Wito kwa Watanzania: Achananeni ya kebehi na kiburi cha CCM na Kihongosi wao. Nguvu zetu tuwekeze ICC. Siku si nyingi wataanza kutoa milio

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Wito kwa Watanzania.

Achaneni na huyu mpuuzi Kenan Kihongosi anayewakilisha kiburi cha Taasisi anayotoka ( ccm) na kebehi za chama chao kwa Watanganyika baada ya kutuua na kumwaga damu zetu kikatili sana.

Achaneni na Waigizaji wote na CCM na madalali wao ambao muda huu wanalipwa kuleta maigizo ya maridhiano ya mchongo ili kuidanganya Jumuiya ya Kimataifa.

Focus yetu Watanzania kwa sasa inapaswa kuwa kwenye hizi kesi ambazo Mungu ametupa kama zawadi baada ya hawa wauaji kuwaua ndugu zetu na kumwaga damu zao kama kuku.

Wenye mapenzi ya kweli kwa Watanganyika wanapambana sasa ICC ili watu waliomwaga damu zetu waweze kuwajibishwa kweli na wajifunze na kukoma kutuona Watanganyika kama mapoyoyo na wanyama wasio na thamani.

Wito wangu kwa Watanzania. Achaneni na huyo Kenan Kihongosi, achaneni na hawa ccm na kiburi chao. Dawa yao ipo sehemu moja tu nayo ni ICC. Ni ICC tu ndo inaenda kutengeneza mustakabali mpya wa Taifa letu hili baada ya CCM kujaa kiburi kilichotukuka.

Achaneni na hawa wajinga CCM. Tujikite kukusanya ushahidi wetu vizuri maana kuna watu wamejitolea vizuri kuhakikisha hawa wenye kiburi wanashughulikiwa ipasavyo na ICC. Siku si nyingi ICC inaenda kuwafurahisha vizuri hawa wapumbavu na wataanza kuelewa nini thamani yetu sisi Watanzania.
 
ICC hawaendi kama unavyoenda feri kununua samaki wa mboga ya usiku nyumbani kwako.

Yapo mengi ya kisheria inabidi yafanyike, uwepo wa tume ya Chande kwa akili za kawaida unaweza kuonekana ujinga lakini inawapa kinga kisheria viongozi wa juu haswa Rais SSH.
 
Stay tuned

Unadhani wazungu ni washenzi kama nyie kwamba hawajui maigizo yenu na kinachoendelea?

Matokeo ya Tume ya Chande yanajulikana kitambo sana na wala haliwasumbui.

Muuaji anajulikana ni nani maana alishasema wazi mbele ya camera kuwa nguvu iliyotumika kuua maelfu ya watu ilikuwa sahihi.
 
Huwezi kushindana na serikali utaishia kuumia tu na kujiliza kwa wazungu.

Mfanye fujo mchome mali za watu na kukata vidole vya watu halafu mkichezea vichapo muanze kujiliza kwa wazungu.

Mkuu hao wazungu wana mlima wa shida na matatizo.

Ulaya imejaa presha za wageni, USA wanahangaika na ICE kila mtu anahangaika na yanayomhusu.

Hakuna mtu mwenye muda wa kuhangaika na ujinga wa maandamano, ambayo ni machafuko ya kujitakia.
 
Mbona masanduku ya kura yaliopigwa moto huyataji , Mtawala ashafika Uganda kwenye uapisho wa kakayake,inawezekana mgeni akawa pekezake wacha tuone, lishakuwa gunia la misumali.
 
Wito kwa Watanzania.

Achaneni na huyu mpuuzi Kenan Kihongosi anayewakilisha kiburi cha Taasisi anayotoka ( ccm) na kebehi za chama chao kwa Watanganyika baada ya kutuua na kumwaga damu zetu kikatili sana.

Achaneni na Waigizaji wote na CCM na madalali wao ambao muda huu wanalipwa kuleta maigizo ya maridhiano ya mchongo ili kuidanganya Jumuiya ya Kimataifa.

Focus yetu Watanzania kwa sasa inapaswa kuwa kwenye hizi kesi ambazo Mungu ametupa kama zawadi baada ya hawa wauaji kuwaua ndugu zetu na kumwaga damu zao kama kuku.

Wenye mapenzi ya kweli kwa Watanganyika wanapambana sasa ICC ili watu waliomwaga damu zetu waweze kuwajibishwa kweli na wajifunze na kukoma kutuona Watanganyika kama mapoyoyo na wanyama wasio na thamani.

Wito wangu kwa Watanzania. Achaneni na huyo Kenan Kihongosi, achaneni na hawa ccm na kiburi chao. Dawa yao ipo sehemu moja tu nayo ni ICC. Ni ICC tu ndo inaenda kutengeneza mustakabali mpya wa Taifa letu hili baada ya CCM kujaa kiburi kilichotukuka.

Achaneni na hawa wajinga CCM. Tujikite kukusanya ushahidi wetu vizuri maana kuna watu wamejitolea vizuri kuhakikisha hawa wenye kiburi wanashughulikiwa ipasavyo na ICC. Siku si nyingi ICC inaenda kuwafurahisha vizuri hawa wapumbavu na wataanza kuelewa nini thamani yetu sisi Watanzania.
Unakoelekea utachanganyikiwa wewe
 
Stay tuned

Unadhani wazungu ni washenzi kama nyie kwamba hawajui maigizo yenu na kinachoendelea?

Matokeo ya Tume ya Chande yanajulikana kitambo sana na wala haliwasumbui.

Muuaji anajulikana ni nani maana alishasema wazi mbele ya camera kuwa nguvu iliyotumika kuua maelfu ya watu ilikuwa sahihi.
Mwenzako alikuwa alikuwa akimalizia "Mungu Wabariki Wazungu "
 
Mbona masanduku ya kura yaliopigwa moto huyataji , Mtawala ashafika Uganda kwenye uapisho wa kakayake,inawezekana mgeni akawa pekezake wacha tuone, lishakuwa gunia la misumali.
Mnaangalia mchakato ulivyokuwa bila kuangalia mengi sana anayoyafanya SSH. Hana sababu ya kuiba kura tatizo mnapofanya kazi kwa niaba ya wenye nia mbaya ya Tanzania hamuwezi kuyaona anayoyafanya.
 
Wito kwa Watanzania.

Achaneni na huyu mpuuzi Kenan Kihongosi anayewakilisha kiburi cha Taasisi anayotoka ( ccm) na kebehi za chama chao kwa Watanganyika baada ya kutuua na kumwaga damu zetu kikatili sana.

Achaneni na Waigizaji wote na CCM na madalali wao ambao muda huu wanalipwa kuleta maigizo ya maridhiano ya mchongo ili kuidanganya Jumuiya ya Kimataifa.

Focus yetu Watanzania kwa sasa inapaswa kuwa kwenye hizi kesi ambazo Mungu ametupa kama zawadi baada ya hawa wauaji kuwaua ndugu zetu na kumwaga damu zao kama kuku.

Wenye mapenzi ya kweli kwa Watanganyika wanapambana sasa ICC ili watu waliomwaga damu zetu waweze kuwajibishwa kweli na wajifunze na kukoma kutuona Watanganyika kama mapoyoyo na wanyama wasio na thamani.

Wito wangu kwa Watanzania. Achaneni na huyo Kenan Kihongosi, achaneni na hawa ccm na kiburi chao. Dawa yao ipo sehemu moja tu nayo ni ICC. Ni ICC tu ndo inaenda kutengeneza mustakabali mpya wa Taifa letu hili baada ya CCM kujaa kiburi kilichotukuka.

Achaneni na hawa wajinga CCM. Tujikite kukusanya ushahidi wetu vizuri maana kuna watu wamejitolea vizuri kuhakikisha hawa wenye kiburi wanashughulikiwa ipasavyo na ICC. Siku si nyingi ICC inaenda kuwafurahisha vizuri hawa wapumbavu na wataanza kuelewa nini thamani yetu sisi Watanzania.
Mzee wa ICC😀
 
😂😂😂😂
Mkuu
Since 2020 jamani
Unapambana tu na ICC.

Happy new year Mkuu
Nilipambana na ICC 2020 kwenye nini?

Kuna lipi lilitokea 2020 kuweza kuwafanya ICC kuwashtaki na kuwafunga wangu?

Utakuwa umekosea mafaili. ICC ni Mahakama ya Makosa ya Jinai ya Kimataifa kama Uhalifu dhidi wa Binadamu ambao umefanyika vizuri sana hapa Tanzania Oktoba 2025.
 
Tangu enzi za Jiwe
Ulikuwa bega kwa bega na Hizi kesi akashtakiwe
 
Back
Top Bottom