WITO: Bi Sophia Simba Jiuzulu

Status
Not open for further replies.
Ha haaa ahaaaaaaa You are so funny, you know that right? So funny. Kwa nini unapenda kutengeneza hadithi we mtu? Mtu mzima, duuuh! Je siku nikikutumia e-mail kweli si ndio utaipeleka NIPASHE.


Huwa sina muda wa kutengenza hadithi, tizama ujumbe wako chini what a joker:-


Quote: From PM

"Sawa Mkuu. Well, in my Next thread, nitakuwa natoa rating on Tanzania's best and brightest minds. I suppose analysis zako kuhusu issues za muungano [jana/leo], zimekuweka kwenye nafasi nzuri ya kuwa rated [Aah, well...] Stay tuned!"
 
tena bora huyu mama kahama asigombeee tena maana tutamuumbua

Mkuu heshima yako,

Mama Kahama ni mbunge tayari wa viti maalum katika bunge letu, sasa asigombee kitu gani tena, labda nime-miss something?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom