WITO: Bi Sophia Simba Jiuzulu

Status
Not open for further replies.
Sasa imefika kipindi watu tutambue madaraka ndani ya CCM ni kwa ajili ya tabaka flani ndani CCM.....mlalahoi ukigombea hapo utapita kweli????Domo KRASIA ipo wapi hapo???
 
Mkuu Fairplayer,

Heshima mbele sana, ni kwamba wote wawili ni washikaji wangu wa karibu sana, ndio maana nimekaa pembeni, ingawa ukweli ni kwamba Mama Janeti amekuwa kwenye kampeni kwa muda mrefu sana na anakubalika na wengi kumrithi anayeondoka,

Lakini Waziri Sophia, ameamua kutumia karata ya power na ukaribu na muungwana, maana huyu ni one of the most trusted soldier wa muungwana, kwa sababu at one time alikuwa mshikaji wa karibu sana na Mama Kilango, ndiye aliyewasiaidia sana Mtandao kumzidi kete Malecela, kwenye ule uchaguzi kwani aliwapa data zote kuwa jina la Malecela likiingia ndani ya NEC, they are done, kwa hiyo wakamzunguka kwa mstaafu wa uwt aliyekuwa close sana na Malecela, na hatimaye wakamkaba koo masikini ya Mungu Mkapa, Mtandao wakapita,

Mama Janeti, anajua kuwa sasa hapo ana wakati mgumu sana kushinda, maan you bet muungwana, atamsaidia Sophia, by any means necessary, na atashinda case close!

Hapa naona Mama Janeti anajaribu kutafuta sympathy ya public maana anajua kuwa uchaguzi umeshaisha tayari na ame-lost!

aeiou hizi ndizo herufi kuu hata ukiamka usiku ndizo aeiou. Jamani mwimbo wa chekechea huyo re-fresh your mind and remember those golden days.

Tatizo la mkuu wetu anakumbatia sana viongozi wasio na uwezo ili mradi tu awe ni mtu wa domo kama yeye bila vitendo. Hata kwa kuangalia kwa macho bila kupitia CV na assurance ya utendaji wake basi inaonekana dhahiri kuwa Sophia Simba amebebwa ba hastahili kabisa kuwa katika cheo cha uwaziri katika sekta nyeti ya utawala Bora.

Du haya mambo ya kutaka viongozi kwa nguvu bila demokrasia ya kupiga kura yamechangia sana kutufikisha hapa tulipo. Yaani kila mkubwa ata influence uchaguzi au kuteua mtu ili mradi awe anatetea maslahi yake au kumlinda.

Anyway tusikate tamaa. Yana mwisho haya.
 
FM wenzenu kina nani wasiowaamini....

Chuma! Samahani ndugu yangu. Nilikuwa ninawatania wamisheni wenzangu. Wasiotuamini sisi ni wale wasio wamisheni na hata wamisheni wengine. Sikuona sababu ya kuingiza msalaba na hayo mengine humu. Kwa kusema kakimbilia msalabani kunaweza kuleta hisia kuwa palikuwa na bonge la msalaba mle ndani wakati pengine wanazungumzia msalaba wa kidani!

Hata hivyo naona huu uzee unanijia vibaya! Si nia yangu kubadilisha mwelekeo wa mada. Samahani wote.
 
Mkuu Kuhani,

Heshima yako mkuu, unajua Dr. slaa amenifundisha neno moja zito sana kuwa ukibishana na a pig aliyepakwa lipstick na wewe unakuwa kama lile li-pig ambalo hata likiogeshwa lipstick bado ni nguruwe tu!

Una a lot to do mpaka urudishe credibility tena hapa JF, maana wewe ni mzushi uliyemsingizia Dr.Masau kuwa anaua wananchi, kumbe ni ni uzushi ambao mpaka leo una bahati kuwa hajakufikisha kwenye sheria!, otherwise bado unanuka uzuzhsi mtupu! nasikia hata kutapika loh!

Halafu vipi kwenye picha na historia siku hizi mkuu mbona umepotea kama

Ahsante mkuu!
 
To me simba anafaa zaidi ya huyo mama kahama anayetafuta sympathy ya umma huku akijua ameanza dirty game longtime ili amrithi anna magret abdallah.

Acheni na morogoro nayo itoe mkiti walau wa uwt jamani
 
Is this a new qualification?
 
