta cha kumridhisha mana kero za ndoa zisiporekebishwa shida mchepuko unajua Ku peti peti mno wote mnajiachia tu kwa raha bila stress
Na huo mchepuko umheshimu mdhamini wake jamaniPole sana kaka muheshimu mkeo
Dunia imeharibika sana ktk kila sekta na yote ni matunda ya utandawazi.Na hakuna dini inayoruhusu kuangalia hizo filamu za ngono.
Huko yeye anaitwa danga, mchepuko ana baby wake.Na huo mchepuko umheshimu mdhamini wake jamani
Aache kumsumbua sasa ndo kesha kata kambaHuko yeye anaitwa danga, mchepuko ana baby wake.
Unajuaje..labda amemlipia nauli na sh 600 ya bus?Ha ha haa
Msikie mwenyewe mkewe hata wiki hamalizi kwa safar na yeye ndo kawezesha
Dah ila kwingine kujiendekeza tu sasa mumezidi mno yani mkiona makalio tu shidaHiyo ni kwa mwanamke kwa sisi ni nyama ikisimama tu sio mambo ya kurdhishana ndo mana wazee wetu walikua na msululu wa wake
YAANI UNAMFUNGULIA BIASHARA MCHEPUKO? UJINGA GANI HUO. MCHEPUKO KUPEWA HELA YA FAMILIA NI NUKSI NA LAANA. ACHA UJINGA HUO. WEWE KU HIT AND RUN!!Habari za wakati huu wana MMU,
Juma mosi ya juzi nilivyotoka kazini nikawa sina mahali pakwenda kupumzika kama mnavyojua hiyo siku huwa tunafanya kazi nusu siku .
Mke wangu kipenzi alikuwa amesafiri so nikaona niende kwa mchepuko wangu bila kutoa taarifa kwake. Nilivyofika mlangoni nikaona kuna sandals za kiume sikuwa na shaka ila radio ilifunguliwa kwa sauti ya juu sana.
Niligonga mlango wala sikupata majibu yoyote ikabidi nimpigie simu lakini haikupokelewa.Ikabidi nisepe ila roho ilikuwa inaniuma sana.
Baada ya dakika tano wala sikuwa nimefika mbali akanibip nikampigia.Akasema nipo kwenye gari simu ilivyoita sikuisikia, Nikamuuliza nyumbani kuna mtu akasema nyumba ameifunga so hakuna mtu. Nikasikia hasira sana yaani amenifanya mimi boya.
Ikabidi nigeuze nirudi mpaka pale kwake ili nihakikishe kama kweli hakuna mtu au niliangalia vibaya.Bahati nzuri pale nilimfungulia biashara ya kuuza duka na duka lilikuwa wazi nikaenda dukani nikajifanya nahitaji kununua bidhaa pale mara akatoka yeye alivyoniona alipata mshtuko mpaka akawa ameganda tu pale hata hajanisemesha mbaya zaidi alikuwa amevaa upande tu wa kanga.
Nikamuuliza umerudi saa ngapi hakujibu nikamwaambia endelea na maisha yako mama siwezi kupigana mimi.
Jana jumapili ilipita kimya hakunisumbua wala nini ila leo nashangaa ghafla nakuta msg ya kuomba msamaha na maelezo kibao wala sijamjibu mpaka sasa na nilishatia nia ya kumuacha moja kwa moja kwa sababu sina nguvu za kupigania papuchi.
Kwa wale wazoefu hivi roho inapouma kwa mchepuko wako kuchepuka katika nyumba unayolipia kodi ni dalili ya wivu au ni kujihisi umefanywa mjinga?
Ha ha ha hukusoma jibu lake anasafir kikazi na huo mtaji kamuwezesha yeyeUnajuaje..labda amemlipia nauli na sh 600 ya bus?
Huyu ni mwengine mkuu yule hata kuhudumia sihudumii halafu amejifungua juma nne ya wiki iliyopita.Kule nilikuwa sina hesabu nako kabisa ila kwa alivyonitenda huyu itabidi nirudi kule nikalee mtoto wangu.Amenipigia simu nikamuangalie mtoto wala sijaenda kwa sababu nahofia sana usalama wa ndoa yangu yule ni king'ang'anizi sana.Na ile mimba ameshajifungua? Au nayo unamsusia mchepuko wake?
Ndo maumbile Diva haya sio ya leo tatizo hiki kizazi chenu ndo kinakosa heshima kwa vidume ndomana ywajificha ha haaaDah ila kwingine kujiendekeza tu sasa mumezidi mno yani mkiona makalio tu shida
Rudi nyuma utaona nimeanzaje na huyo niliemjibu hivoKwani yeye kakataa kulizwa mwenzio ndo anasumbua sasa hivi au hujamuelewa hapo atakae umia ni mchepuko ilitakiwa mumponde huyo mdada mana alihifadhiwa kimaisha au unapenda aende kujipanga na yeye?
Ndio mtaji kampa. Ila nauli sh 600.Ha ha ha hukusoma jibu lake anasafir kikazi na huo mtaji kamuwezesha yeye
Nyuma kuna gundi sirudi nakupongeza tuRudi nyuma utaona nimeanzaje na huyo niliemjibu hivo
Uko poa lakini wewe?