Hapa issue ya ukware haina mashiko!
Tangu lini ulisikia kiongozi apendwa na kaumu yote?
Kivyovyote vile patakua na suppoters na against ! That's reality normal life! Haiyumkini eti raia flani wamekataa kuhesabiwa sensa kiongozi aachie madaraka ! It's stupidity leadin!
Afu huu ni uongozi mfumo wake uko kijamii zaidi na si kiroho!
Hapa sio vaticano kwamba kiongozi hatakiwi kupiga trees!
Alowaambia Baba V ni Papa wa hapa nani ?
Au alowambia Baba V ni mfano wa Kamuzu Banda ama Elton John nani ?
Uenyekiti wake hauna kanuni ya kutowavua vyupi warembo humu!
Mf. Hai ni kama hivi sasa mrembo snowhite anavyojilengesha kwa Baba V ! Binti keshamtepetea hadi kucha!
Na nnachofanya ni kumkazia hukumu Baba V hadi acheke na nyavu kwa snowhite!
Alaaaa!
Baba V piga trees mwanajeshi wangu .
mmmmhh . . . .?????
mbona mnampiga majungu bossi wangu?????
Hakuna sababu za msingi za kupelekea Babav kujiuzulu
Khaaa!
We Kipipi vipi ? Una matatizo gani ya ziada ?
Badala uongeze mkazio wa hukumu Baba V akule makitu adimu , we unaishia kuguna na kulichapa lapa! Ukutapo wanashereheka kwa kuuchapa ubwabwa, kanuni nawe ni kunawa na kuangalia pilipili imekaa wapi na kukunja maguu!
Sio uchukue gitaa na kuanzisha muziki .

Sijanywa Redd's leo!
Unanisaidiaje kwa hilo chief judge?
Sure? Thibitisha tafadhali
nipo hapa!nambie!af umemtuma huyu Judgement akusolololee kwangu au!?manake siwaelewi