Philemon Mikael,Fundi Mchundo,Kuhani,FMES,...

..mbona Kikwete na Shibuda waliwahi kushikana mashati? pamoja na kwamba ilikuwa nje ya vikao.

..ile nidhamu ya Chama imeanza kupotea kwa kweli. naona sasa kila mtu anaropoka mitaani, kuanzia Msuya,Sumaye,Butiku,Warioba,Makamba,Nchimbi,...

..wakati wa Juliasi haikutokea wanachama wakatofautiana waziwazi tena kwa kuzungumza mitaani kama inavyotokea sasa hivi.

NB:

..jambo moja ambalo halijabadilika ndani ya Chama tangu enzi za Juliasi mpaka sasa ni suala la ngono. CCM wanatabia mbaya sana ya viongozi kunyanganyana wanawake.
 
Philemon Mikael,Fundi Mchundo,Kuhani,FMES,...

..ile nidhamu ya Chama imeanza kupotea kwa kweli. naona sasa kila mtu anaropoka mitaani, kuanzia Msuya,Sumaye,Butiku,Warioba,Makamba,Nchimbi,...

..wakati wa Juliasi haikutokea wanachama wakatofautiana waziwazi tena kwa kuzungumza mitaani kama inavyotokea sasa hivi.

Kila chenye mwanzo kina mwisho...tena hawa bado ni damu ya zamani; subiri nusu ya wabunge/seriakali na CCM itakapokuwa inaongozwa na kizazi cha Nchimbi, Nape na wenzao.
 
Hi ni treak ya washindani wa Aunt Sophy, kimsingi ktk wagombea wote yeye ndie aliyekuwa na nafasi ya kushinda nafasi kiulaini sasa ninashindwa kuelewa ni nani amemwingiza ktk trap hiyo? Yeye mwenyewe si mtu ushari kiasi ila ni lazima nikiri kuwa chaguzi za CCM ktk mikoa ya DAR -Morogoro mchezo huu ni wa kawaida sana ila kuna kitu behind hapa ambacho sisi hatujaonyeshwa na mlalamikaji na mlalamikiwa. Huenda PM anachosema kina ukweli ila ni vema tukajikita ktk kuichunguza hii hali vizuri maana akina Mamuya wako jiii nao wamechukua form pia.

Aunt Sophy , simama imara ktk hili maoni yako yahifadhi uyatumie ktk vikao halali vya chama na si magazetini maana kwa kuyaanika magazetini yalojiri kikaoni ni kukihujumu chama.

Steak ktk msimamo wako,
Tumia dada zako na kaka zako jipange uishinde vita hii ambayo tayari ishaonyesha adui zako wako tayari kukuangamiza kwa silaha yoyote ile.

???????!!!!????
 
To me simba anafaa zaidi ya huyo mama kahama anayetafuta sympathy ya umma huku akijua ameanza dirty game longtime ili amrithi anna magret abdallah.

Unajua mambo mengine bongo ni kulazimisha tu, lakini ukweli ni kwamba UWT watafanya nini ambacho CCM wameshindwa kukifanya kwa taifa letu? Hii nafasi zamani ilikuwa ya bure na hakuna aliyekosa usingizi nayo, mpaka Mama Anna Abadallah, alipoigeuza kuwa ni ya pamoja na ubunge kwa kumtumia rafiki yake na wa kusini mwenziwe Mkapa, sasa nafasi imekuwa nafasi,

What is at play hapa as I know ni:-

1. Hii nafasi Mama Anna Abdallah alipo igombea huko nyuma, aliipata kwa sababu ya kuwa na backing ya Mkapa, na pia kuwa the most senior katika wabunge wanawake.

2. Mara baada ya Mama Anna Abdallah kupewa hiyo nafasi, wakati huo Mama Kilango na Sophia wakiwa mashoga sana kwa pamoja, waliamua kugombea NEC kupitia UWT, kwa makusudi mazima Mama Anna Abdallah akawakata majina kwenye kikao cha CC ya UWT bila maelezo.

3. Sophia alipogombea ubunge wa viti maalum UWT, ni Mama Janeti akishirikiana na Mama Kilango, ndio waliompiga chini, alipojaribu kila njia kuwa mbunge wa kupitia viti vingine bado akapigwa vita sana na hao hao kina Janeti akashindwa, ndipo ikaja turufu ya muungwana ya ubunge wa bure na uwaziri juu kwa Sophia.

