Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,097
Katiba ya CDM haina ukomo unaweza kuwa Mwenyekiti hadi kufa kikubwa uwe mchaga na ukioa Ule ukoo wa mabasi Yale ya Mtei aswaaa utakaa milele!
Ukitokea kigoma, mtwara au Singida hapa kwetu ndio usahau kabisa!
Hii ndio demokrasia ndani ya chama cha demokrasia
Mbowe siyo kwamba amisaidia cdm tu, bali amechange sura nzima ya how politics is done in TZ, including ccm, bunge etc.
Acha kupiga kelele zako hapa, upinzani siyo lelemama, ukishindwa jiunge chama cha magamba.
Wannabe be wa Chadema wana matatizo kweli.
Tatizo la ajila limeharibu akili za vijana sasa wanadhani siasa ni ajila! Janga.
CDM uchaguzi bado, utafanyika tu mapema iwezekanavyo. Haitafika hadi 2029 watafanya tu. wafuasi wa CDM musiwe na haraka!
NO HURRY in Africa! Bado wanaimarisha chama vuteni Subra. Mwenyekiti ni mkwe wa mwenye chama anaweza kukaa hadi kufa wao ndio wenye chama!
Halafu ndani ya CDM hutakiwi kuuliza maswali kwa viongozi wako ni dhambi kubwa! Maamuzi ya chama ndani ya chadema hayaulizwi! Jambo lolote linalomuhusu Mbowe na Slaa marufuku kuhoji maana hawa ni untouchable! Zitto unaweza hoji na kuungwa mkono na pande zote!
Hiyo ndio demokrasia ndani ya chama cha demokrasia
ErythrocyteAcapela ya ruzuku imekwama , ya uswis mmekiona cha moto , maana majina halali mmewekewa humuhumu , sasa mmekuja na upuuzi mwingine , eti ushauri ! Tangu lini wahalifu wakawapa ushauri watu wema ?
"nilibahatika kushika nafasi mbalimbali ndani ya chadema"ina mana sasa hivi hupo ndani ya chadema upo wapi?kilichokutoa chadema ni kitu gani?lumumba boy kalale.
Hata za ccm hapa tabora mjini nyingine hazifanyi kazi maamuzi yetu ni kujaribu na ofisi nyingine hapa tanzania.....kwanini tuendelee kuwa conservatives.
Makanjanja wa siasa utawajua tu. Mnajiita wanaChadema huku mnaihubiri ccm! Bahati nzuri tunazidi kuwabaini makamanda feki!
Nape haitambui ile ziara ya kwenda kufanya uzinzi Marekani na Uingereza, pesa ya safari irudishwe haraka maana ni ruzuku inayotokana na kodi zetu.
mbowe ni kiongozi wa maisha chadema,,amesaidia sana kuimarisha chama bado hatujaona wa kumpa chama na anaemkosoa mbowe na slaa ni msaliti sababu awa ni malaika..