The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
Meko/Jiwe sucks
Mambo ya siwe mengi ila sikubaliani na Nia yako ya kumfollow huyo beberu.Aliesema mzungu ni mungu wa pili hapa Duniani ni nani? Kuna mahala umeona nimeandika hivyo? Wewe aliekwambia mimi naamini ni nani? Mungu ndio kitu gani?