4. Kabla Sophia, hajakaa sawa kufikiria namna ya ku-revenge kwa Mama kilango na Janeti, wakatokea maadui wapya Mama Mbatia, na Buriani, vita ikawa kali sana mpaka ikabidi Sophia akaombe msaada kwa adui yake namba moja Mama Kilango, maana Buriani was too much kwake kwamba mshikaji wake muungwana hakuweza kuingilia hivyo vita, na hatimaye vita vikaisha kwa njia za kichini chini nyingi.

5. Sasa Mama Abdallah akapiga mahesabu na kuamua kuwa sio worhty etna wyeye kugombea tena maana kule UWT watamla mzima mzima, akaamua kujitoa mapema, all this time Mama Janeti amekuwa akipiga kampeni na kukubalika sana na ilikuwa inaelekea kuwa hana mpinzani, ndipo Sophia alipoamua kuja kulipa kisasi na pia kujiweka sawa na ubunge iwapo atakosa wa bure kwa muungwana, maana kuna viongozi wengi waliomsaidia muungwana kuwa rais, sasa hawahitaji tena hivyo amewatema tayari, ingawa kwa sasa Sohpia ni mmoja wa the wachache sana trusted wa muungwana,

6. Kwahiyo kinachoendelea sasa ni vita vikali sana ambavyo Sophia, ana uhakika wa kushinda, sasa ninaamini Mama Janeti anajaribu kutumia public kummuweka muungwana mbali na huu uchaguzi, maana bila mkono wake Sophia hawezi shinda, na kuukimbiza mkono wa muungwana dawa ni kupiga makelele ya mbweha! mbweha! maana yakizidi kutakuwa na attention kubwa huko kwenye uchaguzi wao na wananchi watadai haki na ikifanyika haki basi Sophia atakuwa nje!

My take:- ni kwamba sina uhakika na what UWT is doing kwa maendeleo ya taifa, huenda kuna something wanakifanya positive kwa wanawake kama kuna anything serious na taifa kutoka huku UWT, I would rather have Mama Janeti kwanza ni mtu mzima, ametulia na ni kichwa sana. Ninakumbuka last Krismas, nilialikwa kwenye dinner moja ambapo nilikaa meza moja na Mama Janeti na Karamagi, ukaanza mjadala mmoja very serious kuhusu faida na hasara za cellphone,

wooow! sikutegemea jinsi mama alivyokuwa anambana mbavu Karamagi enzi zile bado akiwa waziri, mama akidai kuwa hizi cell bongo tunazirukia tu lakini zina madhara makubwa sana kwa afya zetu, kuna wakati nilidhani zitaruka ngumi, lakini pakatulia kwa kweli mama alinimaliza na hoja zenye utafiti na za kisomi na hasa kutokuogopa, I was very pleased na ile perfomance ya mama, maana alikuwa akiwaongela wanyonge tunaorukia hizi sumu bila kujua madhara yake.

Na siku zote Janeti ni mama mwenye busara nzito sana, kwa sababu Sophia bado kidogo, ingawa pia ninamheshimu sana kwa msimamo, kwa sababu kama sio yeye mpaka leo Chenge angekuwa bado waziri. Lakini busara ya kuwaongoza wanawake wote Tanzania, siamini kuwa ameifikia tayari na hasa kuhusiana na haya matusi na rushwa ninazozisikia zinatembezwa sasa hivi kwa jili ya hiyo nafasi. Wananchi tujiulize, hivi huko kwenye huu uongozi wa siasa ziku hizi kuna nini hasa mpaka imekuwa vita kiasi hiki?

Maana niliyoyasikia leo huko ndani kuhusu hivi vita vya hawa wawili sio masihara, halafu nasikia kuwa imezuka vita kali kweli kati ya Makamba na Komba, nasikia huko nako ni moto wakuotea mbali sana, sasa hivi huku CCM kuna nini hasa?

Mungu Aibariki Tanzania.
 
Field Marshall,

Hii inaweza kuwa ni posti yako ya kwanza ever ambayo sina tatizo nayo at first blush. Kwa sababu hukuiweka kama factual presentation kutoka kwa vyanzo vyako vya dataz. Kwa hiyo hata nikikutana na kitu ambacho naki doubt sishtuki na kukushambulia kwa sababu umeshatoa disclaimer. Sasa ngoja nikaisome, maana inakaribisha toka mwanzo.
 
