WITO:Baba V ajiuzulu,kazi imemshinda.

WITO:Baba V ajiuzulu,kazi imemshinda.

Yaani Mammiy labda uongee jengine !
Na hivi navyopenda misifa kuzidi wakazi wa kule yanapotoka Matoke!
Na kwakua always mie wallet langu silifungaki zipu !
Ni wewe na yako roho! Kula kitu nafsi yako yataka!
Mie jukumu langu nikute karatasi ya bills tu.
Afu hiyo Redd's si nasiakiaga haichelewi kudropu ?
Na ikikudropia what else?

Kwa hiyo mi ninywe we utakuja kulipa?
Na usipotokea?
Fungua hilo wallet basi na wewe unigee jamani au tuongozane wote!

Redd's kwangu ni kawaida tu, haijawahi nidropia
Labda ianze leo kwa sababu ya offer yako!
 
Mpango ni shoulder to shoulder ! Huyu katangulia, yule anakuja nyuma sio fomula!
Na kwa mida hii late hrs haitokua rahisi nikurejeshe hom kwako!
Nimeshatandika dabodeka yangu mi ntalala juu , we chini !
Wala usiwe na doubt na lolote ! Sanasana utaamka asubuhi na mibaraka , kwa kua umelala kwa mchamungu!
Hiyo ndy ratiba.
 
Mbu sijui wametokea wapi hawa ?ngoja nijifunike shuka hadi kichwani na mwandani wangu

Usikimbie changia hapa, naona umepata kampani hapa ya kunifanyia mudslings na character assasination kama ulivyoanza kule
 
Kwa hiyo mi ninywe we utakuja kulipa?
Na usipotokea?
Fungua hilo wallet basi na wewe unigee jamani au tuongozane wote!

Redd's kwangu ni kawaida tu, haijawahi nidropia
Labda ianze leo kwa sababu ya offer yako!

Maumivu ya kichwa huanza pooole pole....!!!!!
 
Mpango ni shoulder to shoulder ! Huyu katangulia, yule anakuja nyuma sio fomula!
Na kwa mida hii late hrs haitokua rahisi nikurejeshe hom kwako!
Nimeshatandika dabodeka yangu mi ntalala juu , we chini !
Wala usiwe na doubt na lolote ! Sanasana utaamka asubuhi na mibaraka , kwa kua umelala kwa mchamungu!
Hiyo ndy ratiba.

Nisije sikia kuwa mlikuwa mnafanya kazi kama kamati ya sheria hadi late hours ndo mkapitisha night pamoja.ilhali sijapata taarifa zenu ili niwaandalie OT
 
nipo hapa!nambie!af umemtuma huyu Judgement akusolololee kwangu au!?manake siwaelewi

Here you are, nimekutafuta sana ati!!, judgement ni mtu mwenye upeo wake mkubwa tu haihitaji kutumwa au kuagizwa kutenda jambo.Nimemuomba akutafute baada ya kuwa sijakuona ulipopotelea ghafla
 
Last edited by a moderator:
viruka njia wameanza kumtisha mwkiti wetuee?baba v simamia majukumu yako vema usirudi nyuma na kamatiyako.wahalifu hawawezi kukupenda kamwe.

Mkuu utendaji wangu ndo utakao nihukumu, hawa wasiotulia hawanipi tabu nitanyooka nao hadi waheshimu ndoa zao na za wenzao
 
Wewee!!
Subiri sasa,tumesha jikusanya,tayari kwa maandamano ya kukung'oa!
Namuona sweetlady na Ciello kwenye mstari wa mbele kabisa,utakomaje!!

Hao wote ni majeruhi wa misimamo thabiti ya tume yangu na kamati zake,wanafanya hivyo kwa kisasi na hawana hoja,nasubiri nishuhudie aibu yenu
 
Last edited by a moderator:
hahahahahhahaah bhatu bana akili sana!ahsante Invisible na wenzio kwa kuweka haya makitu ya PM
haya nakusubiri!fasta basi kabla sijaamka nikapike chai mie!

Naam! Naam!
Chaza waleee! Kisosini ! Nawaona apelekewa muungwana!
Timiza wajibu wako mammiy!
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna watu wanataka kuanzisha maandamano humu chitchat basi tuwapigie simu ffc(fanya fujo chitchat) afande Chilli ,afande tedo waje na maji ya kuwasha na vitu vyenye ncha kali ili kuzuia maandamano ambayo hayajapata kibali kutoka kwa kamati ya malalamiko chitchat ambayo mjumbe wake ni Erickb52,xo kama hamna kibali kutoka hapo,kwa kweli sheria ichukue mkondo wake.chitchat juu,chitchat oyeee..mwenyekiti oyeeee
 
Last edited by a moderator:
Hahahah now we are even, friends again....lets shake hands and drink champagne.. Baba V we mkali...
I couldn't expect anyless from you, can you turn the hands of time now!!??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom