Wito kwa wana CHADEMA wote!

Watu msikirupuke na kulaumu CHADEMA kutokufanya uchaguzi mapema,Issue iko hivi CCM wameweka mamluki wakutosha CDM so vetting ya kutosha lazima ifanyike in advance kabla ya uchaguzi ili tusiwechague viongozi Mamluki.

We unadhani kina Wassira and co plus buku saba fc wanaosema chadema itasambaratika hawana strategy? Chama makini lazima tujiridhishe kwamba wanaochaguliwa ni viongozi makini na hawaongeki ili ukombozi wa pili wa mtanzania utimie.

This is just food for thought.
 

Mkuu,
uko sahihi, aliyeleta uzi kaanikwa kweupe. Kulikuwa na uzi mwingine wa kuzugisha watu kuwa amekamatwa na polisi..kwa maana ya aliibiwa computer na mtu akapost hii kitu.
 
king kan
===>Na hili ndio tatizo kubwa la wana CDM,nimeshangaa kuona huu uzi uliopostiwa na Maskini Mkulima kumbe ulianza tangu tar 19/10 ila leo umeleta mbalaa baada ya mtumaji kuonekana root ya computer aliyoitumia ambayo imeonyesha jina la mtu alietuma uzi huu
===>Bado nawashauri tena na tena inaonekana suala hili lipo na linachemka,na lina mtandao mpana sana,CDM msiruhusu bundi aingie ndani ya chama chenu,litafutieni ufumbuzi haraka sana tena kwa uwazi mkubwa sana.
 
Last edited by a moderator:
nimeaona samson mwigamba amekamatwa sijui na nan bandiko liko jukwaa la habar mchanganyiko au ndio kuua so
 
Huyu Mamluki anayejiita Maskini Mkulima amenaswa leo mtasikia habari zake kesho, Watu wanahatarisha maisha yao kwa kutaka kuleta mabadiliko halafu wahuni wachache wanasaliti dhamira njema.. Tutapambana hadi tone la damu la mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Huyu Mamluki anayejiita Maskini Mkulima amenaswa leo mtasikia habari zake kesho, Watu wanahatarisha maisha yao kwa kutaka kuleta mabadiliko halafu wahuni wachache wanasaliti dhamira njema.. Tutapambana hadi tone la damu la mwisho.

Mkuu,

Jamaa walishastuka wanachokifanya. Kuna uzi ulianzishwa kuwa mleta uzi amekamatwa na polisi jioni hii. Uko huko hoja mchanganyiko. Nashangaa kwa nini mods waliutupa huko. Lakini pia original post imefutwa kwa kuanzisha nyingine iliyo-editiwa. Sijajua mods wana maana gani hapa.
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi ama mwanachama yeyote Makini wa Chadema hawezi hata siku moja kuzungumza lugha ya ki ccm.
Sote ni mashahidi hapa kwamba ccm ndio wamekuwa wakipiga propaganda A kutaka Mbowe na Dkt. Slaa wasiendwlee kuiongoza Chadema na ukifuatilia unagundua kwamba hao ndio viongozi walioifanyw Chadema iwe hapo ilipo Leo,ndio wameifanya Chadema iwe kipenzi cha watanzania wengi,ndio wameifanya Chadema iwe tumaini la watanzania.

Kutokana na ushindani na tishoo la kung'olewa madarakani kwa ccm na Chadema,wanapropaganda wa ccm wamedhani kuwa kushawishi wanachadema wasiojitambua inaweza kuwasaidia kukiepuka kitanzi cha kuondolewa madarakani iwapo Mbowe na Dkt. Slaa watang'oka madarakani.

Wanachadema ningependa kuwatahadharisha muwe macho na makamanda feki,wengine ni magamba pure lakini wanaandika hapa wakijiita wanachadema ili kuwalaghai.

Mimi binafsi ninaendelea kuwaunga mkono viongozi wote wakuu wa chama waliopo sasahivi na kama wakiomba ridhaa ya kutaka kuendelea kuomgoza chama nitawaunga mkono kuanzia kwa mwenyekiti,makamu m/kiti,katibu mkuu na manaibu k/mkuu.
 
Huyu Mburula eti anasema hajui fedha inatumikaje wakati chama kimeenea nchi zima na tutalaunch chadema digital muda si mrefu.. Mwigamba ni mtu mpuuzi sana..
 
m.maranya kumbe watatawala milele kwa sababu wameitoa mbali hakuna tofaut ya sharifu na slaa mrema na mbowe.au cheyo na mbowe kumbe chadema sio mbadala tena kama hoja ni kuitoa mbali basi nyerere angekufa akiwa rais au mtei angebaki kuwa mwenyekiti.
 
Uongozi wa Dr. Slaa na Mbowe umekuwa Mwiba kwa CCM, hivyo wangependa wasiendelee kuongoza chama hiki, wanawatumia watu dhaifu kama akina mwigamba kuihujumu chadema.. Watanzania wanajua kazi nzuri inayofanywa na CHADEMA chini ya uongozi wa Dr. Slaa na Mbowe hatuwezi kukubali wahuni wachache waharibu kazi nzuri ya miaka mingi kutoka kwa waasisi wetu na viongozi wetu wakuu.. Mbowe ataendelea kuongoza hiki chama asiyetaka aende CCM.
 
m.maranya kumbe watatawala milele kwa sababu wameitoa mbali hakuna tofaut ya sharifu na slaa mrema na mbowe.au cheyo na mbowe kumbe chadema sio mbadala tena kama hoja ni kuitoa mbali basi nyerere angekufa akiwa rais au mtei angebaki kuwa mwenyekiti.

Nyie Masalia Mbowe na Slaa wataendelea kuongoza kwasababu hawajavunja sheria yoyote wala katiba ya Chadema uchaguzi utafanyika na Mbowe atashinda kwa Kishindo kikuu!
 
nilidhani kuna mambo ya maana umepost kumbe ujinga mtupu.acha kutumika kama ndomu kijana.cdm haiwezi kujengwa na magamba itajengwa na sisi wazalendo wa nchi kwa gharama zetu.kwa haraka tu nimekuona unahitaji ukombozi wa fikra.pole sana coz sio tatizo lako ila ni mfumo mbovu wa maisha uliokulia.
 
m.maranya kumbe watatawala milele kwa sababu wameitoa mbali hakuna tofaut ya sharifu na slaa mrema na mbowe.au cheyo na mbowe kumbe chadema sio mbadala tena kama hoja ni kuitoa mbali basi nyerere angekufa akiwa rais au mtei angebaki kuwa mwenyekiti.

Unatapatapa tu wewe mbulura huna jipya.kwa namna hiyo ndo mnadanganyana hapo lumumba kwamba mnaua cdm? shame on yu
 
Tumekupata Samson Mwigamba, you are that naive..
 
Tumekupata Samson Mwigamba, you are that naive..
 
Huyu ndiye mwandishi wa makala hii kama ID yake ya Computer aliyoitumia ilivyoonekama!!!


Itaendelea juma lijalo…..

Aisee kweli ni vigumu kuwadanganya watu muda wote.
 
Aisee kweli ni vigumu kuwadanganya watu muda wote.

DOes the ID of this member change anything to his content? Kwangu mimi ni eye opener maana huyu mtu anajua anacho kiongelea, tokana na nafasi yake ndani ya Chadema. angekkua kaongea mtu mngine ningebisha. Na kuonesha kua aliyo sema yanaweza kua kweli amesimamishwa kazi baada ya kupigwa mangumi!
 
Yenye ukweli yafanyiwe kazi kumsimamisha pekee haisaidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…