Very good analysis Mkuu!

Mama Kahama hafai kuwa kiongozi kwa sababu tatu kubwa:-

(1) Ni yeye akitumia watoto wake aliyeeneza uvumi ulioko humu ndani ya JF. Amekuza misunderstanding iliyokuwepo kati ya yeye na SS na kuivujisha makusudi.

(2) Ni mnafiki anapodai "Siwezi kumlaumu wala kusema barabarani kama alivyosema, mimi nitamfikisha kwenye vikao vya maadili, ndivyo taratibu zetu zinavyosema" SS aliongea ndani ya kikao na yeye ndiye alikuwa akiongea na Mwandishi NJE YA KIKAO.

(3) Amecheza kadi ya dini ili kupata sympathy ya sehemu fulani ya jamii. Huyu sio kiongozi tunayewea kumtegemea kuunganisha wanawake wote. Haikuhusu kuongelea mambo ya dini kwenye siasa.

SS pamoja na kumpaka Mama Kahama lakini bado namfagilia kwa courage aliyonayo. Amefanya kitu hicho ndani ya kikao halali cha chama chake.
 
Field Marshall,

Hii inaweza kuwa ni posti yako ya kwanza ever ambayo sina tatizo nayo at first blush. Kwa sababu hukuiweka kama factual presentation kutoka kwa vyanzo vyako vya dataz. Kwa hiyo hata nikikutana na kitu ambacho naki doubt sishtuki na kukushambulia kwa sababu umeshatoa disclaimer. Sasa ngoja nikaisome, maana inakaribisha toka mwanzo.

Unajua bro unachefua sana, maana sidhani kama unaelewa unachokisema, nimekuambia siku nyingi sana kuwa una elimu kubwa sana lakini so far umeshindwa kuitumia kwa faida yako, ndio maana huwezi kutusaidia hata sisi wengine, man you have no clue of what unasema, tena all the time ni mara chache sana unakuwa na point,

Punguza munhari, jazba, na roho mbaya, chuki, unafiki na uzushi, unazo potential zote za kuwa big time lakini inaoenakana unaaamini kuwa siasa ni mchezo rahisi sana huhitaji kujifunza mbinu zake, matokeo yake unachekesha sana kwa watu kama mimi, kwa sababu mkuu whether you like or not mimi ninashinda sana na political news makers, ninawajua kwa karibu sana tena wengi, na ninaongea nao kila siku ya Mungu, tena siku hizi wamekuwa paranoid kweli na sifa, kwa hiyo wanatafuta anything kupata umaarufu na wanasema anything!

Kinachonileta hapa JF, yaani hata kabla wewe hujaja, kwanza ni taifa langu halafu I am having a lot of fun hapa, na ninaamini kuwa kuna something serious na good kwa taifa ninakifanya hapa JF, kwa sababu ya ushirikiano na heshima ninayopewa na wananchi wengine ambao ni wapitia wa hapa, kuanzia viongozi wa juu mpaka wa chini, na wananchi wa juu mpaka wa chini, sihitaji anything kutoka kwako kwa ajili ya self esteem yangu kwa sababu I know who I am, na ninajua nina-stand for what!

Sasa wewe kuwa au kutokuwa na tatizo na post zangu mimi inanihusu nini? Mimi ninaweka vitu hapa JF I could care less kuhusu wewe who are you anyways? Wewe umezusha maneno mazito sana hapa, nilipokubana kuwa ni mzushi ukakimbia na kuja na majina mapya na kuanza kunitukana matusi ya nguoni, yakakushinda ukaamua kupeleka matusi yako huko web zingine na kuyaleta hapa JF nayo yakakushinda, ukaamua kuiharibu hii forum na udini yakakushinda, ukaamua kuivunja hii forum na maneno ya kuonewa na ukavuta na wengine nayo yakakushinda, sasa all this time mimi nilikuwa hapa kama ulivyonikuta ninaendelea kukata ishus za taifa langu bila kutetereka wala kubabaika na matusi yako ya nguoni,

Sasa leo bila ya aibu wala kuomba radhi kwa wananchi hapa wala DR. Masau umeamua kurudi tena, huyo umeanza tena na ubinafsi wako maana wewe huwa unajijali wewe tu, hujali mtu yoyote mwingine, hapa wananchi wanakula elimu ya siasa tena ya bure, wewe unakuja kutibua tibua maana ndio tabia zako, kama za kuku kuchakua chakua chakula kwenye mchanga, halafu anasahau kama alichakua jana au leo, kumbe yupo pale pale ana chakua chakua, masikini ya Mungu!

