Ni kweli kabisa mkuu pia na magonjwa mnawasaidia kuyabeba na kuwaletea wake zenu.Tukitulia wake zetu wasiolewa fulsa watazipataje?huyo kafanyiwa kilakitu na maisha yanaenda wataka uongeze ugumu kwa wenzio wewe sio bure
Ukumbuke huyu mwanamke anaendesha maisha yake kupitia jamaa subili baada myezi kazaaa kama hujamkuta mchepuko unauza nyamaNi kweli mkuu, hawa wawili wote ni wezi, inabidi wawe wadogo kwa muda. Wayamalize kiutu uzima
Ndo kishatemwa sasa nani ataumuia zaidi kwa mtazmo wako?Kiendacho kwa mgema.....Mchepuko ni starehe kama unavyokwenda bar, kesho unaweza kuuliza kwanini kiti chako bar kuna mtu amekalia? Matatizo wengine mnajisahau mnafikiri mmeoa😛😛
Kweli kabisa Mkuu na hivi nilikuwa nina hisi pale sikuwa peke yangu though alikuwa ananishangaa wakati nikivaa kinga anajisemesha kuwa eti simuamini.Ila nilikuwa namtoa shaka tu kuwa hata mimi mwenyewe sijiamini so asiwe na hofu kinga ni kwa usalama wetu wote.Hata ukipata usalama wa damu yake, ile wiki wewe uko na my wife wako yeye hujui yuko na nani.
Anaweza kupata wa kufunga nae ndoa, kheri kuliko janaba la mume wa mtu.Ndo kishatemwa sasa nani ataumuia zaidi kwa mtazmo wako?
Ukiwa na pesa jambo dogo sana hili mkuu acha tu wenzio wale maishaWatu "mnakolezwa"!!...Yaani haikutosha kuchepuka nae tu na nyumba kumpangia,ukaona umfungulie na duka kabisa??.
Hivi huwa mnaingiza "mwili wote" ama kitu gani hasa?.
Hajui utam wa ngoma huyo na pia hajui kazi ya pesa ha ha haaaMkuu hii ni kama unasaidia huku nawe unapata kugegeda as long as ukitaka kula lazima na wewe uliwe.
Kwa hiyo umeona mkewe ananjaa ya kukaa dukani?Wanaume bana wakati mwingine sijui mmerogwa.
Hilo duka ungemfungulia mkeo si ingechangia hata nguo za watoto???
Musi kariri mkiwe ndo mmiliki wa alichonacho iweje akose duka kama atataka?Kuna watu wananyota, mkewe anamiliki pete ya ndoa wengine wanamiliki maduka.
Hapo ndio nimeshajipiga chini mkuu sirudi nyuma sijui kwa ile biashara kama ataweza kulipa kodi ya nyumba ikiisha.
Napiga chini natafuta nyama nyingineHahahaa muosha huoshwa.. Mvumilie tu maana hata yeye anakuvumulia ukiwa na mkeo.. Atakuwa yuko katika harakati za kutafuta mume coz hawezi kuwa mchepuko milele
Kumbuka kila alicho nacho huyo mchepuko ni cha jamaaCha kushangaza na yeye humdaganya mkewe ila kwa mchepuko anaumia solution wabaki njia kuu muosha huoshwa.
Kula maisha unazani asingemuezesha apo angekua na mabwana wangapi labdaKuna mzee Mmoja wa kanisa kaja kumpangia mchepuko wake sehemu nilipopanga...... mzee anakuja mara moja moja sana.. basi mm namgegeda kama mke wngu vile....... usiku nalala naye sina wasiwasi kabisa....... Maisha raha sana sana..... Mungu nijaalie niwe kijana
daima....
Ukishauri mtu ukumbuke na maisha hayafanani piaWhat ever you are doing in this world comes around. Huo ni uzinzi na hapo mnashare magonjwa kati yenu watatu kwa raha na furaha. Hivi kijana kama wewe kwanini usiwe na girl friend ambae mnaendana ki umri, ki mawazo, hata kwa malengo. Sasa huo mchepuko mnaongea nini au ni kugegedana tu? Akija huyo mzee si unaona wivu sasa ya nini yote hayo kijana mdogo?
Mwanaume 1 wanawake wengi hata mkichukia ndo iko hivyo hata kabla ya vitabuWanaume ni selfish sana, akiwa na mkewe hafirii huyu mchepuko amejikunja mwenyewe kitandani.
Wenye ndoa roho zinawauma ha ha kuweni wapole bhanaaa ndo maumbileYani waendelee kukomeshwa hivohivo na hiyo michepuko yao
Hayo mengine sio lazima kujibu yawezakanaje kwako iwe njaa hafu uwekeze nnje?Mkuu ushauri wako ni mzuri sana ila ninachoshukuru ni kuwa katika familia nilishawekeza vya kutosha yaani mke wangu ana miradi mikubwa tu hivyo hiyo jumamosi alisafiri katika biashara kwa wale wafuatiliaji wa zao la mpunga sasa hv ifakar ni kipindi cha kuvuna mpunga hivyo mke wangu yupo huko ameenda kusimamia uvunaji wa shamba lake so sidhani hata kama nikifa leo ghafla kama watatetereka kimaisha na huyu mchepuko duka lake hata milioni tano haifiki kwa huo mtaji wake ndio niaamini kama huyo mwizi wangu hajiwezi hatoweza kulipa kodi ya pale anapoishi nilimfungulia ile biashara ili aweze kununu vocha, nguo na vipodozi tu asiwe na virungu visivyo na tija.
Hayo ni maumbile tulia kabsaa kabla ya vitabu watu walikua na wake zaidi ya 10 walikua hawaridhiki?Kwani mkeo hakuridhishi mpaka uwangaike na hawara?jamani nyie wanaume kha mungu saidia
1. Katika dunia ya hesabu y*x jibu litakua moja hata kama njia ni tofautiUkishauri mtu ukumbuke na maisha hayafanani pia