Sasa hatujakaa sawa hata kusahau mambo yote ya kitoto uliyoyafanya hapa JF, huyo tayari umeanza kujiweka kwenye kiti cha hukumu kwa maoni ya wananchi hapa, kwamba wewe ndiye unajua uongo na ukweli! Really? Sisi wengine mkuu ni wastaarabu sana ndio maana tunaheshimika na jamiii, tena kila mahali sio forum tu, sio kujifanya unajua wakati hujui kitu, tunakuja hapa kujifunza na kufundishwa, lakini hukuti wananchi wanajadili ishus zao na wewe ambaye kwanza sio raia wa Tanzania kama sisi wengine, unakuja kuharibu haribu mijadala, who are you?

Sisi wanachi wa Tanzania, tunakuja hapa wengi wetu kujitayarisha na uongozi wa taifa letu, sasa wewe badala ya kutusaidia na sisi tuwe kama taifa lako la sasa, wewe unakuja hapa kuharibu tu, mbona huna adabu? Ushike adabu yako kijana mimi sio size yako, wewe ni a low class human being na huna ustaarabu hata chembe, ndio maana hapa unachekesha sana, kwangu mimi nasikia kutapika kila nikiona maneno yako toka ile ishu ya DR. Masau, hivi huko shuleni mnakosoma majuu huwa hawafundishi mtu kuwa na class? damn it!

Hata siku moja siogopi kuweka dataz hapa kwa sababu yako, never! Mimi ninakata ishus za taifa langu na sio siri ninapata dataz nyingi sana tena sana, toka kwa viongozi mbali mbali wa juu mpaka wa chini, na hata siku moja siwezi kuogopa mtu hapa kuziweka kwa sababu zinawaelimisha wengi sana hapa na kila siku ninapata feedback, na ninaelimika na data za wengine pia, wewe siwezi kukusaidia matatizo yako maana ni makubwa sana, kama huna self-esteem na confidence zako binafsi, sio tatizo langu na siwezi kukupa mwanya wa kuniambukiza ugonjwa wako, wa kukurupuka tu bila kujua unachosema, halafu unashambulia watu hapa kwa matatizo yako mwenyewe bila kujijua, mimi binafsi ninakuona kichekesho sana maana zamani nilikuwa ninakuheshimu sana mpaka nilipokuona hapa JF that was it! mimi ndio maana ninaiheshimu sana JF maana imenifungua macho sana na wananchi niliokuwa ninawaamini sana in the real life kumbe ni majuha wa kutupwa!

Sasa uamuzi ni wako kusuka au kunyoa, mimi ninaendelea kama ulivyonikuta na kama siku zote, wembe wangu ni ule ule ila tafuta msaada maana kuna problem kwenye uwezo wako wa kufikiri na kutoa michango hapa, katika watu ambao siwaheshimu hapa au nje ya hapa sidhani kama kuna anayekuzidi toka ile ishu ya Dr. Masau huwa nasikia kutapika hata nikikuona acha maneno yako hapa!

Sihitaji sifa wala anything from you maana kwangu wewe ni too low of a class, kati ya binadamu wengi niliowahi kukutana nao, either kwenye huu mtandao au nje ya hapa, nimeona mabaharia wasioenda shule kabisa, lakini hakuna mfano wako kwa nonesense!

Halafu acha kuniutmia tumia messgae kwenye PM za kujikomba komba, ndio maana huwa sijibu maaana nasikia kutapika nikiziona! Off course kuna wanakuzimia sana humu, lakini I am not sorry sio mimi never hata siku moja!

Naomba nikufahamishe kua kwenye post zangu mbili humu na hasa hiyo juu, nisingeiandika kama nisingekuwa na dataz, zote ni dataz ninazozipata kwa viongozi na zingine ni kwa ku-deal nao kila siku kama ni za uongo au ukweli ni uamuzi wa wananchi hapa kuamua lakini hata siku moja siandiki kukuridhisha wewe au anybody, mimi ninaandika ukweli ninaojua, sasa here you are kujifanya kujua kwamba wewe ndiye unayejua sana when nimeandika vizuri na when vibaya you are nothing nothing but an idiot! Sihitaji anything from you kama nilivyosema huko nyuma kuwa ninajua kuwa kuna wanaokuzimia sana hapa JF, not me toka yale maneno yako kwa Dr. Masau, halafu yale matusi yako ya nguoni hapa mbele ya jamii JF, ukatukana kila mtu hapa na kujifanya unajua sana kumbe huna lolote ni mzushi tu na mnafiki mkubwa, halafu unarudi tena hapa kujifanya hakimu wa michango what an idiot!! unafikri sisi wote hapa wajinga? Peleka ujinga wako huko mbele!

"As I know" na "Sina uhakika" ni maneno mawili tu against maneno karibu 500 na zaidi sasa eti wewe unajua sana kuwa ndio yana-define hoja zangu kwenye psot, sasa naomba nikuulize niliyajuaje hayo kama sio dataz? Mimi nilikuwepo wakati Sophia anaomba msaada kwa viongozi wengine?

Acha kujifanya unajua bro, wewe unatakiwa kuomba radhi hapa JF kwa uzushi wako na matusi yako mazito tena ya nguoni kwa wananchi hapa kama Mwanakijiji, Nyani Ngabu, na DR. Masau, mimi I could care less maana sihitaji anything kutoka kwako, lakini lazima ujifunze adabu na uache uzushi!

Halafu acha kuniutmia tumia messgae kwenye PM za kujikomba komba, ndio maana huwa sijibu maaana nasikia kutapika nikiziona!

Ahsante Mkuu!

Ha haaa ahaaaaaaa You are so funny, you know that right? Kwa nini unapenda kutengeneza hadithi we mtu? Mtu mzima, duuuh! Je siku nikikutumia e-mail kweli si ndio utaipeleka NIPASHE. Sawa Mkuu.
 
Quote: Kuhani

Ha haaa ahaaaaaaa You are so funny, you know that right? So funny. Kwa nini unapenda kutengeneza hadithi we mtu? Mtu mzima, duuuh! Je siku nikikutumia e-mail kweli si ndio utaipeleka NIPASHE. Sawa Mkuu.

Kuhani :Kuhani has no status.
JF Senior & Premium Member Join Date: Wed Apr 2008

Re: Bodi, shule ya Dr. Masau: Cheti chake hakimruhusu kupasua watu

Originally Posted by Lusajo

Sasa kama hakusoma/ kusomea Texas hiyo "DR" kaitoa wapii/ yaani hajawahi kusoma mahali popote pengine zaidi ya TX? nadhani alikuwa Daktari kabla ya kwenda TX au?

Chochote alichosomea huko muhimbili na kwingine hakikuwa upasua moyo. Yeye mwenyewe anasema kwenye website yake kwamba kajifunza upasua moyo Marekani. Tatizo ni kwamba waliomfundisha Marekani wanasema huwezi kujifunza upasua moyo kwa kutazama tu.

Upasua moyo huwa ni residency ya miaka minne. Unapasua mioyo ya watu kwa miaka minne mafunzoni. Dk. Masau hakuwahi kugusa mgonjwa mafunzoni. Yani mafunzo yake hayakubaliki huko katika nchi aliyosomea.

Sasa kama hafai kupasua moyo wa watu wa huko alikosomea sisi ndio kuku wa yeye kujifunzia ?

Kuhusu success rate yake, data niliyoipata ni ya zamani. Alikuwa ana success rate ya 62% mwaka 2003. Na hiyo ni data aliyoitoa mwenyewe. Inaweza ikawa chini ya hapo, kwenye hamsini na.

Yani kwa wastani alikuwa akigusa wagonjwa wawili mmoja lazima afe!

Bwaha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! Duh! Talking about mtu mzima na kutengeneza hadithi can it get worse than this, hebu soma mwenyewe maneno yako ya chooni:-
 
More kutengeneza uzushi, duh!:-

Nimefurahi sana umeenda actually ukasoma website ya "shule" ya Masau. Kumbe umeona kwamba hata hizo non-accredited programs zinahitaji medical licence au in-Training permit ?

Sasa ni hivi. Medical licence hana. Hiyo nimeambiwa na Texas Medical Board pamoja na "shule" yake. Ilibidi awe na in-Training permit. Jumatatu asubuhi tutasema na watu wa Texas Medical Board.

Wakati tunasubiri Jumatatu, nitasema inawezekana hata hiyo in-training license hakuwa nayo. Kwa sababu jina lake halikutokea kwenye computer ya Texas Medical Board. Again, Jumatatu tuta search tena.

Sasa, kama hana hata hiyo in-Training permit kuna mawili. Alikuwa kwenye ile non-accredited research program ambayo haiihitaji in-training permit. Ambayo ni mbaya zaidi kuliko kujifunza upasuaji kwa kutazama. Tunajaua husomei upasuaji kwa kufanya research na kuandika makaratasi!

Kilichobaki, kama hakuwa na in-Training permit na alikuwa hafanyi research, ni kwamba hakustahili kuwepo kwenye program yeyote pale. Yeyote. Ila akaenda kama mtoto anavyoingia operation kumuangalia Baba yake anapasua mtu. Hugusi kitu!

Sasa naelewa kwa nini wanasema alikuwa anatazama tu!

Jumatatu nikikuta Masau aliingia pale bila in-Training permit kinyume na taratibu, watatafutwa ndugu wa waliokufa Tanzania Heart Institute ifunguliwe civil case mahakamani Texas, dhidi ya Texas Heart Institue.
 
Haaaaa sophia yupo sawa hawa kina janeth kahama ni katika mafisadi wakubwa nani asiejua ????? Sasa kutokana na uwezo wa vijisenti katika miradi ya madini ya utapeli sasa wanataka kumvaa kila mtu wanajiona wao tuuu...huyu hafai hata kuwa mbunge wa ccm lakini naishangaa sana ccm miaka hii ina viongozo wengi ambao so wazalendo wanaojali nchi yao....wanajali vijisenti vyao na familia zao....huyu mama kahama anataka uenyekiti wa uwt ??/ na ccm wanataka kumpitisha ??? Huyu mama na watoto wao wote na wajukuu wana pasport mbile kinyume na katiba ya nchi...kaulizeni ubalozi wa canada mutaambiwa....sasa asijifanye hatumjui..tunamjua sana japo ccm wenyewe wameoza hawana tena sifa ya maadili kwa uongozi lakini huyu si raia tena pamoja na watoto wake.....kazi kwenu...na sophia simba si mswahili anayajua haya ...ampasulie...tena bora huyu mama kahama asigombeee tena maana tutamuumbua
 
haaaaa sophia yupo sawa hawa kina janeth kahama ni katika mafisadi wakubwa nani asiejua ????? Sasa kutokana na uwezo wa vijisenti katika miradi ya madini ya utapeli sasa wanataka kumvaa kila mtu wanajiona wao tuuu...huyu hafai hata kuwa mbunge wa ccm lakini naishangaa sana ccm miaka hii ina viongozo wengi ambao so wazalendo wanaojali nchi yao....wanajali vijisenti vyao na familia zao....huyu mama kahama anataka uenyekiti wa uwt ??/ na ccm wanataka kumpitisha ??? Huyu mama na watoto wao wote na wajukuu wana pasport mbile kinyume na katiba ya nchi...kaulizeni ubalozi wa canada mutaambiwa....sasa asijifanye hatumjui..tunamjua sana japo ccm wenyewe wameoza hawana tena sifa ya maadili kwa uongozi lakini huyu si raia tena pamoja na watoto wake.....kazi kwenu...na sophia simba si mswahili anayajua haya ...ampasulie...tena bora huyu mama kahama asigombeee tena maana tutamuumbua
 
Ugomvi wa hawa akina mama wa UWT labda una historia zaidi ya tunachosikia ..
katika mahojiano ya Sophia na Radio Clouds leo,...Sophia alisema hana kinyongo na Janeth ni mambo ya ushindani wa kisiasa tu. Pia akadokeza kuwa wanafahamiana siku nyingi toka Mzee Kahama akiwa Boss wa Sophia ( Sophia aliwahi kuwa secretary shirika la NDC enzi hizo miaka ya 70 wakati Kahama akiwa MD)....inawezekana kuna kuonyeshana nani zaidi hapa!
mambo ya " be nice to people on your way up, you may meet them on your way down"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom